PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Soma huyu mtoto anachosema sasa, Ndoto za watoto bwana! Kazi ipo!

Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae.MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani?JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo.MWAL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani? ROSE: Natak…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo ya mke na mume haya, chezea mchepuko!?

Mume akamwambia mke wake:"Funga macho yako tufanye maombi"Akaanza kwa Kimombo:-"… Lord I pray for Grace, I pray for Mercy, I pray 4 Joy, I pray 4 Love, I pray 4 Hope, I pray 4 GLORY, I pray 4 Faith, I pray 4…." Mke akadakia, "Unadhani mimi sina ee" akaanza:-I …

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia hawa vichaa walichokifanya, Vichaa bwana, ni noma!

Vichaa walipanga kutoroka, wakakubaliana wamnyonge mlinzi watoroke! Walipofika getini wakakuta geti lipo wazi na hakuna mlinzi, wakasema "Turudi mipango yote imevurugika…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilichotokea Baada ya mlevi na mchungaji kukutana

MCHUNGAJI; "Unakunywa bia!?MLEVI; "Ndio.MCHUNGAJI; "Kwa siku unakunywa bia ngapi!? MLEVI; "Nakunywa bia tano!MCHUNGAJI; "Bia moja bei gani!?MLEVU; "2500/MCHUNGAJI; "Ulianza lini kunywa bia!?MLEVI; "Miaka 18 iliyopita! MCHUNGAJI; "Kwa hiyo kwa siku unatumia zai…

Open printable article β†’
πŸ“„

Huu ndio mlolongo wa michepuko kuwahi kutokea kati ya mke, mume mwanafunzi na boss

BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week.MUME (anampigia mpango wa kando): Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena,…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilichompata huyu jamaa akiwa anaangalia mpira mechi kali na mke wake

WIFE: Baibie, yule ni nani? Ni Chris Brown??HUSBAND: Yule ni Theo WalcottWIFE: ile Yellow Card ni ya nini? HUSBAND: ile ni ya Onyo, na Red Card inamaanisha mchezaji awache kucheza na atoke inje ya uwanja.WIFE: Oooooh! Inakaa kama traffic light! Yellow- Ilani n…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kweli tamaa ni mbaya, mke wa mtu kaponzwa na tamaa, ndio basi tena

Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake:JAMAA: Shem nakupenda!MKE: Hebu toka hapa! Je rafikiyako akijua? tena koma!JAMAA: Ntakupa milioni 1!MKE: Basi njoo kesho mchanamume wangu akiwa kazini! Kesho yake Jamaa kajana milioni 1 wakamalizana na mke wa rafki yake,jion…

Open printable article β†’
πŸ“„

Padri Akimbia wakati wa kuungamisha, chanzo ni hiki

Padri alikuwa amekaa katika confession booth kanisanipeke yake.Mara kukaingia jamaa mmoja akapiga magoti upande wapili, akafanya ishara ya msalaba kisha akaanza kuungama{confess}"Padri nimekuja kuungama dhambi zangu, leo nimefanyadhambi kubwa sana."Padri, "End…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia huyu boyfriend alivyomuweza huyu msichana wake

Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms ya kimahaba "Honey kama upo nyumbani umelala naomba unitumie ndoto zako, Kama unakula nitumie chaku…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mlevi kazua tafrani, angalia alichokifanya hapa

MLEVI mmoja aliingia baa akavuta kiti na kukaa mhudumu akatokea kumsikiliza.MHUDUMU: Nikusaidie nini?MLEVI: Eeh! nipe bia ya baridi kisaha wasikilize wote waliokaa hapa, wape bia na wao maana sipendi kunywa pombe wengine wananiangaliaAkaja mhudumu wa jikoni "n…

Open printable article β†’
πŸ“„

Makonda wana mambo, Kila mtu ni ndugu yao

Hakuna m2 mwenye ndugu wengi kama konda wa daladala.Utasikia,"HAYA, DADA HAPO MBELE, MJOMBA KULE MWISHO.MA-MDOGO UNAENDA?,NGOJA ASHUKE BIBI.HAYA SHEMEJI UMEIKUTA YA KUWAH.Babu njoo ukae!Baba angu hapo tusogee kidogo,Shangazi maliza ngazi,Swaiba geukia mbele,Ka…

Open printable article β†’
πŸ“„

Madogo wa sikuizi ni kiboko, cheki huyu alichokifanya akiwa darasani na mwalimu wake

Muda wa kwenda nyumbani ulikuwa umefika, mwalimuakasema: yeyote atakaye jibu swali langu lolote kwa usahΓ¬hi ataondoka asiye jibu atabaki.Dogo mmoja akatupa begi nje ya dirisha.Mwalimu akauliza nani katupa ilo begi nje?Dogo akajibu fasta mimi. Akafungua mlango …

Open printable article β†’
πŸ“„

Huu ndio uhondo na raha ya kupanda daladala wajameni

Wasiopanda dalaladala wanakosa uhondo wa kauli hizi1. nitakupa2. Atapewa mbele3. Hujapewa mbele?4. Utapewa nyuma5. Nitakupa nikikaa vizuri6. Ngoja isimame nikupe7. subiri asimamishe nikupe8. hivi nlivyo kaa ntakupaje?9. Utapewa tulia10. Nikupe mara ngapi?

Open printable article β†’
πŸ“„

Alichokijibu chizi baada ya kuanguka ghorofani

Chizi kaanguka toka kwenye gorofa fasta watu wakamfuata kumsaidia wakamuulza VP IMEKUAJE?Chz akajbu: ''HATA CJUI NA MIE NDO NAFIKA SASA HIVI

Open printable article β†’
πŸ“„

Hii ndiyo sababu ya kumfanya huyu jamaa kujiita fara

MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?"MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi."jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usikuJAMAA:"msipate tabu mi ntalala hapa kwenye kochi" akalalaasubh wanakunywa chai akaibuka mrembo,ja…

Open printable article β†’