Nitaenda mbali Zaidi ya maono yakoSafarini nitajenga hekalu la pendo letuNitapuliza filimbi kama ishara ya utambulisho wakoNa mwanzo wa sherehe ya ndoa yetu
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa