PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

๐Ÿ“—๐Ÿ“˜๐Ÿ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu ยท 165

๐Ÿ“„

Ulaji mzuri hupunguza uwezekano wa kupata shinikizo la chini la damu

Ni mhimu kula mlo kamili kila siku. Kula lishe duni kunaweza kupelekea kuzalishwa kwa damu isiyo na afya inayoleta shinikizo la damu.Kula zaidi vyakula vyenye protini, vyenye vitamini B na C kwa wingi. Kula milo midogo midogo hata mitano kuliko kula miwili au mitatu lakini ya nguvu sana.Unaweza kutuโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Vyakula vinavyofaa kutumiwa kwa mtu mwenye kisukari aina ya kwanza

Vyakula hivyo ni;MaharageNyanyaSamakiMboga za majani zenye rangi ya kijaniMatunda jamii ya machungwaMafuta ya naziViazi vitamuVyakula ambavyo havijakobolewaMaziwa yasiyo na mafuta ndani yakeMbegu za mabogaMtindi usio na mafuta ndani yake

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Faida za kufanya Masaji kiafya

Masaji uongeza kinga ya mwiliMasaji kushuka kwa homoni inayohusika na kupunguza maambukizi mbalimbali homoni ijulikanayo kama โ€˜cytokinesโ€™ vile vile masaji inashusha homoni inayohusika na matendo ya mashari homoni ijulikanayo kama โ€˜cortisolโ€™.Kufanya masaji hakukufanyi ujisikie ni mtulivu peke yake, bโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Njia za kutibu shinikizo la chini la damu au presha ya kushuka

๐Ÿ‘‰Kutibu shinikizo la chini la damu kwa kutumia maji chumviKunywa Maji yenye chumvi husaidia kutibu shinikizo la chini la damu sababu sodiamu iliyomo kwenye chumvi hupandisha juu shinikizo la damu. Usizidishe dawa hii kwa sababu chumvi nyingi kuzidi ina madhara kiafya.Matumizi:Changanya nusu kijiko cโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Faida za mafuta ya nazi kiafya kwenye mwili

Huzuia na kutibu tatizo la kupoteza kumbukumbuWakati mafuta ya nazi yakiwa yamemengโ€™enywa na mwili huhamasisha uundwaji wa nguvu mpya za ubongo zijulikanazo kama โ€˜ketonesโ€™.Ketones zina uwezo wa kusambaza nguvu katika ubongo hata kama insulin itakuwa chini ya kiwango kama matokeo ya ugonjwa wa kupoteโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Soma hii Kabla hujafikiria kula nyama ya nguruwe tena

JEE NYAMA YA NGURUWE (KITI MOTO) NI SALAMA KWA BINADAMU???Hapa huwa kuna mvutano wa kidini sana juu ya nguruwe, Ila Leo napenda kuliweka sawa, kitaalamu kwa mujibu wa MEDICINE (Science)!!Nguruwe ni mnyama anaeliwa na 38% ya watu wote duniani Na walaji wake ni nchi Magharibi na Kusini mwa Asia, Europโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Jinsi ya kuondoa kitambi na kupata afya nzuri

โ˜˜โ˜˜piga chini kitambiโ˜˜โ˜˜ Mahitaji ๐ŸŒนTikiti๐Ÿ‰ 1 ๐ŸŒนTangawizi kidogo ๐ŸŒนLimao nusu ama apple cider vinegar โ˜˜Njiaโ˜˜ ๐ŸŒฒSafisha matunda yako Kwa maji Safi,menya tikiti๐Ÿ‰,katakata weka kwenye Brenda , ๐Ÿ”ฅMenya tangawizi katakata Ila usiweke nyingi,weka kwa Brenda, ๐ŸKamulia limao kwenye matunda yako saga,baada ya hapo โ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Chanzo na Matibabu ya Tatizo la Mtindio wa Ubongo (Kupooza ubongo)

Tatizo la Mtindio wa Ubongo au Kupooza ubongo kitaalamu ni Cerebral plasy (CP), ni hali ya kupooza ya moja kwa moja ya viungo vya mwili inayotokana na sehemu ya ubongo (seli) inayotawala viungo hivyo kufa katika kipindi cha mwanzo cha maisha (Utototni).Mtindio wa Ubongo ni aina ya tatizo la mishipa โ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Faida za kula Tende kiafya

Zifutazo ni faida zitokanazo na ulaji wa tende; 1. Tende huongeza nguvu kutokana na kuwa na sukari ya asili, unaweza kuchanganya na maziwa na kupata mchanganyiko bora. 2. Tendehuzuia meno kuoza, na ni tiba nzuri kwa wagonjwa wa anemia kutokana na kuwa na madini mengi ya chuma. 3. Hupunguza uwezekanoโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Madhara ya Kuvaa viatu virefu wakati wa Ujauzito

Wakati wa ujauzito ni kipindi cha kubadili mambo mengi katika mfumo wa maisha wa mjamzito. Mjamzito anapaswa kubadili mambo mbalimbali ili kuhakikisha anakua na afya nzuri katika kipindi chote cha ujauzito na ili kuhakikisha kwamba atajifungua mtoto mwenye afya nzuri. Moja ya mambo makubwa ni pamojaโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Mambo ya kuzingatia kuhusu ugonjwa wa Kaswende

Kaswende husababishwa na bakteria aitwaye Treponema pallidum , ambaye pia huitwa spirochetes kutokana na umbo lake la mzunguko. Viumbe hawa hujipenyeza kwenye ngozi laini inayotanda midomo au sehemu nyeti. Yafuatayo ni mambo Muhimu ambayo unapaswa kuyafahamu kuhusu Ugonjwa wa Kaswende. Jinsi ugonjwaโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Jinsi ya kuongeza kiasi cha utokaji wa maziwa kwa kina mama wanaonyonyesha na kwa afya ya mtoto

Maziwa ni chakula kikuu cha mtoto punde anapozaliwa. Mama anahitaji kuwa na Maziwa ya kutosha ili mtoto aweze kuwa na afya. Zipo sababu mbalimbali zinazopelekea wakina mama wengi kushindwa kuzalisha maziwa mengi kwa ajili ya kuwanyonyesha watoto zao. Hata hivyo kama wewe ni mama na una tatizo hilo bโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Mambo 8 ya kushangaza yanayofanywa na mwili wako kukulinda pasipo wewe kujua

Mwili wa binadamu unafanya mambomengi ya kibaiolojia ambayo maranyingi ni vigumu kuyaelewa. Mwili una mifumo mbalimbali ya ulinzi ambayo inatulinda na hatari zinazoweza kutudhuru. Mifumo hiyoinatulinda masaa 24 ya siku, Siku zote 7 za wiki, katika mambo yoteyanayoweza kuhatarisha maisha yetu.Yafuataโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Ifahamu Saratani ya Tezi Dume, chanzo, Dalili, Uchunguzi na Tiba

Tezi Dume ni nini? Tezi dume (prostate), ni tezi iliyo kwenye kizazi cha mwanaume inayozalisha maji maji yanayobeba manii/shahawa. Inaizunguka urethra, mrija unaotoa mkojo kwenye kibofu kwenda nje. Tezi dume ya kila mwanaume huongezeka ukubwa kadri umri unavyoongezeka. Kadri tezi inapokua na kuongezโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Aina ya mazoezi na umuhimu wa mazoezi kwa wamama wajawazito

Leo tutaongelea mazoezi gani ya kawaida ambayo mama mjamzito anaweza kuendelea kuyafanya kila siku ya ujauzito wake na umuhimu wake.Mazoezi wakati wa ujauzito yanasaidia:1. Kupata usingizi mzuri usiku.2. Kuondoa stress.3. Kulegeza na kunyoosha misuli ya uzazi na kuitayarisha kwa kazi ya kujifungua.4โ€ฆ

Open printable article โ†’