πSifa mbaya: Cheki kilichompata huyu mwanaume mpenda sifa
SIFA MBAYAβ¦Jamaa alikuwa ndani ya daladala Mara simu ikaita alikuwa ni mkewe kwa sifa jamaa akaweka loud speaker ili watu wasikie wanavyopendana.JAMAA;wife Mara hii umenimiss jamanWIFE; kwa nini umekunywa uji wa mtoto?!!!πππππ
Open printable article βπMaisha ya Pwani ni Shidaaaaah
ππ ππππππ Jamaa kagombana na mkewe, akasusa kulaπ½π¨ kurudi kazini kamkuta mkewe amevaa kanga imeandikwa ukisusa wenzio wala ilipofika asubuhi mke akavaa kanga imeandikwa ukitoka πΆπΆmwenzio anaingiaππjamaa akagoma kwenda kazini π¬π¬ mke akabadili kanga na kuvaa iloandikwa nimemdhibiti ndo mana hatokiπ· jaβ¦
Open printable article βπAngalia nilichomjibu huyu kuhusu kabila langu
Kuna mtu kanikera et nmemkubalia urafiki Leo tu Facebook anataka kujua kabila languBac akajifanya mjanjaa et akaniuliza mbu kwenu mnawaitajeMimi nkamjibu hatuwaiti wanakujaga wenyeweπππππππSi kwamba cjamuelewa ila sipendagi Ujinga Mimi
Open printable article βπHuyu traffic noma, kweli ulevi mbaya
Trafik mlevi alisimamisha gari Mama akapaki pembeni akaona trafik anakuja akiwa anayumba! Alipofika akasema, "naomba leseni yako."Mama akasachi mkoba Wake akatoa kioo kidogo cha kujtazama akampatia! Trafik akakiangalia kwa dakika 2Akasema sasa si ungesema kama wewe ni trafik mwenzangu!Haya nendaUlevβ¦
Open printable article βπCha kufanya msichana akikukimbia halafu atake kukurudia
β¦β¦β¦ Kama msichana atakutupa kwa sababu huna pesa, na baadaye unapopata pesa akarudi tena kuomba msamahaβ¦ Ndugu yanguβ¦.. Msameheβ¦. Mpe ahadi ya ndoa, mwambie utamuoaβ¦. iambie familia yake unataka kufanya ukarabati wa nyumba yaoβ¦β¦ Ondoa paa lote la nyumba yao halafu TOWEKAβ¦..πβ¦β¦β¦ πβ¦β¦.. π
Open printable article βπDunia ina mambo, soma hii
Dunia ina mamboKuna mama mmoja kavamia bank uchi cha kushangaza hakuna anae kumbuka uso wakeπππππ
Open printable article βπMkalimani alivyoharibu ibada ya leo
Leo nikaamua niingie misa ya asubuhi kwenye kanisa moja la kilokole kulikua na ugeni wa mchungaji kutoka Bulgaria, Mahubiri yameanza saa 1 asubuhi hali ikawa kama hivi:MCHUNGAJI: My name is Pastor LivingstoneMKALIMANi: Kwa jina naitwa mchungaji Jiwe linaloishiMCHUNGAJI: We thank God for All goals weβ¦
Open printable article βπAngalia huyu polisi kitu alichonijibu
Nimefika hapa Polisi Station nimefarijika sana na Kustuka baada ya kumkuta Askari hapa Kaunta anasoma Biblia nikajisikia fahari kuona anasoma neno kituo cha Polisi. Nikamuukiza Afande ni Nani alimuua Goliathi? Akasema Muulize Afande Mwita mlango namba 2 ndo anausika na Kesi za Mauaji.ππ
Open printable article βπAngalia huyu Jamaa alichomfanyia mke wake jana
Jana niligombana na mke wng, Akaniambia nibebe kila kitu changu niondoke, Bas kiustaarabu tu nikachukua nguo zangu,mwishoni nikambeba na yeye nikamuweka begani nikaanza kuondoka naehua sipendagi ujinga, amesahau na yeye pia ni wangu
Open printable article βπHii ya mamba na kiboko kali, Wewe unaonaje?
Eti kati ya MAMBA na KIBOKO nani kiboko???ππππMi naona MAMBA ndo kiboko!π³Ujinga mbele kwa mbeleπππππππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Open printable article βπSMS Mafua ndiyo hii
JE UMESHAWAHI KUONA SMS MAFUA?Cheki hii hapaβ¦β¦.."Mabo dugu yagu mziba? Bwada nasubuliwa sada na bafua baka dashindwa kuadika beseji do hayo dugu yagu.Diobeeni diponeππππππππHapana ChezeaBafua
Open printable article βπKilichotokea Leo mahakamani
Leo nimeenda mahakamani, mara judge akasema..Order! Orderβ¦Mimi na kiherehere changu nikasema.. Chapati .. Maziwa na ovacado tatu β¦Nimewekwa kwa karoom kengine hapa kanagiza..i think wananiandalia chapatiπππππππππ
Open printable article βπNilichokifanya kwa rafiki yangu
Nimekuja kwa Rafiki angu kumtembelea kaacha maji jikon yeye kaenda kununua unga. Huku mm nikaongeza maji pale jikon. Kumbe yy aliweka maji saiz ya unga wake peke ykeβ¦ Sasa hiv TUNAKUNYWA UJI hata hatuongeleshani. Kimbelembele changu kimeniponza.. ππππ
Open printable article βπMume alichomjibu mchepuko wa mke wake
π Jamaa kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya 1 kalala asubuhi alipoamka kachungulia kwake kukoje,Si kamuona jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki. Akapiga kelele, 'We nani?', Jamaa akajibu, 'Mshikaji mambβ¦
Open printable article βπHuyu panya wa tatu ni noma
π π π Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidiPanya 1: jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya panya) mara tatu na sijadedi !!!Panya 2 Wewe unasema nini, mimi nimekula nyama ikiwakwa mtego mara 5 nasijawahi dakwaRAT 3 Mmemaliza? Mie hata sijui mnabishana nini? Mimi hii mimbaβ¦
Open printable article β