PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE Β· 452

πŸ“„

Watoto wa siku hizi ni shida! Angalia huyu mtoto anachomwambia baba yake

Ka ni wewe? DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao. BABA: Kwanini unasema hivyo?

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki hiki kibabu kulivyowaacha watu hoi wakati mchungaji anafungisha ndoa

Mchungaji Kauliza: Yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii asimame na aje mbele.Mara kasimama kibabu na kwenda mbele, bibi harusi alipomuona tu yule babu akazimia.Mchungaji akauliza: tueleze pingamizi lakoKibabu kikajibu: Nimeamua kuja mbele kwasababu kule nyuma sisikii!!!.kanisa zima hoi,

Open printable article β†’
πŸ“„

Wazo la jioni hii

πŸ“’WAZO LA JIONI HII πŸ“’ KAMA MWAKA JANA ULIPIGA HATUA NA HUJAFIKIA MALENGO MWAKA HUU PIGA MSAMBA😝

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, Chuoni kwako Kukoje?

FACT!1.Ukiona geto lina feni, sabufa, meza ya plastic na kitanda ch sita kwa sita na Pc UJUE ni jamaa wa UDSM.2. Ukaona geto lina nguo nyingi za watu tofauti tofauti, unga mwingi, vtunguu vng, nyanya halaf pembeni, Vitabu vya kutosha na lundo la karatasi za betting ujue huyu JAMAA ni wa SAUT.3. Ukao…

Open printable article β†’
πŸ“„

Hii ndiyo Ladha ya bia zote usiyoijua

Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6.. Kwa wanywaji wazuri wa bia, chupa ya kwanza 🍺 huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo… Na mara nyingi huwa mkimya, pengine huwa anasoma gazeti lake au kwa siku hizi anawasiliana na ndugu na jamaa kupitia simu …

Open printable article β†’
πŸ“„

Hizi hapa, Aina 10 za ndoa usizozijua

Karibuni tuangalie aina hizi 10 za ndoa.1. NDOA YA MKEKAInatokana na kufumaniwa na Binti wa watu.Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjikamwaka mmoja tu,baada ya wanandoa kugunduahawakuwa wakipendana!2. NDOA YA MIHEMKO (NYEGE)Hufungwa na vijana wenye umri wa miaka katimume18 mke 16.Huvunjika baada y…

Open printable article β†’
πŸ“„

Maujanja ya kumkalisha mwanamme wako nyumbani weekend haya hapa

Siku hizi wa naume licha ya kukimbia nyumba zao kwa kisingizio cha kazi maajabu weekend hasa Jumamosi utasikia wanaaga nafika hapo njiani naja naenda kununua gazeti.Kumbe wanaenda kunywa supu unasubiri wee mpaka alasiri au jioniHivyo wanandoa wengi hili limekuwa tatizo mwanaume kiguu na njia asb mch…

Open printable article β†’
πŸ“„

Tofauti ya mke na mchepuko!!!

Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu.Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu.Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na simu yako.Tv ni bure kwa maisha yako yote, lakini Simu kama hujalipia hupati huduma.Tv ni kubwa nzito na wakati wote ni ya zamani. Lakini simu ni nzur…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia huyu jamaa alivyowafanyia watu uhuni bar

Jamaa kaingia Bar;
Jamaa: Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji. Haraka sana muhudumu akagawa vinywaji,

Open printable article β†’
πŸ“„

Baada ya kumkuta mwanamme mwingine chumbani kwake na mke wake cheki huyu anachokifanya

NAKUA(BABA) karudi kazini mwanae mdogo akamuwahi,
DOGO: Baba usiingie ndani kina jini chumbani kwenu
NAKUA: Hakuna kitu kama hicho
DOGO: Kweli baba kuna jini liko kwenye kabati lenu la nguo….

Open printable article β†’
πŸ“„

Soma huyu mtoto anachosema sasa, Ndoto za watoto bwana! Kazi ipo!

Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae. MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani? JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo. MWAL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani?

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo ya mke na mume haya, chezea mchepuko!?

Mume akamwambia mke wake: "Funga macho yako tufanye maombi" Akaanza kwa Kimombo:- "… Lord I pray for Grace, I pray for Mercy, I pray 4 Joy, I pray 4 Love, I pray 4 Hope, I pray 4 GLORY, I pray 4 Faith, I pray 4…."

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia hawa vichaa walichokifanya, Vichaa bwana, ni noma!

Vichaa walipanga kutoroka, wakakubaliana wamnyonge mlinzi watoroke! Walipofika getini wakakuta geti lipo wazi na hakuna mlinzi, wakasema

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilichotokea Baada ya mlevi na mchungaji kukutana

MCHUNGAJI; "Unakunywa bia!? MLEVI; "Ndio. MCHUNGAJI; "Kwa siku unakunywa bia ngapi!? MLEVI; "Nakunywa bia tano!

Open printable article β†’
πŸ“„

Huu ndio mlolongo wa michepuko kuwahi kutokea kati ya mke, mume mwanafunzi na boss

BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote. SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week. MUME (anampigia mpango wa kando): Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week (Mpango wa kando) anamwambia mwanafunzi wake wa tution: wiki hii nina kazi fulani hakuna tution mpaka week ijayo.

Open printable article β†’