PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

๐Ÿ“—๐Ÿ“˜๐Ÿ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE ยท 452

๐Ÿ“„

Cheki hawa washikaji wanachokifanya baada ya kuvuta bangi, Bangi si mchezo

Kuna washikaji walikuwa wakivuta bangiโ€ฆ kiberiti kikawaishiaโ€ฆ wakamtuma mwenzao akatafute kingineโ€ฆ bangi lilikuwa limemkoleaโ€ฆ akazungukazunguka hatimaye akarudi palepale kijiweniโ€ฆMSHIKAJI: oyaaa wanangu eeehโ€ฆ niazimeni kiberiti mwanangu mwenyewe โ€ฆ..WENZAKE: baharia ee subiria kimtindo kuna mwana tumโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Jinsi ya Kubana matumizi X-mass

Badala yakupika PILAU tutapika TAMBI kwenye Xmas maana tutakua tumeokoa sh.15,000/= Vitunguu swaumu 2000, Vitunguu maji 1000, hiliki 1000, Magome 1000, Michele wa 2000, Soda 3000, Nyama 5000 . Fedha hizi zitatumika kununua mfuko wa cement ili tuanze kujaza kibubu cha ujenzi wa nyumba badala ya kupanโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Utajuaje kama unachoangalia ni filamu ya kibongo!!!!

Angalia hivi-Mlinzi wa Getini lazima awe chizi-Mtu yupo kijijini, maisha magumu ana Wavekichwani.-Kama bosi atakuwa na kampuni basi ni lazimaitakuwa ya Clearing and Forwading au ya uuzajiMagari.-Lazima waende Kununua nguo.-Jambazi lazima avae koti lefu jeusi na Miwani.-Mtu akichapwa kofi huangukia kโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Kilichompata huyu jammaa baada ya simu yake kuita msikitini

Jamaa alisahau kuzima simu akiwa msikitini anaswali GHAFLA simu ikaita akaingiza mkono ili aikate, kwa bahat mbaya akaminya cha kupokelea, alipohangaika kuzima akajikuta kaminya laudspika ikasikika sauti 'ETI HONEY UMESEMA NIWEKE KITIMOTO KIASI GANI? ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Vituko vinavyoandikwa kwenye daladala

Huwa naenjoy sana kusoma yaliyoandikwa nyuma ya daladala hasa ninapokuwa kwenye foleni. Misemo maarufuya kwenye daladala.1.Yatima hadeki2.Utamu wa chips mimba3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni4. Usiyempenda kaja5. Kobe hapimwi joto6. Acha kazi uone kaz kupata kaz7. Ukichezea koki utalowa8โ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Kichekesho cha mwalimu na wanafunzi

Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne kwani hili la3 halinifai.Mwalimu: Kwa nini unasema hivyo?Mtoto: Nina akiliโ€ฆBasi mwalimu akamueleza mkuu wa shule na mkuu kaitisha interview kwa dogo. Maswali ni hayaโ€ฆ.Mwalimu: Kwenye ndege kuna matofali 20 tukitoa moja tukalidondosha chini yatabaki manโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Kichekesho cha mtalii na mbongo

Duh! Sikubali bora mbavu zituume wote!Watalii wana dharau sana bana, Mtalii alikodi boti akazunguka nayo kwenye mto Rufiji kuangalia mandhari, akamuuliza kijana anayeongoza boti, "Do you know Biology, Psychology and Anthropology?" Kijana akajibu "NO," Mtalii akamwambia "nothing you know under the suโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Amri za chuo

Ndio hizi sasa1.Hicho ndicho chuo chako usiwe na chuo kingine ila hicho.2.Usilitaje bure jna la chuo chako mana utawaumiza wengine.3.Ikumbuke cku uliyochaguliwa na kuiheshimu.4.Waheshimu tcu, bodi ya mkopo na uongoz wa chuo ili upate kuendelea kuwepo chuon.5.Usisapu6.Usidisko7.Usitumie mkopo ovyo.8.โ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Status za Whatsapp za Wazungu na Wabongo

STATUS ZA WAZUNGU kwenye Whatsapp vere vere kliaaaโ€ฆ๐Ÿ‘‰sick๐Ÿ‘‰at movie ๐Ÿ‘‰ in a meeting2๐Ÿ‘‰ kind of happy,, ๐Ÿ‘‰busy,,๐Ÿ‘‰available๐Ÿ‘‰Driving๐Ÿ‘‰sleepingSTATUS ZA WABONGO SASA MBUTA NANGA MBONGO NGAFU"Akutake nani una shepu la Kitorondo utaishia kumegwa na kuachwa"Watu tuna nyota za Chips Mayai sio wewe mwenye Nyota yaโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Ziara za kushtukiza zinachekesha sana

Mimi Nimecheka sana๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ZIARA ZA KUSHTUKIZA๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti, na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia luninga mara chache sana kama nikibahatika kupita mahala kuna luninga. Sasa wiki hii nimesikia mengi kuhusu hizi ziara za kushtukiza za viongozi wetu, nikaona hili ni jaโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Utani wa wachaga

Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-1. WAROMBO; Hawa wajanja sana kibiashara/wezi pia. wanapenda dili za magendo. Ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini. Wanaume wa Rombo wanachunwa sana na wanawake wa Marangu na wanawaita "vishohia". Wanawake wa Roโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Wavuta bangi wa Colombia watoa mpya

Asubuhi ya leo huko nchini Colombia baada ya serikali kuidhinisha matumizi ya bangi kuwa halali +++ Wavutaji bangi wamepanda basi la gorofa wengine juu wengine chiniโ€ฆ.Waliopanda chini wanawauliza wa juu huko speed ni ngapi maana huku ni 80.Wajuu wakajibu huku mpaka sasa hatujui dereva bado hajajaโ€ฆ. โ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Angalia huyu mvulana anachomwambia huyu daktari baada ya rafiki yake wa kike kupata ujauzito

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚MVULANA: Daktari, rafiki yangu wa kike ni mjamzito, lakini mara zote nimekua nikitumia kinga. Inawezekanaje hii?DAKTARI: Ngoja nikusimulie hadithi. Kulikua na Muindaji ambaye alikua anabeba bunduki kila aendako. Siku moja, alichukua mwamvuli badala ya bunduki na akaenda nayo. Ghafla akatokea Simโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Namna wazazi wanavyoongea na mabinti katika umri tofauti

Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena!Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako?Miaka 26: Wenzio wanaolewa.Miaka 30: Tumekuambia kwamba achakuchagua sana wanaume, hutaki kusikia!Miaka 33: Kuna mtu wa Mungu yupo kuleanaombea unaweza kupata mchumbaMiaka 36: Aโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Nani Mkali Hapa kati ya DEMU na MSHIKAJI?

"MAENEO FLANI ya KISHUA"-Mshikaji kamwona demu mkalianakatiza kitaa akamkubali akaamuaamfuate amtemee checheMSHIKAJI- mambo dada?DEMU- pouwaMSHIKAJI-umependezaa!!!DEMU- asante.MSHIKAJI- unaweza ukanisaidianambayako ya simuโ€ฆโ€ฆ..maana duhnmekukubalikinyama.Demu baada ya kuambiwa vileakazama kwenye pochโ€ฆ

Open printable article โ†’