PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE Β· 452

πŸ“„

Angalia huyu Jamaa alivyomuweza huyu mrembo

Nipo kwenye daladala siti ya nyuma kabisa nimekaa na mrembo mzurii.sasa nikawa namtongoza kwa sauti ya chini sana watu wengine wasiskie,akawa hanijibu kitu,mala gafra akapayuka kwanguvu na kwa sauti ya juu iliyomshtua kila mtu.​​"Nimesema stakii,stakii tena unikome"β€‹πŸ˜³πŸ˜³β€‹Nami nikamjibu kwa sauti ya ju…

Open printable article β†’
πŸ“„

Hakuna mtu mwenye mbio duniani kama huyu

HAKUNA MTU MWENYE MBIO, KAMA MSICHANA ALIYEPAKA MAKE UP ALAFU MVUA INYESHE….. πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Usichokijua kuhusu shamba lako

Je wajua?.. Shamba lako likipatikana na dhahabu ni mali ya serikali..ila likipatikana na bangi ni mali yakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilichonitokea leo baada ya kuona nungunungu

Baada ya kukaa mda mlefu sijamuona nungu'nungu leo nikakuna nae nikajisikia furaha sana,nikaona bora niende nikamkumbatie !! kutokana na kukaa cku nyingi sijamuona!Dah! Alichonifanyia nung nung sitokisahau !!!

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia sababu ya mwanamme kubadili jina na Kuitwa jina la kike, hii dunia ina mambo kweli

Rashidi alimpa ujauzito mwanafunzi, akashtakiwa.Kumbe Rashidi ana bibi yake mtaalamu wa yale mambo yao ya Sumbawanga, akampachika Rashidi i jinsia ya kike.Alipofika mahakamani kuhojiwa Rashidi akasema sijampa ujauzito kwa sababu mimi pia nina jinsia ya kike.Kwa kuthibitisha Rashid wakaenda kumkagua …

Open printable article β†’
πŸ“„

Eti hili nalo ni kweli kwa dada yako?

Oya people hv kwa mfano Dada yako akisomea sheria ndo anaitwa sister in law? auπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Dongo kwako kama una degree moja Halafu unachagua kazi

Mtu una degree 1 unachagua kazi! Wakati thermometer ina degree 100, inafanya kazi kwenye kwapa.πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†Ni Utani tuuuuu!

Open printable article β†’
πŸ“„

Nilichokifanya baada ya kualikwa na mchumba wangu kwao

Mchumba wangu amenialika kwao nikawaone wazazi wake lakini akaniambia nisiende mikono mitupu…Nikaamua kuvaa gloves…Sipendagi aibu ndogo ndogo ukweni.😏😏😏

Open printable article β†’
πŸ“„

Wanaume ni noma, Angalia huyu alivyomdanganya huyu πŸ‘§ girlfriend wake

Jamaa kamdanganya girlfriend wake kuwa anasomea HOTEL MANAGEMENT. Siku huyo girlfriend akamkuta jamaa anaosha vyombo kwa MAMA NTILIE.Girlfriend akamuuliza jamaa β€œbeby vipi mbona uko hapa?” Jamaa bila woga akajibu β€œNIPO FIELD.Wanaume hatupendi ujinga sisi 😠😠😠

Open printable article β†’
πŸ“„

Jambo usilolijua kuhusu mwili wako

JE WAJUA!…..Msuli mrefu kuliko yote kwenye mwili wa binadamu unaunganisha kope za macho na sehemu ya kutolea haja kubwa ndo mana kila ukijaribu kubana jicho moja sehemu ya haja kubwa hufunguka bila kutarajia?..............Nakuona unavojaribu kubana jicho …..UTAKUJA KUNYA BUREEEE, hutaniwiii?!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚β€¦

Open printable article β†’
πŸ“„

Hii dunia kweli haina haki, soma hii

Unapiga kilimo chako unamsomesha girlfriend anafika chuo anakutana na msomi mwenzake anarudi anakwambia unanidai shilingi ngapi..,,?Hapo ndo utatambua kwann kinyesi hakina mwiba ila ukikanyaga lazima uchechemee..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’€

Open printable article β†’
πŸ“„

Sababu ya girlfriend πŸ‘§ kuniblock

Nimeblockiwa bila kosa X Girlfriend From no where kanitext eti Hi; Vp na huko kwenu mvua inanyesha …Nimemjibu kwani nimekutumia text ina matope?sipendangi ujinga mimi

Open printable article β†’
πŸ“„

Wanaume ni noma, Angalia wanachokifanyaga wakimwona mwanamke

Wanaume ni viumbe WASTAARABU sana..Mdada anapokua kavaa BIKINI na BRA tu, 98% ya mwili wake unakuwa wazi…Sisi kwa USTAARABU huwa tunaangalia pale PALIPOFUNIKWA..Hatutaki Dhambi za Kijinga kabisa Sisiβ€¦πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia alichokifanya huyu mkaka alipoenda benki 🏦

At the bank..Teller: Hii pesa ni fakeMkaka: Shida iko wapi..pesa ni yangu..account pia ni yangu..weka tu!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

Open printable article β†’
πŸ“„

Jamaa anayependa kuwafanyia watu uhuni leo kapatikana na huyu mdada

Mdada alienda super-market kununuakuku, bahati mbaya kwenye frijkulikuwa na kuku mmoja tu, muuzajiakamtoa akamuweka kwenyemzani, akaonekana ana kilo moja na robo.Mdada akamuulizamuuzaji,’Huna mkubwa zaidi?’ Muuzajiakamchukua yule kuku nakujifanya kamrudisha kwenye friji, halafuakamtoa tena kwenye fr…

Open printable article β†’