PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Jinsi ya kutunza nyumba ya kuku ili kuzuia magonjwa

1. Nyumba ya kuku iwe safi na kavu muda wote kuzuia ueneaji na kuzaliana kwa vijidudu vya magonjwa 2. Nyumba ya kuku iwe na nafasi za kupitisha hewa ya kutosha ili kuepuka joto na unyevunyevu ambao unachangia uwepo wa magonjwa kwa kuku 3. Hakikisha unaondoa ma…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza mbolea ya mboji kitaalamu na kwa urahisi

Mbolea ya mboji hutokana na mabaki ya majani na miti. Majani na miti yanapooza hugeuka na kutengeneza virutubisho ambavyo husaidia kurutubisha udongo na kupunguza gharama. Mboji ikichanganywa kwenye udongo huifanya mimea kustawi na kuwa na afya ya kujikinga na…

Open printable article β†’
πŸ“„

Namna ya kutunza kuku na kuwakinga na magonjwa

1. Zingatia chanjo muhimu kwa kuku ili kuzuia magonjwa kama utakavyoshauriwa na mtaalamu wa mifugo. Chanjo huanza katika wiki ya kwanza (mfano chanjo ya kuzuia sotoka) na inaweza kurudiwa baadaye. 2. Epuka kuweka kuku wengi mahali pamoja. Ni rahisi magonjwa ku…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kulima vizuri zao la kabichi

Kichwa cha kabichi kinapofunga vizuri, hutumika kama chakula na huvunwa baada ya kufunga na kukomaa vizuri. Kwa kawaida kabichi hupandwa kwa msimu mmoja, lakini iwapo itakuzwa kwa ajili ya kutoa mbegu hukuzwa zaidi ya msimu mmoja. Endapo inalimwa sehemu yenye …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mbinu za kulima parachichi ili kupata faida

Kilimo cha Parachichi nacho kinalipa ukilima. Jifunze namna ya kulima nimeipata pahala Agronomy ya Parachichi Hali ya hewa -Ni tunda linalopenda sana sehemu za baridi, maeneo kama ya Rungwe-Mbeya, Njombe, Makete, linastawi vizuri sana, na huwa na Fatty Content…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ugonjwa wa tetanasi au pepopunda unaoathiri sana punda na binadamu

Huu ni ugonjwa hatari sana kwa maisha ya binadamu. Kinyesi cha punda kinabeba vimelea vijulikanavyo kama clostindium tetanii vinavyosababisha ugonjwa wa tetanasi. Wadudu hawa wanaweza kuishi katika viumbe wote wenye damu moto maarufu kama mamalia na ndege, na …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kufanya nyuki waingie kwenye mzinga mpya

Ukitaka kuwavutia na kuingiza nyiki kwenye mzinga unatakiwa kufanya yafuatayo;Tafuta mahali pazuri pa-kuning’iniza mzinga wako.Weka nta kwenye mizinga yako ili kuwavutia nyuki.Hakikisha unaweka mizinga yako katika hali ya usafi na kusiwe na wadudu. Nyuki hawap…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilimo bora cha matikiti maji

Ili kulima tikiti maji, inakubidi uwe na sehemu ya kutosha, yenye jua la kutosha, maji mengi na ardhi yenye rutuba ya kutosha, matikiti maji hukua haraka kama mimea mingine ya jamii yake itambaayo mfano matango, maboga na makwash. Hali ya Hewa Matikiti yanahit…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilimo kizuri cha pilipili hoho

Pilipili hoho ni zao la jamii ya pilipili isiyo kali, tunda lake ni nene kiasi la duara pia linaweza kuwa lililochongoka. Pilipili hoho hutumika katika kutengeneza rangi za asili za vyakula ambazo kwa sasa hupendwa zaidi kuliko zile zinazotokana na kemikali na…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kulima vizuri vitunguu twaumu (swaumu)

Vitunguu twaumu viungo vinavyopendwa na watu wengi hasa kwa harufu yake nzuri Kwenye chakula na uwezo wake wa kuondoa harufu mbaya Kwenye chakula (shombo). Vile vile vitunguu twaumu vinatumika kama tiba mbadala ya maradhi mbalimbali. Jinsi ya kulima vitunguu t…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kulima vitunguu (vitunguu maji) kwa mbinu za kilimo bora na kwa faida

Vitunguu ni zao la mbogamboga na hulimwa kwa ajili ya balbu zake ambazo hutumika kama kiungo cha chakula. Vitunguu vina matumizi mengi sana na vina madini joto, chuma, vitamin A, vitamin B, vitamin C na vitamin E. Vitunguu hulimwa na hukubali zaidi nyanda za b…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo 8 ya kuzingatia kabla ya kuleta mifugo (kuku, ng'ombe,mbuzi n.k) wapya bandani

Mambo hayo ni haya yafuatayo; 1. Hakikisha unaondoa matandazo yote ndani ya nyumba, 2. Ondoa vyombo vya kulishia na kunyweshea. 3. Ondoa uchafu wote unaoonekana bandani. 4. Safisha banda lote kwa kutumia maji na dawa. 5. Suuza na uache likauke. 6. Puliza dawa …

Open printable article β†’
πŸ“„

Juuhudi za Kidiplomasia za Kutatua Migogoro ya Ardhi katika Amerika Kusini: Mafunzo na Matarajio

Juuhudi za Kidiplomasia za Kutatua Migogoro ya Ardhi katika Amerika Kusini: Mafunzo na Matarajio Migogoro ya ardhi ni suala ambalo linakabili sehemu nyingi za Amerika Kusini, na linaweza kuathiri uhusiano na ushirikiano wa kimataifa katika eneo hilo. Ni muhimu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Changamoto za Uhamiaji wa Ndani wa Amerika Kusini: Ushirikiano na Haki za Binadamu

Changamoto za Uhamiaji wa Ndani wa Amerika Kusini: Ushirikiano na Haki za Binadamu Uhamiaji wa ndani ni suala muhimu sana katika Amerika Kusini leo. Mamilioni ya watu wamehamishwa kutoka maeneo yao ya asili kutokana na migogoro ya kisiasa, kiuchumi, na mazingi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Juuhudi za Utafiti wa Pamoja wa Anga: Michango ya Amerika Kaskazini kwa Utafiti wa Kimataifa

Anga ni eneo la kuvutia na tajiri la kujifunza na kuchunguza. Utafiti wa anga una umuhimu mkubwa katika kuelewa asili ya ulimwengu wetu na kuendeleza teknolojia za kisasa. Katika jitihada za kufanya utafiti wa pamoja wa anga, Amerika Kaskazini imekuwa ikifanya…

Open printable article β†’