Njeri:Â Roysambu ni ngapi?
Makanga:Â Roysambu ni moja tu. Pengine kama Chinese wamejenga ingine.
Odhis:Â Hii gari haina watu bana.
Makanga:Â Kwani hao wawili wenye wamekaa hapo ndani ni ngâombe?
Man:Â Wekeni nyimbo za Yesu tafadhali.
Makanga:Â Yesu bado hajatoa album. Akitoa tutaeka.
Mwikali: Excuse me condaâŚgari za Mwingi zinapandiwa wapi?
Makanga:Â Ziliacha kupandwa juu hazimei.
Man:Â Kwani mwisho wa gari ni wapi?
Makanga:Â Mwisho ni hapo penye number plate iko.
Karis:Â Ruaka ni how much?
Makanga:Â Sijaskia Ruaka ikiuzwa. But nikiskia nitakwambia.
Passenger:Â Shukisha dere.
Makanga:Â Tukishukisha dere utaendesha gari?
Johnny:Â Maze, hii gari iko na joto sana.
Makanga:Â Basi shuka upande fridge