Stress Tupu
Unapokea Sms kwa mpenzi wako anakuambia
"Kuanzia Leo Mimi Na wewe Basi! ????"
Unashtuka ??…. Una muuliza kulikoni? ????
Anakujibu: "Sorry Sio Sms yako?"
Hapo Ndo utajua Kwanini Hakuna Mmasai Albino??????