PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako Β· 290

πŸ“„

Usijute kunipenda, Nakupenda

Uthibitisho wa Upendo na Uhakikisho wa Kudumu kwa Mpenzi Uthibitisho wa Upendo na Uhakikisho wa Kudumu kwa Mpenzi Katika ulimwengu wa mahusiano ya kimapenzi, mawasiliano madhubuti ni nguzo muhimu ya kudumisha uhusiano wenye nguvu na furaha. Uthibitisho wa upendo, hasa kwa njia ya maneno, hucheza juk…

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS Nzuri za Mapenzi

mapenzi ni safari,mapenzi ni ahadi,mapenzi niujasiri,mapenzi ni zawadi,mapenzi mitihani,mapenziramani,mapenzi ajali na ndiyo maana nakupenda wewe bila kujali.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS Nzuri za Mapenzi

Ikiwa penzi langu kwako litakufa halitazikwa,ikiwa moyowangu ni mwandiko hautafutika na kama dhati yangu nimachozi daima hayatokauka na wewe kwangu ni damu ngozinihaitochuruzika ila mishipani… .

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss

Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni, naishia kukuota ndotoni, hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako

Kumbuka kuwa wewe ni wangu Kitulizo cha moyo wangu Kwenye shida na raha

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya kumtakia umpendaye mchana mwema

Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa bado unampenda na hujabadilika

"Japokuwa" "Kuku" "Haogi" "Yai" "Lake" "Litabaki" "Kuwa" "Jeupe" "Tu" "Namaanisha" "Kuwa" "Hata" "Kama" "Ukiona" "Nipo" ""KIMYA"" Muda" "Mrefu" ""UPENDO"" "Wangu" "Kwako" """Bado"""

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kuahidi kumpenda mpenzi wako milele

Niliumbwa kwa ajili yako, mbele yako nitakushika mkono, nikuonyesha sayari yangu, pendo langu

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji nzuri ya kumtumia mpenzi umpendaye kwa moyo

Katika nyuso za dunia, na kati ya miamba ya jangwani, Kuna SAUTI! Neno la pendo lako liotapo

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa unamjali na kumpenda milele

Tambua kuwa nakujali Furahia kwamba nitakuwa na wewe Katika siku zote za maisha yangu

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ndiye chaguo lako

Nafsi yangu inafurahia ya kwamba wewe ndio chaguo langu, ubavu wangu tabasamu

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako

Nitaenda mbali Zaidi ya maono yako Safarini nitajenga hekalu la pendo letu Nitapuliza filimbi kama ishara ya utambulisho wako

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya mapenzi ya kimahaba ya kutuma kwa mpenzi wako umpendaye

Fikra hutawala mtima wangu, Kwa madhila yalojaa duniani, Kwa muhali wa yanayojiri, Kwa machweo na mawio, Kwa totoro ama nuruni, Nao moyo hukosa ukamilifu, Kwa utashi wa zake hisia, Zinipazo sababu kuu, Ya upendo juu yako, Ya kukufanya daima uwe, Mawazoni mwangu.

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe mzuri wa usiku mwema kwa umpendaye

Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,
Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekee
mwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,
Usije ukaondoka hakuchinji asilani,
Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.
ucku mwema

Open printable article β†’