πAngalia huyu mwalimu alichokifanya
Mwalimu aliingia darasani akiwa amechoka kinomaakawambia wanafunzi.'leo tutajifunza kipindi chadini " wanafunzi wakiwa wanajiandaa ili kuendeleana kipindi mwalimu akajiegesha kwenye kiti klichokuakaribuu yake baada ya dakika kadhaa mwalimu alipitiwana usingizi, ghafla alingia mkurugenzi nakusimama pβ¦
Open printable article βπCheki huyu kiherehere alivyojibiwa
Za asubuhi?Nzur sjui huko?Huku kwema tuuVP si ulimaliza chuo ww?Ndio kwani vp?Mbona hatuoni matunda yake?Kwani mi nlienda na miche ya mipapai au miembe au umeambiwa TIA, IFM na IAA wanakodisha Mashamba ya nyanya ????????Hamna sio hvyo umeenda mbali kakaKama kilomita ngapi?Haya yaishe bhanaβ¦Ukome kwaβ¦
Open printable article βπAngalia sababu ya mke Mtarajiwa kuzimia kabla ya harusi
*Jihadharini* na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa!Mchapaji aliombwa aweke 1 Yohana 4:18 katika kadi ya harusi lakini mchapaji kwa makosa aliweka Yohana 4:18.1 Yohana 4:18 panasema, "Katika pendo hakuna hofu, lakini pendo lililβ¦
Open printable article βπUngekua wewe ndio boss wa huyu jamaa ungempa kazi? Ungemjibu nini?
*Boss*:-kijana unataka nini ndani ya ofisi zangu?*Jamaa*:-Samahani naomba kazi ya ulinzi ndugu.*Boss*:-umesoma mpaka wapi?*Jamaa*:-mpaka form four.*Boss*:-unajua kingereza?*Jamaa*:-kwani hao wezi wanakuja na wazungu???.π
π
π
π
π
π
Open printable article βπHuu ndio Umuhimu wa English katika mapenzi
HUU NDO UMUHIMU WA ENGLISH KATIKA MAPENZIjaribu kumwita mpenzi wako "my sweet potato" atakuelewa ila mwite kwa kiswaili " *kiazi wangu mbatata*"hiyo itakuwa vita ya tatu ya duniaππ
Open printable article βπUnakumbuka haya enzi za shule?
Kama umesoma st Kayumba utakuwa una aidia na hayaβ¦1.Unaenda shule umechelewa unakuta mwalim anakamata wachelewaj unaamua urudi nyumbani2.unachukua kimbegu cha ubuyu unasugua sakafuni af unamuunguza mwenzio3.mkiruhusiwa tu unakimbia unataka uwe wa kwanza kwenye njia yenu y kurudia nyumban4.MTU akikukβ¦
Open printable article βπAngalia kilichonikuta nilipoenda kwa mganga
Usije ukaenda kwa mganga, mwenzako yamenikuta, yani masharti niliyopewa, acha tu,yalikua hivi:-1.Jasho la nyoka.2.Manyoya ya mende.3.Sisimizi Shoga.4.Mbwa mjane.5.Kuku aliye single.6.Samaki mwenye miaka miwili bila kuoga7.Mti wenye ujauzito.8.Mbavu za Nzi.9.Nywele za Kiroboto.10.Mwanya wa Mbu.Duuh..β¦
Open printable article βπDuh! Huyu kazidi sasa
Kuna jamaa kapita hapa kaniuliza et mbona umekunja sura nikamjibu nataka niweke kwenye begiπππ
Open printable article βπDarasa lolote lile halikosi watu kama hawa
Darasa lolote lile (hasa vyuoni) lazima liwe na wanafunzi wafuatao:1. Mrembo wa darasa.2. Playboy/playgirl. Hawezi kutembea na msichana/mvulana mmoja mara mbili.3. Group ya marafiki watatu. Kila mara wako pamoja.4. Mtu mwenye maswali ya kuudhi/kukera.5. Msongolist kimeo. Huyu huwa anasoma sana bt haβ¦
Open printable article βπHuyu jamaa ni shida, Chezea wimbo wa Taifa!
Mke mmoja alimpa mme wake redio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu.Basi alvyotoka akamuuliza,''ehe mme wangu ulienjoy?" Mme,"ah wajinga hawa!Wameniwekea wimbo wa taifa,nimejisaidia huku nimesimama
Open printable article βπMjini shule. Soma hii
Kuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu.Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigia zaidi ya mara kumi (10) bila ya mafanikio!Kila nikimpigia simu hajibu simu zangu, nikahamua kumwandikia message kwa WhatsAppβ¦!_Hello Mamu, Nakupigiaβ¦
Open printable article βπMaisha ya kijijini hadi raha!!
Jamaa alimfumania mtu anazini na mkewe,Akamtoza Faini ya sh 5000 tu,yule mtu akatoa 10000.Jamaa akasema lala nae tena sina chenji!πππππππ
Open printable article βπCheka kidogo hapa. Huyu Chizi Kachizika Kweli
Mvaa milegezo alizidiwa na pombe akaenda kulala dampo,Chizi mwingne naye akaenda hukohuko, alipofika dampo akakuta mlevi kalala matako wazi,chizi akaanza kuyashikashika huku akisema, kweli duniani kuna watu matajiri, haya matako si mazima kabisa wao wameyatupa!πππ
Open printable article βπHapa itakuaje?
NAJISIKIA NIMEBOEKAβ¦SIJUI NIENDE KAMBI YOYOTE YA JESHI NITEREMSHE BENDERAALAFU NITOKE MBIOβ¦..πππππππΎππΎππΎππΎππΎππΎ
Open printable article βπDuh! Hiki nacho chombo cha moto?
_Sheria inasema kila anaetembea na chombo cha moto barabarani sharti awe na leseni.__Sasa hawa wauza kahawa mbona wanatembea na chombo cha moto lakini hawakamatwi π‘.__Hizi sheria zinapendelea._πππππππππππ
Open printable article β