Jamaa alimfumania mtu anazini na mkewe,

Akamtoza Faini ya sh 5000 tu,yule mtu akatoa 10000.

Jamaa akasema lala nae tena sina chenji!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€