PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Dondoo za Mapishi na Lishe Β· 234

πŸ“„

LISHE BORA KWA WATU WENYE AFYA NZURI

β€’ Kula chakula bora kunamaanisha kula vyakula aina tofauti ya vyakula kila siku kama vile matunda, mboga, maziwa na aina ya vyakula vyenye asili ya nyama wa kufuga kama kuku, mbuzi, ngombe, samaki na na vyakula vya nafaka.β€’ Lishe bora linamaanisha pia kula chakula ambacho hakina mafuta mengi, sukari…

Open printable article β†’
πŸ“„

UNYONYESHAJI BORA WA MAZIWA YA MAMA

β€’ Maziwa ya mama pekee ndio chakula na kinywaji cha mtoto bora zaidi kwa watoto kwa miezi sita ya kwanza.β€’ Ni jambo la muhimu sana kunyonyesha watoto wachanga kwa muda wa miezi minne na uendelee kunyonyesha hadi mtoto atakapofikisha mwaka mmoja na kuendelea.β€’ Mtoto akifikisha miezi sita ndio wakati …

Open printable article β†’
πŸ“„

MAANA YA MANENO YANAYOTUMIKA KATIKA MASUALA YA LISHE

1. Chakulani kitu chochote kinacholiwa au kunywewa na kuupatia mwili virutubishi mbalimbali Chakula huupatia mwili nguvu, kuulinda na kuukinga dhidi ya maradhi mbalimbali .Mfano wa chakula ni ugali, wali, maharagwe, ndizi, viazi, mchicha, nyama, samaki.2. Lisheni mchakato unaohusisha hatua mbalimbal…

Open printable article β†’
πŸ“„

Virutubishi, kazi zake katika mwili na vyanzo vyake

Virutubishini viini vilivyoko kwenye chakula ambavyo vinauwezesha mwili kufanya kazi zake, karibu vyakula vyote huwa na kirutubishi zaidi ya kimoja ila hutofautiana kwa kasi na ubora. Kila kirutubishi kina kazi yake mwilini na mara nyingi hutegemeana ili viweze kufanya kazi yake kwa ufanisi. Hakuna …

Open printable article β†’
πŸ“„

Kupima lishe au afya ya mtu

Njia za kupima AfyaNjia mbalimbali hutumika kupima hali ya lishe, njia hizi ni;1. Vipimo vya umbile la mwili2. Vipimo vya maabara3. Kuchukua historia ya ulaji na maradhiVipimo vya umbile la mwiliBaadhi ya vipimo ambavyo vinaweza kutumika kutoa tahadhari kuhusu magonjwa sugu yasiyo ya kuambukiza ni;1…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Cookies Za Jam Ya Peach Na Raspberry

MAHITAJIUnga kikombe 1 Β½Siagi Β½ kikombeSukari Β½ kikombeYai 1Vanilla 1 kijiko cha chaiJam ya peach na raspberryMAANDALIZIWash oven moto wa takriban 180 – 190 Deg FPiga siagi na sukari katika mashine mpaka iwe laini na nyororo (creamy) kisha weka yai na vanilla.Tia unga kidogo kidogo uchanganye kwa mw…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Biskuti Za Kopa Za Kunyunyuziwa Sukari Za Rangi

MAHITAJIUnga vikombe 2 ΒΌSiagi 250gSukari kukaribia kikombe Β½ (au takriban vijiko 10 vya kulia)Baking powder Β½ kijiko cha chaiUte wa yai 1Vanilla 1 kijiko cha chaiSukari Ya Kunyunyizia na rangi mbali mbali.MATAYARISHOKagawa sukari katika vibakuli utie rangi mbali mbali uweke kando.Changanya siagi na …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Cookies Za Tende Na Tangawizi

MAHITAJIUnga vikombe vikombe 4Baking soda 1 kijiko cha chai mfutoSiagi 400 gmsSukari Β½ kikombeTende chambua ukatekate ifikie ΒΎ kikombeTangawizi ya unga vijiko 2 vya chaiVanilla 1 kijiko cha chaiYai 1Maziwa mazito vijiko 2 vya kulia.MAANDALIZIChanganya siagi na sukari katika mashine usage mpaka iwe l…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Keki Ya Mbegu Za Mchicha

Viamba upishiUnga ngano vikombc 3Unga mbegu za mchicha kikombe 1Baking powder vijiko vidogoMaziwa kikombe 1Sukari kikombe 1Blue band kikombe Β½Mayai 10-12Hatuaβ€’ Chagua, osha, kausha mbegu za mchicha mweupe, kisha saga zilainike.β€’ Chekecha unga wa ngano, unga wa mbegu za mchicha na baking powder Kweny…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya mboga ya mnavu

Viamba upishiMnavu mkono 1Kitungu 1Karoti 2Maziwa kikombe 1Mafuta vijiko viubwa 4Karanga zilizosagwa kikombe 1Chumvi kiasi Β½Hatuaβ€’ Chambua mnavu, osha na katakata.β€’ Menya, osha na katakata kitunguu.β€’ Osha, menya na kwaruza karoti.β€’ Kaanga karanga, ondoa maganda na saga zilainike.β€’ Kaanga vitunguu na…

Open printable article β†’
πŸ“„

Madhara ya kula yai bichi

Yai bichi linaweza kuwa na vijidudu viitwavyo kwa kitaalamu β€œSALMONELLA” vinavyoweza kusababisha tumbo kuuma, kichefuchefu na pia kuharisha.Vijidudu ya β€œSalmonella” vinaweza kusababisha madhara makubwa kwa watoto, wazee na wale wenye hali dhaifu ya kimwili kama wagonjwa wa UKIMWI.Pia yai bichi lilil…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Fagi Ya Kumumunyuka Mdomoni

VIAMBAUPISHIMaziwa mazito matamu (condensed milk) - 2 vibatiSukari - 1 kikombeSamli 1 Β½ kikombeVanilla 2 kifuniko cha chupa yakeHiliki ilosagwa - 2 vijiko vya chaiSinia kubwa ya bati Paka samliMAANDALIZIChanganya maziwa, sukari na samli katika sufuria isiyogandisha chakula (non-stick) uweke katika m…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Tende Ya Kusonga Ya Lozi Na Cornflakes

VIAMBAUPISHITende zilizotolewa kokwa - 1 KiloCornflakes - 1 Β½ kikombeLozi Zilokatwa katwa - 1 kikombeSiagi - ΒΌ kiloMANDALIZIMimina tende na siagi kwenye sufuria bandika motoni moto mdogo mdogo mpaka zilainike. Kwa muda wa dakika 10.Isonge kidogo kwa mwiko au kuikoroga ichanganyike vizuri.Changanya C…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Biskuti Za Mtindi/Yoghurt

MAHITAJIChenga za biskuti - 3 gilasiMtindi (yogurt) - 1 Kopo (750g)Maziwa ya unga - 1 gilasiSiagi - 10 Vijiko vya supuSukari - Β½ gilasiLozi zilizomenywa vipande vipande - Β½ gilasiNazi iliyokunwa - Β½ gilasiVanilla - 1 Kijiko cha supuMAPISHIKatika mashine ya kusagia (blender), tia mtindi, sukari, siag…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kuandaa biskuti za Siagi Na Jam

MAHITAJIUnga - 2 VikombeSukari ya icing - 1 KikombeSiagi - 250 gmYai - 1Vanilla - 2 Vijiko vya chaiBaking powder -1 Kijiko cha chaiJam - ΒΌ kikombeLozi - ΒΌ kikombeJINSI YA KUPIKAKoroga siagi na sukari katika mashine ya keki (cake mixer) mpaka iwe laini (creamy).Tia yai na vanilla koroga mpaka mchanga…

Open printable article β†’