PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE Β· 452

πŸ“„

Huyu mke ni shida!

MUME: "Unajua mi unanishangaza sana, kila siku nakusikia mara useme TV yangu, gari yangu, chumbani kwangu, mara hoo watoto wangu. Sisi ni mke na mume, kila kitu ni chetu. Jirekebishe bwana".πŸ‘΄πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜’MKE: Yuko kimya anaendelea na shughuli zake za kupekua kabatini kama hasikii, na hakumjibu kitu mumewe.πŸ‘΅πŸ˜·M…

Open printable article β†’
πŸ“„

Balaa la mitoto isiyopenda shule

SINA MBAVU NA HIKI KISA;BALAA LA MITOTO ISIYOPENDA SHULE!Baada ya mwiz kuvamia nyumba moja usiku na kuiba vitu vngi wakati anajiandaa kuondoka ghafla akadakwa mguu na dogoDOGO: Usipoondoka na begi langu la shule NAPIGA KELELE….πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Ni wazo tuu!

Siyo watu wote wanaokuuliza kwamba watoto hawajambo,wanakuuliza kwa nia nzuri,wengine wanaulizia watoto wao waliozaa na mkeo.duh!! tutafika kwelπŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸƒπŸƒπŸƒ

Open printable article β†’
πŸ“„

Tofauti kati ya mwanamke na mwanamme

UTOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME1. Kwenye mshituko; mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshituaπŸ˜‚πŸ˜‚2. Kwenye kupenda; mwanaume huanza kutamani alafu hupenda, mwanamke huanza kupenda moja kwa moja bila kumjua vi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Duh! Wanaume jamani…

Lakini sisi wanaume hatuko fair … Yani demu anang'ng'ana kujipodoa uso na sisi tunaangalia matako. πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†mungu anatuona jamanπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†Makeup ya matako iletwe

Open printable article β†’
πŸ“„

Hii sasa ni kali

Siku izi kujuana kumezidi hata ukienda msibani kama hauna connection hauli msosiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Biashara ambayo imefeli

*TEACHER*: _nielezee biashara ambayo imefeli kutokana na uzembe*STUDENT*: Changudoa akipata mimba…*TEACHER*: _get Out!!!!!!!!!!!!!!_πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Sipendi ujinga. Cheki nilichokifanya

Nimeingia chumban nikakuta panya wamekula dawa yangu ya minyoo, Na mimi nimechukua yakwao nikanywa. Sipendagi ujinga mm!!😏😏😏

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu jamaa amekomeshwa, majambazi ni shida!

CHEKA KIDOGOMajambaz waliliteka gar moja lililokua limeshehen abiriaBaada ya abiria kusachiwa na majambaz hao na kukutwa hawana pesa, majambaz wakasema kila m2 atapigwa viboko (bakora) kutokana na namba ya shati alilovaaAliyekua hana namba atasalimikaKaz ikaanza, jamaa alievaa jez ya ROONEY wa Man U…

Open printable article β†’
πŸ“„

Maajabu ya wananchi wa Tanzania, Je, wajua hili?

JE WAJUA TANZANIA NI NCHI PEKEE AMBAYO WATU WANAPOANZA KUCHAT huanza kwa kiingereza 'morning' na hupiga stor zote kwa kiswahil mwishon humalizia tena kwa kiingereza ' g9t

Open printable article β†’
πŸ“„

Muda ambao unaweza kumzoea dingi

Muda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONE….Wanakuwaga wapole sana aisee unaweza hata kumuagiza maji ya kunywa akakuletea….πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Nimeitoa sehemu

If…99 is: Ninety nine,88 is: Eighty eight,77 is: Seventy seven,66 is: Sixty six,55 is: Fifty five,44 is: Forty four,33 is: Thirty three,22 is: Twenty two,Why 11 not Onety one?Wazungu msitufanye Vilaza….!! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚Mungu anawaona

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia anachojibu huyu babu. Wazee wengine bwana

Babu: Mjukuu wangu ngoja nikusimulie hadithi ya mimi babu yako kwenye vita ya kageraMjukuu: Niambie babuBabu: Kwenye vita ya kagera tulienda sehemu tukakamatwa wote askari na maadui wakatuambia chagueni kuuliwa au kubakwa.Mjukuu: Sasa babu wewe ulichagua nn?Babu: Niliuliwa!!!

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu mme ni shida

MKE..mume wangu unaweza kuua simba kwasababu yangu???MME: Hapana mke wangu, sema kingineMKE:unaweza kunipa nione watsapp yako nione msgs?MME: Haya sema huyo simba yukwap nikamuue

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheka na methali

1.Simba mwendapole =Huyo ni Sharobaro2.Asiyefunzwa na Mamae= Ujue Mama hajapitia Ualimu3.Zimwi likujualo= Lilikuona Sehemu.4.Chelewa Chelewa= Ukizikusanya utapata Ufagio.5.Hakuna Masika= Wakati wa Kiangazi.6.Mpanda Ngazi= Asiwe Mwoga kuanguka7.Dua la kuku=Bismilah rahman rahim11.Penye wengi= Pana Aj…

Open printable article β†’