Jamaa alisahau kuzima simu akiwa msikitini anaswali GHAFLA simu ikaita akaingiza mkono ili aikate, kwa bahat mbaya akaminya cha kupokelea, alipohangaika kuzima akajikuta kaminya laudspika ikasikika sauti 'ETI HONEY UMESEMA NIWEKE KITIMOTO KIASI GANI? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†