PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Utajuaje kama una upungufu wa maji mwilini? Dalili ni hizi

Upungufu wa maji ni pale mwili unapopoteza kiasi kingi cha maji kwa njia mbalimbali, ikiwemo jasho na mkojo, mwili hupungukiwa maji na hivyo mtu huyo huambiwa ana upungufu wa maji. Tunaelezwa kuwa karibu theluthi mbili ya miili yetu imejaa maji. Ili mwili uwez…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo ya Muhimu kuyajua kuhusu maumivu ya Korodani

Kuna wakati mwanaume huweza kupata maumivu ya korodani, ambapo inawezekana ikawa ni maumivu kwa korodani moja au zote mbili.Maumivu hayo yanaweza kutokea endapo korodani zitakuwa zimeumizwa au kupata maambukizi.Aidha, maambukizi hayo huweza kuwa makali na ya m…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo ya Msingi kuyajua kuhusu Ugonjwa wa Kipindupindu

Mojawapo kati ya magonjwa yanayohusishwa na umaskini na uchafu wa kupindukia ni ugonjwa wa Kipindupindu. Inaripotiwa kuwa Kipingupindu ni miongoni mwa magonjwa ambayo huathiri jamii maskini zaidi kwa kiasi kikubwa hasa hasa kwenye nchi zinazoendelea, kiasi kwa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Vyakula vinavyoongoza kuongeza akili kwenye ubongo

BILA shaka ubongo ni miongoni mwa viungo muhimu vya binadamu lakini ni watu wachache sana wanaoutilia maanani. Ubongo ndiyo kiungo kinachohusika na utendaji kazi wote wa mwili na ndiyo unaowezesha mwili kuishi maisha ya furaha au karaha.Hata hivyo, wakati mwin…

Open printable article β†’
πŸ“„

Sababu za magonjwa ya figo na jinsi ya kuondokana na janga la magonjwa ya Figo

1.Usichelewe kwenda HAJA. Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka. Mara mkojo unaporudi nyuma ya njia na Figo, sumu dutu husababisha…

Open printable article β†’
πŸ“„

UJUE NA UFAHAMU MFUMO WA MOYO (CARDIOVASCULAR SYSTEM)

Mfumo huu wa moyo una kazi zifuatazo:-πŸ‘‰kupampu damu Mwilini pia kusafirisha gas, taka na homoni mwilini.πŸ‘‰kuongoza mfumo mzima Wa umeme mwilini.πŸ‘‰mfumo Wa kujilisha wenyewe na kulisha mwili.Lakini katika kuyafanya yote haya mambo mengi hutokea ambayo yanasababis…

Open printable article β†’
πŸ“„

MADHARA YA SHISHA

Yafuatayo ni madhara ya shisha; 1.Kansa Licha ya kupita ndani ya maji, moshi wa shisha huwa na kiwango kikubwa cha carbon monoxide na nicotine ambazo humfanya mtumiaji awe kwenye hatari kubwa ya Kupata Tatizo la kansa ya koo, ama mapafu. 2.Matatizo ya Moyo Mos…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Biskuti Za Tende

Viamba upishi Unga 4 Vikombe vya chai Sukari ya laini (icing sugar) 1 Kikombe cha chai Baking powder 2 Vijiko vya chai Mayai 2 Siagi au margarine 1 Kikombe cha chai Vanilla 1 Kijiko cha chai Maziwa ya kuchanganyia kiasi Tende iliyotolewa koko 1 Kikombe ufuta (…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Vileja Vya Tambi

Viambaupishi Tambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2 Siagi 4 Vijiko vya supu Maziwa (condensed) 300Ml Lozi zilizokatwakatwa 1 kikombe Zabibu kavu 1 Kikombe Arki (essence) 1 Kijiko cha supu Jinsi ya kuandaa na kupika 1) Weka karai kwenye moto kiasi 2) Tia siagi 3) T…

Open printable article β†’
πŸ“„

Sababu za Magonjwa ya Figo na jinsi ya kujikinga

JINSI YA KUONDOKANA NA JANGA HATARI LA UGONJWA WA FIGO:**1.Usichelewe kwenda HAJA.* Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka.Mara mko…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Biskuti Za Tende Na Ufuta

ViambaupishiUnga 3 Vikombe vya chaiBaking powder 1 Β½ Vijiko vya chaiSukari 1 Kikombe cha chaiSiagi 1 Kikombe cha chaiMayai 2Maji kiasi ya kuchanganyiaTende 1 Kikombeufuta ΒΌ kikombeJinsi ya kuandaa na kupika1. Changanya unga, siagi, baking powder, na sukari kat…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Biskuti Za Njugu/Matunda Makavu (Rock Cakes)

ViambaupishiUnga 4 VikombeSukari 10 OunceSiagi 10 OunceMdalasini ya unga 2 vijiko vya chaiMatunda makavu/njugu (kama lozi,Zabibu, maganda ya chungwa,Cherries na kadhalika 4 ounceMaziwa ya maji 4 Vijiko vya supuJinsi ya kuandaa na kupika1) Chukua siagi na sukar…

Open printable article β†’
πŸ“„

JE UNAFAHAMU NINI KUHUSU KUJAMBA?

Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka?Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakiniinaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendola kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda.Kilamtu anajamba,hata Halle Berry nae hujamba.1.Kujamba …

Open printable article β†’
πŸ“„

Magonjwa hatari 10 yanayotibika kwa kutumia mbegu za Maboga

Mbegu za maboga zina protini na madini ya kutosha na ya mhimu zaidi mwilini kama madini ya zinki, kopa, maginizia, manganizi na chuma, mbegu za maboga ni tamu na zinaweza kutafunwa nyakati zozote na mahali popote hasa kwa wapenda kutafuna-tafuna kama mimi. Taf…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Visheti Vyeupe Na Vya Kaukau

VIPIMO:Unga wa VishetiUnga 4 Vikombe vya chaiSiagi 1 Kikombe cha chaiHiliki Β½ Kijiko cha chaiNAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA1. Tia unga kwenye bakuli pamoja na siagi na hiliki.2. Changanya vizuri isiwe na madonge.3. Tia maji baridi vikombe viwili kasoro vya cha…

Open printable article β†’