PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE Β· 452

πŸ“„

Google, Facebook, WhatsApp, Internet na Umeme nani zaidi?

Google alisema : mimi nina kila kituFacebook ikasema : mimi najua watu woteWhatsapp akasema : mimi napendwa zaidi kuliko nyinyiInternet akasema : hahahaha nyinyi nyote bila mimi si kitu !umeme ukatamka : mutabadilisha topic au niwaonyesheπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Eti kwa nini Watu hawapostigi hii? Hata selfie sijaonaga

Vijana mkiwa mnaendesha magari mna post mukiwa mpo beach mna post mkiwa kwenye masherehe mna post Lakin mkiwa mmeenda kwa mganga siwaoni kupost mitunguli na vibuyu vya mganga unakuwa je wa zee tena. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa hiki kilichonikuta sitadanganya tena kuanzia leo

Juzi nikitoka church nilipanda kihiace na kulikuwa na mrembo mkali hujawahi kuona,kila kijana alikuwa akimtupia macho,so me nilikuwa na wepesi wa kuongea naye kirahisi coz nilikuwa kando yake,,, Sasa kama unavyojuwa wanaume kwa kujikosha Nikaimigine mtto ananiangalia so nikaamuwa kupiga fake phone"H…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kuwa single nao ugonjwa eh, cheki huyu alichokifanya

EtUmexhawah kuwa single had ukaamua kununua viatu vya kike kixha ukaviweka mlangon ili majiran wakipita wajue una demu ndaniβ€¦πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚KUA SINGLE NAO NI UGONJWA EEENH.πŸ˜‰

Open printable article β†’
πŸ“„

Kapresha kakiamua kuja kanakujaga tuu, cheki kilichompata huyu mme wa mtu mpenda michepuko

Kimchepuko chako kinakuandikia meseji kama hii……Samahani baby kama unavyojua nimeokoka ,nimetubu kanisani lakini nabii kaniambia niwaombe msamaha wote niliowakosea.Nimemkosea sana mkeo kwa kumwibia mumewe na nimepanga kuja kumwomba msamaha kesho ntakuja na nabii na Mchumba wangu mpya nilie mpata kan…

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu Jamaa kaona bora afe kuliko mke wake ajue Siri zake

Jamaa Mmoja Alimwambia Mke Wake Wasiliana Na Kitengo Cha Dharura Hospitali, Niko Taabani Nahisi Kama Ninakufa.Mke Akamwambia Nipe Namba Yako Ya Siri Nifungue Simu Yako.Mume AkasemaπŸ‘‰πŸ‘‰ Basi Acha Tu; Kila Nafsi Itaonja MautiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilichotokea baada ya kumdanganya mchungaji wangu

Jumapili baada ya kutoka KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,na ZAKA ndo sijawahi kutoa,Nikamjibu nimenunua JANA,ELFU 50, akanipa LAKI MOJA,nikanunue mbili,yake na ya mke wake. Sa najaribu kumuuliza Mungu,kwanini …

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu Jamaa ubahili umezidi kwa hiki anachomwambia huyu dada

Kama ni ubahili hapa umezidimdada Bby naomba hela nimpeleke mdogo wangu hospital kang'atwa na nyokaJAmaa embu mpe huyo nyoka cm niongee nae.. maisha yanakaba..πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Haya nayo ni maajabu mengine kwa wazazi wa mabinti

BABA MWEUSIMAMA MWEUSIna ww walikuzaa mweusi lakini umefikisha miaka 20 umeanza kua mweupe…..HAPO NDO WAZAZI WANAJIULIZA hv mbegu ilkua ya kinyonga auπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Open printable article β†’
πŸ“„

Hili nalo neno kwa wavulana

Hili nalo nenoDemu wako anakuja kwako kasuka nywele za 30,000 na hujampa hata mia,we unakalia kusema waooo waoooo kama king'ora cha ambulance.Shauri yako we endelea kusema waoooo waooo na atakuwa wao kweli.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Sababu za kumuacha mke kama umemchoka

Ukimchoka mkeo, waweza kumtaftia sababu za kumuacha kama hizi_1. Missed calls 16? Umeua betri la simu yangu. Kwa hiyo hata mimi unaweza kuniua… It's Over!!!_2. Hata hunieshimu. Mi naongea na wewe lakini we upo bize unavuta pumzi? It's over!_3. Nimekupigia umepokea simu hapohapo. Huna subira. It’s ov…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kiingereza kinashida kweli, Angalia alichokisema huyu mwalimu

Kiingereza shidaaaa……!Mwalimu wa chakula alipokuwa anaongea na wapishi akiwaeleza maharage kutoungwa vizurTcha: these beans are not well connected,,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi nilivyogundua kuwa nina kipaji leo

LEO NIMEPITA MTAA FULANI NIKAKIMBIZWA NA MBWA, NDIO NIKAJUA NINA KIPAJI KINAPOTEA TU………SIO CHA KUKIMBIA, NI KUPIGA KELELEπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Open printable article β†’
πŸ“„

Jamaa amkomesha boss wake

Kuna jamaa alifutwa kazi…Ikawa kila siku anaenda nyumbani kwa boss wake na kunya mlango wa mbele… Ikawa hv…boss: _mbona waja kunya kwangu?_jamaa: _nataka kukuonesha kuwa silali njaa_πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa Wadada wanaotaka kuolewa

Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng'ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuniβ€¦πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’