PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE Β· 452

πŸ“„

Madhara ya kubeba nauli kamili tuu. Cheki kilichonipata

Kubeba nauli kamili nayo ni shidaYani nimepanda daladalaKondakta mmoja akaingia kwenye Gari amevaa suti za blue za daladala na miwani Kisha akakusanya pesa Gari Zima alafu akakaa siti ya nyuma baade Kondakta mwingine akaanza kukusanya pesa watu wakalalamika na kusema tayari tumelipa na kumuonyesha t…

Open printable article β†’
πŸ“„

Wadada lenu hili. Mimi sipo

Wadada kama una sura mbaya subiri NEEMA YA BWANA..Sio kutuambia mna uzuri wa Ndani usioonekana..Sisi ni Wanaume,Sio MINYOOπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Haya ndiyo madhara ya kulala kanisani

Tukiwa kanisani mdada alikuwa amelala , akaamka akasikia Pastor anasema" SIMAMA"Yule dada akasimama akashangaaa kanisa zima linamtizima kwa mshangao akiwemo mumewe, akaangalia kanisa zima akashtuka kujiona yeye peke yake ndiye aliesimamaPastor akaendelea vizur endelea kusimama, tumepata mmoja hadi s…

Open printable article β†’
πŸ“„

Wanawake wa leo mbele ya hela. Hii ni hatari

MDADA: Baby nikwambie kituMKAKA: Yeah Baby Uko huru nambieMDADA: nilikua naomba hela baby☺MKAKA: WW nae kwa kupenda hela jana tu nmekupa hela Leo unaomba ya nn πŸ˜–MDADA: hapana😌 Bby sio hivyo nlikua nataka nikashuhudie tetemeko la ardhi BUKOBA nasikia huko linaonekana vizur .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wanawake kumbukeni…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapenzi Stress tupu

Stress TupuUnapokea Sms kwa mpenzi wako anakuambia"Kuanzia Leo Mimi Na wewe Basi! ????"Unashtuka ??…. Una muuliza kulikoni? ????Anakujibu: "Sorry Sio Sms yako?"Hapo Ndo utajua Kwanini Hakuna Mmasai Albino??????

Open printable article β†’
πŸ“„

Acha usumbufu…

UNAMNG'ANG'ANIZA MPENZI WAKO AKUWEKE KWNY PROFILE PICHA MLOPIGA PAMOJAHIVI ULIDHANI MWL.NYERERE ALISHINDWA KUKAA NA MKEWE MARIA KWNY NOTI YA BUKUπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Acha Usumbufu…..

Open printable article β†’
πŸ“„

MAMBO KUMI YA KUFURAHISHA NA HUWEZI KUYAFANYA

1. Huwezi kuosha Macho kwa Sabuni;2. Huwezi kuhesabu Nywele zako;3. Huwezi kupumua kwa Pua na huku umetoa Ulimi;4. Unajaribu kufanya namba 36. Umeona inawezekana, sanasana unakuwa Kama Jibwa;7. Unatabasamu kwa kuwa umejiona Mjinga!8. Umeruka namba 5;9. Unahakikisha Kama kweli 5 haipo.10. Unacheka kw…

Open printable article β†’
πŸ“„

Gari na mke nini muhimu?

GARI YA MILIONI 50UNALAZA NJE…mke wa laki sitaunalala nae ndani….BANGI SI NZURI JAMANπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Watu wana vimaneno

Eti linalo jamba ni tumbo makalio ni spika tuDah!!Nimecheka hadi basi leo😸😸😹😹

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia huyu mwalimu alichomfamya huyu mwanafunzi

*Hadith ya Shemdoe na Mwalimu wa English:**Teacher:* `Who is a pharmacist?`*Shemdoe:* πŸ‘†πŸΏ _(raised up his hand.)_*Teacher:* `So it’s only Shemdoe that can tell who a pharmacist is in this class? Thus, no body else to answer the question except Shemdoe?`_(There was no reply from the students)_*Teacher…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ingekua wewe ndio baba au mama ungefanjaje?

Baba na mama baada ya kurudi safari pamoja wakakuta BARUA iko mezani SEBULENI ikisema…. "Baba na mama, ni matumaini yangu kuwa mtasoma ujumbe wangu huu kwenye karatasi niliyoiwekajuu ya meza, naomba msishtuke mana ni mambo ya kawaida kwenye maisha tunayoishi, najua mtaumia kwa vile bado nasoma na nd…

Open printable article β†’
πŸ“„

Madenge hakosi visa. Soma hii

MADENGEHAKOSIVISAbaada ya kumaliza form four baba akamwambia achague zawadi yoyote aipendayoMADENGE: naomba pesa nikamuoe bibi maana siku nyingi amekuwa akiniita mchumba wake.BABA: Shenzi, yule ni mama yangu mzazi huwezi kumuoa.MADENGE: Mbona wewe umemuoa mama yangu mzazi sijasema kitu ww inakuuma? …

Open printable article β†’
πŸ“„

Kizungu nacho ni sheeeedeer

Mtalii: Do you have vegetables here.Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa.Waiter: Vijimeza vidogo hatuna.Mtafsiri: No sir, they don't have.Mtalii: OK, fine, do you have hot dogs.Mtafsiri: Sawa, je mnao mbwa wa moto.Waiter: Loh! Bwana we, hatupiki mbwa hapa.Mtafsiri: They don't cook hereMtalii: What type of…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mchaga mmoja kamtoa mke wake out mambo yakawa hivi

*Mchaga mmoja kamtoa mke wake out.**mchaga* : _chips yai bei gani?_*mhudumu*: _elfu 2_*mchaga* : _zina kachumbari?_*mhudumu*: _ndio!_*mchaga*: _kachumbari mnauzaje?_*mhudumu*: _kachumbari ni bure._*mchaga*: _ok basi naomba kachumbari sahani mbili, chips ziache tuuu_.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ _SIPENDI UJINGA MIMI_πŸ’₯

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu mlinzi bwana

High school Flashback!!.Watchman : Amkeni muende morning preps.Allan : Mimi ni mgonjwa.Watchman : Unaumwa na nini hiyo?Allan : Bionomial Nomenclature.Watchman : Eeh, lala tu kijana. Hiyo kitu nimbaya. Imeuwa watu South Africa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚#_Sipendagii ujinga kabisaa mimi

Open printable article β†’