πVita vya Uhuru vya Guinea-Bissau
Ilitokea mnamo mwaka wa 1963, π ikawa mwanzo wa vita vya uhuru vya Guinea-Bissau. Mji mkuu wa Guinea-Bissau, Bissau, ulikuwa kitovu cha harakati za kupigania uhuru kutoka kwa ukoloni wa Ureno. Vita hivi vilikuwa muhimu sana kwa nchi ya Guinea-Bissau kupata uhuβ¦
Open printable article βπTiba mbadala ya chunusi na vipele usoni
Kuna idadi kubwa ya watu wanao kabiliwa na tatizo la vipele vya usoni ( Chunusi ). Kuwa na chunusi ni jambo lenye karaha sana, kwani linakufanya upoteze mvuto wako wa asili na hivyo kukukosesha raha.Zipo njia mbalimbali za asili zinazo weza kutumika kutibu tatβ¦
Open printable article βπSababu, tiba na jinsi ya kujikinga na Tatizo la uke kutoa harufu
Ni matumaini nyote mnaendelea vyema, nami alhamdulillah ala kul Hali naendelea vyemaLeo naona ni bora tukazungumzia tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni maana watu wengi hudhani kuwa na harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchafu tu.Ndio maana wanaume hβ¦
Open printable article βπJinsi ya kuondoa weusi kwenye magoti na viwiko vya mikono
Ngozi nyeusi katika magoti na nyuma ya mikono hutokana na mkusanyiko wa cells zilizokufa, na hata unavyoweka pressure kwenye magoti na vipepsi vya mikono yako. Kama ukiwa unaweka mikono kwenye meza ukiwa kazini, ule msuguano unafanya ngozi iwe nyeusi.Kama una β¦
Open printable article βπNamna ya kuondoa Mikunjo ya ngozi
MIKUNJO katika ngozi ni miongoni mwa matatizo yanayowakabili wanawake wengi.Tofauti na mikunjo ya uzee, mikunjo hii hutokana na kuchoka kwa ngozi kunakosababishwa na mambo mablimbali.Katika kupambana na tatizo hilo, wadau wa urembo wa asili wamegundua njia mbaβ¦
Open printable article βπVipodozi Visivyo Salama/Vilivyopigwa Marufuku Na Madhara Yake
SEHEMU YA KWANZA1.0 UTANGULIZIVipodozi visivyo salama ni vipodozi ambavyo vina kemikali zinadhuru au zinazoweza kuudhuru mwili na kuusababishia matatizo. Maana hii inaweza kuongezewa na kujumuisha vipodozi vyote ambavyo usalama wake unatia mashaka na vinaweza β¦
Open printable article βπJinsi ya Kuondoa Makovu Mwilini
Makovu sio kidonda naomba hili uelewe, ila makovu ni alama ya majeraha ambayo yamebaki kwenye ngozi baada ya kupona majeraha.Kuna baadhi ya watu husumbuliwa na shida ya kuwa na makovu sehemu mbalimbali ya mwili.Hivyo kama wewe ni miongoni mwao maandishi haya yβ¦
Open printable article βπJinsi ya kuchagua rangi sahihi wakati wa Kujipodoa
YAPO mambo mabalimbali katika tasnia ya urembo hasa katika vipodozi yanayopaswa kuzingatiwa katika kuboresha muonekano wa mtu.Moja ya mambo hayo ni ujuzi na uelewa wa kutumia rangi katika kujipodoa kwani ni wanawake wachache wenye ujuzi huu.Katika makala hii, β¦
Open printable article βπJinsi ya Kujiremba Macho
Kuna urembo mbalimbali wa macho kulingana na taste ya mtu na mapendeleo yake . Leo nitazungumzia "smoky eyes" au macho yaliyapambwa kwa eye liner, mascara na eye shadows zenye rangi nyeusi, grey au za mng'aro.Jinsi ya kuremba jicho:Hakikisha uso na ngozi inayoβ¦
Open printable article βπMatumizi ya Papai Katika Urembo
Tunda la kitropiki la papai lina vitamini C na E likiwa na siri kubwa ya urembo na hutumika kutengeneza facial za aina mbalimbali.Papai limekuwa likitumiwa kama njoia boya ya kutunza uso wako na kumfanya mtu kuwa na ngozi ya asili.Bidhaa ambazo zimekuwa zikiteβ¦
Open printable article βπFaida za kuvaa saa ya Mkononi
leo tutajaribu kuongalia sababu kwanini tunatakiwa tuvae saa za mkoni yaani nini haswa kinatulazimisha kuvaa saa za mkononi , hebu kwa tujue saa za mkononi zilianza kuvaliwa mwaka gani. Kabla ya vita ya kwanza ya dunia kulikuwa kuna saa za mfuko yaani pocket wβ¦
Open printable article βπJinsi ya Kujiremba na Kuboresha ngozi yako kwa kutumia Matunda
Wakati mwingine ili uweze kuboresha mwonekanao wa ngozi yako si lazima utumie makemikali yenye viambatano vyenye sumu ili uweze kufanya hivyo, bali inahitajika uweze kutumia matunda ambayo yana msada mkuubwa wa kuweza kufanya ngozi yako ing`are. 1. Parachichi.β¦
Open printable article βπNamna nzuri ya kuhudumia nywele zako za asili kirahisi
Kwa wale ambao tuna nywele asilia (natural hair), tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo. Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele asilia, karibuni sana tuendelee kujuzana namna ya kutunza nywele zetu kama tulivyopewa na Mungu. Katika mada yaβ¦
Open printable article βπFaida za kuoga maji ya Baridi
Watu wengi hupenda kuogea maji ya moto, hii ni kutokana na kuogopa baridi au sababu za kimazoea tu. Ingawa mara nyingi umekuwa ukisisitiziwa kuwa maji moto yana manufaa mengi, lakini hata maji ya baridi nayo yana manufaa yake. Je uko tayari kuongeza maarifa auβ¦
Open printable article βπMambo ya msingi kwa mwanamke kuyajua unapojiremba
Kope nazo humpendezesha mwanamke kuna aina ya rangi za kupaka kwenye kope, lakini zinatofautiana. Ni vyema ukawasiliana na wataalamu wa mambo ya urembo kwa ushauri na siyo kukurupuka. Siyo umemuona fulani kapendeza na aina fulani ya rangi ya kwenye kope halafuβ¦
Open printable article β