PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE Β· 452

πŸ“„

Wanawake hii nayo ni romantic ?πŸ’ž

Alaf wale Madem wanaowavua maboy wao KOFIA alaf wanakimbia nayo thinking its FUNNY and ROMANTIC.. Hiv nyie mkivuliwa MAWIGI wakakimbia nayo mtajiskiaje?🐸🐸

Open printable article β†’
πŸ“„

Hii ndiyo maana ya matatizo

SWALI: Nini maana ya matatizo..?JIBU: matatizo ni pale unapopewa adhabu na mwanajeshi then akakuruhusu uondoke, lakini ukarukia pikipiki yako halafu ukapayuka..!!!!! Mwanajeshi, wee boya TuMara ghafla chombo kikagoma kuwaka.!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Eti kwani wewe ni turubali?

Unakuta MTU mwaka MzimaUmehudhuria, birthday parties 20 , misiba 30,Mikutano kanisani 40, Ndoa 80 na bado uko Single Kwani wewe ni turubai jaman??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Wanawake wanavyopenda hela, hadi kutoka kwa nyani na ngedere

Kama Nyani na ngedere wangekuwa na pesa…Trust me Kuna wanawake wangekuwa wanaishi misituni mda huu…..Wanavyopenda helaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Baada ya kunitumia SMS usiku ikawa hivi….

Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"…halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu..Sipendagi kuchezea salio..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Nilichojibu kwenye interview walipoulizia status

Nimetoka kufanya interview wakaniuliza status yangu nikaawabia status yangu ni Hey there! Iam using watsApp, wameniambia nitoke nje I think wanajadiliana namna ya kunipangia kituo cha kazi

Open printable article β†’
πŸ“„

Baada ya kuumizwa kimapenzi haya ndiyo maneno

Mkishaumizwa ndo utasikia, Moyo sukuma damu sio mengine. wakati mnapenda mlizani moyo ulikuwa unasukuma kinyesi!!!!!??????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Duh. Chezeya kuhama!

Pale imebaki siku moja uhame kwenye nyumba ya kupanga af unakuta umebakiza unit 60 za umeme, inabidi tu uchemshe maji hadi yale ya kuflashia choo😑😑😑😑😑

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilichotokea baada ya kuzamia sherehe

Pale unapozamia kwenye Dinner Party ya Jumuiya Fulani, sasa Lengo la Jumuiya hiyo ni kupata Fedha za kutunisha Mfuko wa Jumuiya…sasa unakakaa mbele kabisa ili Muda wa Msosi usichelewe na kukuta kwenye Buffee yamebaki maharage!MC : "Papai zuri kabisa kutoka Newala, Papai Mwendokasi, hili ni Shilingi …

Open printable article β†’
πŸ“„

Utoto bwana. Raha sana!

Utoto buana! eti mnacheza mpira wa makaratasi(chandimu) unapiga chenga kibao afu ukifika golini ufunge unakuta goli hamna kumbe mwenye ndala zake ameitwa kwaoπŸ˜†

Open printable article β†’
πŸ“„

Kama simu yako ina wifi

Kama simu yako ina Wi-fi ujue uko na mke wa mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌ

Open printable article β†’
πŸ“„

Hapo sasa akili itakuja

Pale unapo gundua kuwa yule ulie mtukana kwenye bajaji ndio boss anaeenda kukufanyia interviewπŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯😭My freand apo ndo utagundua kwaanini wimbo wa Taifa tokea 1961 ni audio aujatolewa videoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Open printable article β†’
πŸ“„

Huku ndiko kuumbuka bila chuki

Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba …

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia nilichokifanya Jana kumkomoa x-wangu

Mwenzenu nilikatiwa umeme jana basi leo si nikaamua kwenda kununua luku ya 10,000. Kufika njiani nikatamani fursana nikaingia kijisupermarket mara sindo nakutana na ex wangu! Mshenzi yule kaniona mimi sijui alikua na mpango wa kununua vocha ya jero eti kabadili kanunua vocha ya buku tano ilimradi ni…

Open printable article β†’
πŸ“„

Alichokisema mwizi baada ya kushinda bahati nasibu

Hapa mtaani kuna mwizi sugu ameshinda mil.10 za bahati nasibu ??.Alipoulizwa atafanya nini na hela nyingi hizoAkasema anataka kupanua shughuli zake. Mimi sijamuelewa na sasa hivi watu wameanza kuhama mtaaβ€¦πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’