Walevi wana Mambo! Angalia wanachokisema
WALEVI WAWILI KATIKA MAZUNGUMZO YAOMLEVI 1 hivi rafiki yangu china ni mbali kweliMLEVI 2 sidhani mbona pale kazin kuna mchina anakuja na baiskeliπππππ
Open printable article βFind an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.
WALEVI WAWILI KATIKA MAZUNGUMZO YAOMLEVI 1 hivi rafiki yangu china ni mbali kweliMLEVI 2 sidhani mbona pale kazin kuna mchina anakuja na baiskeliπππππ
Open printable article β1, mwanaume kuoga haraka haraka ili uwahi kuangalia igizo, huo ni UMAMA..π2, mwanaume kupiga picha umeng'ata Lips na Unapiga na Camera Beauty Plus huo ni UMAMA..π3, Mwanaume kuangalia tamthilia na Jamai Raja na Maigizo kwenye chanel ya sinema zetu wakati mechi za kombe la dunia zinaendelea, pia naweβ¦
Open printable article βπππππππππππWadada wembamba hebu nenepeni basi mnatupa tabu kusoma maneno ya kwenye kanga jamanii β¦β¦β¦mnaviringisha kanga mwili mara 3 mpaka maandishii hayaonekaniiπ€£π€£π€£π€£
Open printable article βWanaume wana upendo kwa kweli.Mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 90 achague mmoja!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma kuwaacha wale 89 waliobaki!!*Kwa namna hii wanaume wana Upendo Sanaππππππ
Open printable article βπππππ*UCHAWI* ni nini?`Uchawi ni pale mpenzi wako anapokupeleka kwao kufika tyu ghafla unakutana na dada yake getini ambaye alikuwa ni mpenzi wako wa zamani, ile kuingia ndani unamuona kaka yake ambaye mlipigana baada ya kukufumania na mke wake, hujakaa vizuri unamuona mama yake ambaye ndiye jimama β¦
Open printable article βUlishawahi kutana na hiiβ¦.Issa: mamboJeni:poa vpIssa:poa nambie:Jeni:poa aje ww:Issa:poa nambieJeni:poaIssa :bas poaJeni:poaβ¦.Issa:poa badee basiJeni:hayaIssa:baiππππβ¦β¦..HII KIITALIANO INAITWA LACK OF SOUND ENGINEERING NA HII INASABABISHWA NA UOGAβ¦β¦
Open printable article βNjeri: Roysambu ni ngapi?Makanga: Roysambu ni moja tu. Pengine kama Chinese wamejenga ingine.Odhis: Hii gari haina watu bana.Makanga: Kwani hao wawili wenye wamekaa hapo ndani ni ngβombe?Man: Wekeni nyimbo za Yesu tafadhali.Makanga: Yesu bado hajatoa album. Akitoa tutaeka.Mwikali: Excuse me condaβ¦gaβ¦
Open printable article βHivi wadada mnaovaa mawigi.ππ½ Utajisikiaje siku Boyfriend wako anaingia chumbani halafu anatundika NDEVU kwenye hengaπ€£
Open printable article βUnafahamu?Kile kidada kimbea kinachosemaga salio lako halitoshi kimefukuzwa kazi saivi kupiga simu ni bure mjulishe na mwenzakoπ² π²
Open printable article β(KIFO NI NIN)KIFO ni pale unapokosea text na kumtumiaBABA yako kipindi mnakula"hello Mrembo"ππKama utazubutu kusema Samahani π
Open printable article βAkina dada mpenzi wako akikuita MAMITO usikubalina yeye mwite MAFORONYA kama mbwai na iwe mbwaiπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Open printable article β

Demu alimpigia simu jamaa yake ilikua weekend mazungumzo yalikua hivi:-

Demu: hello baby wangu leo bata wapi?

Open printable article β
Jamaa kavamia semina ya wasomi iliyokua inafanyika maeneo ya ubungo plaza bas wakaanza kujitambulisha
1. Naitwa Anna niko SUA mwaka3 nasoma agriculture
2. Naitwa Stella niko UDSM mwaka2 nasoma public relation

Β

Open printable article β
Alifanya hivi;
Siku ya kwanza

MUME: Halooo vipi mke wangu salama weye?.
MKE: Salama tu
MUME: Uko wapi?
MKE: Jamani si niko nyumbani
MUME: Mhh kama kweli uko nyumbani washa blender nisikieβ¦..mkeΒ akawasha blender
MKE: Umesikia?
MUME: Okay haya mi natoka kazini naja

Β

Open printable article βBinti: Hallow mpenzi, Mambo Jamaa: Poa baby Binti:Uko wapi? Jamaa: Niko town napata lunch Binti: Wow unarudi saa ngap? Nina njaa dear naomba uniletee msosi Jamaa: Narudi baada ya nusu saa nikuletee nini? Binti: Niletee chipsi kuku, soseji, mayai manne ya kukaangwa pembeni, baga, piza, coke take awayβ¦
Open printable article β