πJinsi ya kutengeneza Cookies Za Tende Na Tangawizi
MAHITAJIUnga vikombe vikombe 4Baking soda 1 kijiko cha chai mfutoSiagi 400 gmsSukari Β½ kikombeTende chambua ukatekate ifikie ΒΎ kikombeTangawizi ya unga vijiko 2 vya chaiVanilla 1 kijiko cha chaiYai 1Maziwa mazito vijiko 2 vya kulia.MAANDALIZIChanganya siagi naβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Keki Ya Mbegu Za Mchicha
Viamba upishiUnga ngano vikombc 3Unga mbegu za mchicha kikombe 1Baking powder vijiko vidogoMaziwa kikombe 1Sukari kikombe 1Blue band kikombe Β½Mayai 10-12Hatuaβ’ Chagua, osha, kausha mbegu za mchicha mweupe, kisha saga zilainike.β’ Chekecha unga wa ngano, unga waβ¦
Open printable article βπMapishi ya mboga ya mnavu
Viamba upishiMnavu mkono 1Kitungu 1Karoti 2Maziwa kikombe 1Mafuta vijiko viubwa 4Karanga zilizosagwa kikombe 1Chumvi kiasi Β½Hatuaβ’ Chambua mnavu, osha na katakata.β’ Menya, osha na katakata kitunguu.β’ Osha, menya na kwaruza karoti.β’ Kaanga karanga, ondoa magandβ¦
Open printable article βπMadhara ya kula yai bichi
Yai bichi linaweza kuwa na vijidudu viitwavyo kwa kitaalamu βSALMONELLAβ vinavyoweza kusababisha tumbo kuuma, kichefuchefu na pia kuharisha.Vijidudu ya βSalmonellaβ vinaweza kusababisha madhara makubwa kwa watoto, wazee na wale wenye hali dhaifu ya kimwili kamβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Fagi Ya Kumumunyuka Mdomoni
VIAMBAUPISHIMaziwa mazito matamu (condensed milk) - 2 vibatiSukari - 1 kikombeSamli 1 Β½ kikombeVanilla 2 kifuniko cha chupa yakeHiliki ilosagwa - 2 vijiko vya chaiSinia kubwa ya bati Paka samliMAANDALIZIChanganya maziwa, sukari na samli katika sufuria isiyoganβ¦
Open printable article βπMapishi ya Tende Ya Kusonga Ya Lozi Na Cornflakes
VIAMBAUPISHITende zilizotolewa kokwa - 1 KiloCornflakes - 1 Β½ kikombeLozi Zilokatwa katwa - 1 kikombeSiagi - ΒΌ kiloMANDALIZIMimina tende na siagi kwenye sufuria bandika motoni moto mdogo mdogo mpaka zilainike. Kwa muda wa dakika 10.Isonge kidogo kwa mwiko au kβ¦
Open printable article βπMapishi ya Biskuti Za Mtindi/Yoghurt
MAHITAJIChenga za biskuti - 3 gilasiMtindi (yogurt) - 1 Kopo (750g)Maziwa ya unga - 1 gilasiSiagi - 10 Vijiko vya supuSukari - Β½ gilasiLozi zilizomenywa vipande vipande - Β½ gilasiNazi iliyokunwa - Β½ gilasiVanilla - 1 Kijiko cha supuMAPISHIKatika mashine ya kusβ¦
Open printable article βπJinsi ya kuandaa biskuti za Siagi Na Jam
MAHITAJIUnga - 2 VikombeSukari ya icing - 1 KikombeSiagi - 250 gmYai - 1Vanilla - 2 Vijiko vya chaiBaking powder -1 Kijiko cha chaiJam - ΒΌ kikombeLozi - ΒΌ kikombeJINSI YA KUPIKAKoroga siagi na sukari katika mashine ya keki (cake mixer) mpaka iwe laini (creamy)β¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Nangatai
MAHITAJIUnga wa ngano - 2 - 2 ΒΌ VikombeSiagi - 1 Β½ KikombeSukari - 1 KikombeYai - 1Vanilla -Tone mojaBaking Powder -kijiko 1 cha chaiChumvi - Kiasi kidogo (pinch)Unga wa Kastadi - 2 Vijiko vya supuMATAYARISHOChanganya vitu vyote isipokuwa unga.Tia unga kidogo β¦
Open printable article βπJinsi ya kuandaa Vileja Vya Karanga
MAHITAJIMayai 5Sukari 450gm (1 lb)Unga wa Ngano 1 kgSiagi 450gm (1 lb)Baking powder Β½ Kijiko cha chaiUnga wa Custard Vijiko 2 vya chakulaKaranga za kusaga 250gmJam Β½ kikombeMAANDALIZIChukua bakuli la kiasi, weka sukari na siagi.Changanya sukari na siagi kwa kuβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Wali Wa Samaki Na Mboga
VIPIMO VYA SAMAKISamaki wa sea bass vipande - 1 1/2 LB (Ratili)Kitunguu saumu(thomu/galic) -1 Kijiko cha supupilipili mbichi iliyosagwa - 1 Kijiko cha chaiBizari ya manjano au ya pilau - 1/2 Kijiko cha chaiPaprika ya unga au pilipili ya unga - 1 kijiko cha chaβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Biskuti Za Chumvi
VIAMBAUPISHIUnga - 3 Vikombe vya chaiSiagi - 250 gmsBaking powder - 3 Vijiko vya chaiMayai - 2Chumvi - 1 kijiko cha chaiMaziwa - 1/2 KikombePilipili manga ya unga 1 Kijiko cha chaiMAANDALIZIKatika bakuli la kusagia (blender) au mashine ya keki, tia siagi, chumβ¦
Open printable article βπJinsi ya kuandaa Vileja Vya Tambi
MAHITAJITambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2Siagi - 4 Vijiko vya supuMaziwa (condensed) 300MlLozi zilizokatwakatwa - 1 kikombeZabibu kavu - 1 KikombeArki (essence) - 1 Kijiko cha supuMAPISHIWeka karai kwenye moto kiasiTia siagiTia tambi uzikaange usiachie mkoni β¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Slesi Za Chokoleti Na Karameli
VIAMBAUPISHIUnga - 1 Magi (vikombe vya chai)Sukari ya browni - Β½ MagiSiagi iliyoyayushwa - 125 gNazi iliyokunwa - Β½ MagiMJAZO WA KARMEL (Caramel filling)Syrup - 1/3 kikombe cha chaiSiagi iliyoyayushwa - 125 gMaziwa matamu ya mgando - 2 vikopo (condensed milk)Mβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Labania Za Maziwa
MAHITAJIMaziwa ya unga - 2 vikombeSukari - 3 vikombeMaji - 3 vikombeUnga wa ngano - Β½ kikombeMafuta - Β½ kikombeIliki - kiasiMAPISHIPaka sinia mafuta kabla ya kupika labaniaKatika sufuria chemsha maji na sukari pamoja na iliki mpaka inate vizuriKisha mimina mafβ¦
Open printable article β