PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE Β· 452

πŸ“„

Kilichompata huyu jamaa akiwa anaangalia mpira mechi kali na mke wake

WIFE: Baibie, yule ni nani? Ni Chris Brown?? HUSBAND: Yule ni Theo Walcott WIFE: ile Yellow Card ni ya nini?

Open printable article β†’
πŸ“„

Kweli tamaa ni mbaya, mke wa mtu kaponzwa na tamaa, ndio basi tena

Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake: JAMAA: Shem nakupenda! MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki yako akijua? tena koma! JAMAA: Ntakupa milioni 1! MKE: Basi njoo kesho mchana mume wangu akiwa kazini!

Open printable article β†’
πŸ“„

Padri Akimbia wakati wa kuungamisha, chanzo ni hiki

Padri alikuwa amekaa katika confession booth kanisani peke yake. Mara kukaingia jamaa mmoja akapiga magoti upande wa pili, akafanya ishara ya msalaba kisha akaanza kuungama {confess} "Padri nimekuja kuungama dhambi zangu, leo nimefanya dhambi kubwa sana." Padri, "Endelea…"

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia huyu boyfriend alivyomuweza huyu msichana wake

Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms ya kimahaba

Open printable article β†’
πŸ“„

Mlevi kazua tafrani, angalia alichokifanya hapa

MLEVI mmoja aliingia baa akavuta kiti na kukaa mhudumu akatokea kumsikiliza.
MHUDUMU: Nikusaidie nini?
MLEVI: Eeh! nipe bia ya baridi kisaha wasikilize wote waliokaa hapa, wape bia na wao maana sipendi kunywa pombe wengine wananiangalia
Akaja mhudumu wa jikoni "nikusaidie nini?"

Open printable article β†’
πŸ“„

Makonda wana mambo, Kila mtu ni ndugu yao

Hakuna m2 mwenye ndugu wengi kama konda wa daladala.

Utasikia,
"HAYA, DADA HAPO MBELE, MJOMBA KULE MWISHO.
MA-MDOGO UNAENDA?,
NGOJA ASHUKE BIBI.
HAYA SHEMEJI UMEIKUTA YA KUWAH.
Babu njoo ukae!
Baba angu hapo tusogee kidogo,

Β

Open printable article β†’
πŸ“„

Madogo wa sikuizi ni kiboko, cheki huyu alichokifanya akiwa darasani na mwalimu wake

Muda wa kwenda nyumbani ulikuwa umefika, mwalimuakasema: yeyote atakaye jibu swali langu lolote kwa usahìhi ataondoka asiye jibu atabaki.Dogo mmoja akatupa begi nje ya dirisha.Mwalimu akauliza nani katupa ilo begi nje?Dogo akajibu fasta mimi. Akafungua mlango akaenda kwao.neno moja kwa dogo

Open printable article β†’
πŸ“„

Huu ndio uhondo na raha ya kupanda daladala wajameni

Wasiopanda dalaladala wanakosa uhondo wa kauli hizi
1. nitakupa
2. Atapewa mbele
3. Hujapewa mbele?
4. Utapewa nyuma
5. Nitakupa nikikaa vizuri
6. Ngoja isimame nikupe

Open printable article β†’
πŸ“„

Alichokijibu chizi baada ya kuanguka ghorofani

Chizi kaanguka toka kwenye gorofa fasta watu wakamfuata kumsaidia wakamuulza VP IMEKUAJE?

Open printable article β†’
πŸ“„

Hii ndiyo sababu ya kumfanya huyu jamaa kujiita fara

MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?"
MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi."
jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku

JAMAA:"msipate tabu mi ntalala hapa kwenye kochi" akalala
asubh wanakunywaΒ

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia wadada walivyoumbuka kwenye hii test

Ticha katangaza test , Akatoa Masharti; Ukiandika jibu hamna kufuta au kukata.

Swali la kwanza,
Taja vyakula vi3 ambavyo ukienda hotelini umelipiwa utapenda kula (marks 1)

WAVULANA wakajaza; wali, ugali, mihogo.
WADADA wakajaza; burger, pizza, egg chop. Swali la

Β

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilichompata huyu jamaa mroho wa nyama, Hata kaa arudie tena

Jamaa kaenda kumtembelea rafiki yake Levi, kule sehemu za kwetu, akakaribishwa bonge ya ugali na nyama nyingi tu, wakati anakula akagundua kuwa shemeji yake, mke wa rafiki yake hali nyama;

JAMAA: Aise hili ni bonge ya lanchi hii, lakini Levi mbona

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujanja alioutumia msichana wa kazi ili apandishiwe mshahara na mama mwenye nyumba

Msichana wa kazi alitaka mama mwenye nyumba ampandishie mshahara….. Mama mwenye nyumba akamwambia msichana ampe sababu tatu za kutaka kupandishiwa mshahara.

Msichana: Napika vizuri kuliko wewe.

Mama: Nani kakuambia?

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo makuu matatu waafrika tusiyoyajua

NIMEKAA NIKAWAZA πŸ™‡πŸΌ KUWA KUNA MAMBO KAMA MATATU HIVIπŸ‘ŒπŸ» WAAFRIKA HATUYAJUI πŸ™‰ KAMA TUNGEKUWA TUNAYAJUA HATA HAWA WAMAREKANI,πŸ‡ΊπŸ‡ΈWACHINAπŸ‡―πŸ‡΅ NA HATA WATU WA ULAYA TUNGEKUWAπŸ‡½πŸ‡ͺ TUNAWAPITA KIMAENDELEO MAMBO YENYEWE,, HATA MIMI SIYAJUI MAANA NA MIMI NI MWAFRIKA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

BREAKING NEWS!!! Nyoka wa ajabu agundulika

HABARI MPASUKO..jana katika taasisi ya wanyama pori ya Nat Geo ilitangazwa kuwa ametokea Nyoka hatar san Ambaye hajawah kutokea duniania.. wanadai kwamba nyoka huyo anaongezeka ulrefu wa 0.5sm kila akila chakula na huwa anakula chakula kuanzia sekunde 30 kurudi nyuma.. mpaka sasa hakuna siraha ya ku…

Open printable article β†’