MUME: "Unajua mi unanishangaza sana, kila siku nakusikia mara useme TV yangu, gari yangu, chumbani kwangu, mara hoo watoto wangu. Sisi ni mke na mume, kila kitu ni chetu. Jirekebishe bwana".π΄πππ
MKE: Yuko kimya anaendelea na shughuli zake za kupekua kabatini kama hasikii, na hakumjibu kitu mumewe.π΅π·
MUME: Akamuuliza kwa hamaki,"Sasa hapo unatafuta nini?".π΄π‘
MKE: "Sidiria yetu!!"ππ
MUME: (kamfungia kabatini alafu kamwambia. "nipo chumbani , ")π΄π·π·
ππππππ
ππππππ