PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE Β· 452

πŸ“„

Angalia huyu mgonjwa

Mngojwa: daktari Nina tatizo la kusahausahau kila dakika.Daktari: hilo tatizo lilianza lini?Mngojwa:tatizo lipi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia nilichomfanyia huyu mwizi

Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwanguakaanza kutafuta kitu kila kona ikabidna mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta naemaana hta hela ya kula Jana sikuanayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu?*sipendagi ujinga

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki huyu jamaa alivyoumbuka kwenye harusi

Jamaa mmoja alialikwa ktk harusi. Akafika mlango Wa 1 umeandikwa kulia ni ndugu Wa maharusi, kushoto ni wageni waalikwa, akaenda kushoto maana yy alialikwa. Akakuta mlango wa2 umeandikwa kulia wenye zawadi kushoto wasionazawadi yy hakuwa na zawadi. Mlango Wa 3 umeandikwa kulia wanawake kushoto waume…

Open printable article β†’
πŸ“„

Nilichokifanya leo

Leo nmemlipa konda nauli, akasahau kunishusha kituoni. Na mimi nkakaa KIMYAAA kumkomoa…..*nataka ujinga kwan mimiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†*Sahv narudi zangu kwa mguu😩

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujinga wa ndoto ndio huu

πŸ‘‰Ujinga wa ndoto ndiyo huuβ€’β€’Utaota umeokota dolla ukiamka empty…‒‒Utaota umeokota dhahabu ukiamka kitandani patupu daadeeki OTA Sasa UMEKOJOA…..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Upendo wa kweli ni nini?

*Upendo wa kweli ni nini?**πŸ‘‰Upendo wa kweli ni pale mwanaume anapomfumania mwanamke wake na kisha kumwambia baby vaa nguo twende nyumbani**Kifo ni nini?**πŸ‘‰Kifo ni pale mwanamke anapokubali kwenda nyumbani na mwanaume yule.*πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia huyu ticha wa Hesabu alichofanyiwa

Looku Looku* πŸ‘€πŸ‘€*Ama Kweli Mkuki Kwa Nguruwe kwa Binadamu Mchungu Skia Hii….!!**Ishawahi kutokea Pale nilipokutana njiani na mwalimu aliyekufundisha MATHS secondary afu akaniambia nimuelekeze njia ya kwenda sehemu fulani.**_Nenda mbele kama 2KM hivi kisha kata kushoto,ila hakikisha ANGLE inakuwa ni 3…

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu ndo mwanamke

Akikuta PESA wakati anafua atapiga kimya kimya, sasa ngoja akute umeacha CONDOM ndo utajua kama umeoa KIPAZA SAUTI πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†Ndio maana mimi nafungaga condom na hela kwa pamoja… akivikuta anachukua hela na kuishia kusonya tu.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Huwa sipendagi ujinga Mimi😑😑😑😑😑😑

Open printable article β†’
πŸ“„

Mzee wa kichaga na hela zake. Angalia anachofanya

Mzee moja alikuwa kila usiku anapita mbele ya bank anasimama,kisha anapiga honi,akitoka askari mlinzi,anaondoka.Hilo jambo likamkera sana askari mlinzi, askari akawa na mvizia yule mzee wa kichaga ,siku alipokuja tena akamkamata, akamuuliza kwa nini unakuja unapiga honi kisha unakimbia? Mzee akasema…

Open printable article β†’
πŸ“„

Hizi swaga za huyu jamaa ni shida, Google!

Jamaa alikuwa kwenye daladala pembeni kunadada mrembo kakaa. Kamlia timing kwa mudakisha halafu akamuuliza "Samahani dadaunaitwa Google?".Dada: "hapana, kwanini umedhani naitwahivyo?". Jamaa: "Una kila kitu nnachokitafuta"πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia kilichompata huyu mwanafunzi kilaza anayejiamini

Teacher: Who is a pharmacist?Shemdoe raised up his hand.Teacher: So it’s only Shemdoe that can tell who a pharmacist is in this class? So there is no body else to answer the question except Shemdoe? (There was no reply from the students)Teacher: Ok now Shemdoe, chukua hii fimbo, charaza vilaza hawa …

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu mwanafunzi kweli kiboko

Ticha: Wa kwanza kujibu swali langu ataenda Home mapema..John kusikia hivyo....Karusha begi la daftari nje.....` `Ticha akauliza: Nani karusha begi nje!?!`* `John: Mimi..... Kwa herii Mwalimu......` πŸ˜‚πŸ˜‚,πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Mshahara usiobadilika

PAMOJA NA HALI NGUMU YA UCHUMI NCHINI HUWEZI AMINI MSHAHARA WA DHAMBI HAUJABADILIKA HATA KIDOGO…BADO NI MAUTI VILEVILE😊😊😊😊

Open printable article β†’
πŸ“„

Duh, Ukisikia ngoma droo ndio hii

Ni noma!Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji:- "Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako" Mume akamjibu:- "Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila siku kwamba nazini na binti yangu" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

Open printable article β†’
πŸ“„

Mzunguko wa elimu kiafrikaafrika

01.πŸ‘‰ Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school.02.πŸ‘‰ Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.03.πŸ‘‰ Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia Siasa na kuwaongoza wote hapo juu. Yaani wa kwanza na wa …

Open printable article β†’