πIfahamu Saratani ya Tezi Dume, chanzo, Dalili, Uchunguzi na Tiba
Tezi Dume ni nini? Tezi dume (prostate), ni tezi iliyo kwenye kizazi cha mwanaume inayozalisha maji maji yanayobeba manii/shahawa. Inaizunguka urethra, mrija unaotoa mkojo kwenye kibofu kwenda nje. Tezi dume ya kila mwanaume huongezeka ukubwa kadri umri unavyoβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Wali Wa Sosi Ya Tuna
ViambaupishiSosi Ya tunaTuna (samaki/jodari) 2 VikopoVitunguu (kata kata) 4Nyanya zilizosagwa 5Nyanya kopo 3 Vijiko vya supuViazi (vilivyokatwa vipande vidogo - cubes) 4Dengu (chick peas) 1 kikombeKitunguu saumu(thomu/galic)&Tangawizi iliyosagwa 1 Kijiko cha sβ¦
Open printable article βπAina ya mazoezi na umuhimu wa mazoezi kwa wamama wajawazito
Leo tutaongelea mazoezi gani ya kawaida ambayo mama mjamzito anaweza kuendelea kuyafanya kila siku ya ujauzito wake na umuhimu wake.Mazoezi wakati wa ujauzito yanasaidia:1. Kupata usingizi mzuri usiku.2. Kuondoa stress.3. Kulegeza na kunyoosha misuli ya uzazi β¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Vileja
VIPIMOUnga wa mchele 500gSamli 250gSukari 250gHiliki iliyosagwa 1/2 kijiko cha chaiArki (rose flavour) 1/2 kijiko cha chaiBaking powder 1 kijiko cha chaiMayai 4Maji ya baridi 1/2 kikombe cha chaiNAMNA YA KUTAYRISHA NA KUPIKA1. Saga sukari iwe laini kiasi, chanβ¦
Open printable article βπMapishi ya Pilau Ya Sosi Ya Soya Na Mboga
ViambaupishiKuku (mkate mkate vipande) 1Mchele wa Basmati (rowanisha) 3 magiMdalasini 1 mchi mmojaVitunguu maji (vilivyokatwa vyembamba) 6Mchanganyiko wa mboga za barafu 1 magi(karoti, mahindi, njegere)Kabichi (iliyokatwa katwa nyembamba) 1 magiPilipili mbichiβ¦
Open printable article βπAthari za Moshi wa sigara kwa mtoto
Utafiti uliofanyika nchini Marekani umebaini kwamba watu wazima wasiovuta sigara lakini walipokuwa watoto wazazi wao walivuta sigara mbele yao,wana hatari kubwa zaidi ya kufa kutokana na maradhi ya mapafu.Watafiti wanasema kati ya watu laki moja ,watu saba hufβ¦
Open printable article βπChanzo, dalili, aina na matibabu ya ugonjwa wa kifafa
Huu ni ugonjwa ambao unasabababishwa na seli zilizopo katika mishipa ya fahamu zilizopo kwenye ubongo kutoa umeme[impulses] mwingi kuliko kawaida kwenda kwenye misuli na sehemu zingine za mwili, na kusababisha mtu kupata dalili kama vile kuishiwa nguvu, kichwaβ¦
Open printable article βπAina ya vyakula vinavyotakiwa kwa wajawazito
Kwa ajili afya ya mama na mtoto ni muhimu sana, mwanamke anatakiwa apate chakula bora kilicho na madini yote kama vitamini na protini. Mama mjamzito anatakiwa apate gramu 100 za protini kila siku. Ifuatayo ni mlo kamili anaotakiwa apate mama mjamzito kila sikuβ¦
Open printable article βπDalili na matibabu ya tatizo la upungufu wa damu
Upungufu wa damu ni tatizo linalosababishwa na kupoteza damu nyingi, kupungua kwa uzalishaji wa chembe hai za da damu na uharibifu wa chembe za damu kutokana na matatizo na magonjwa mbali mbali seli mundu, ujauzito, hedhi nzito, kurithi, magonjwa sugu na Lisheβ¦
Open printable article βπDalili, athari, kinga na tiba ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB)
Kifua kikuu ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya bacteria na kuenezwa kwa njia ya hewa. Mtu mwenye maambukizi ya kifua kifua kikuu akikohoa, kupiga chafya au kutema mate ovyo husambaza vijidudu hewa, huweza kumwabukiza mtu mwingine kama atakuwa hajaanza kuβ¦
Open printable article βπFaida 10 za kula tende kiafya
Kila wakati unashauriwa na watalam wa afya ya kwamba unatakiwa kula tende kwa wingi ili kupata faida zifuatazo katika mwili wako:1. Huongeza nguvu kutokana na kuwa na sukari ya asili, unaweza kuchanganya na maziwa na kupata mchanganyiko bora!2. Huzuia meno kuoβ¦
Open printable article βπDalili za homa ya dengu (Dengue fever)
Dengue ni moja kati ya homa kali inayodhoofisha na kuambatana na maumivu makali. Kwa sasa hakuna kinga ya homa ya dengue, njia pekee ya kuepuka ugonjwa huu ni kuzuia kuumwa na mbu anayesambaza homa ya dengue.Dalili za ugonjwa huu ni;β’Homa kali ya ghaflaβ’Maumivβ¦
Open printable article βπDalili za kuharibika kwa Mimba
Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha mama mjamzito mimba yake kuharibika. Sababu kuu huwa ni magonjwa kama vile ugonjwa hatari wa malaria, ugonjwa unaotokana na zinaa kama vile kaswende na kisonono na U.T.I, dawa fulani fulani mfano Albendazole, Misoprostβ¦
Open printable article βπFaida 10 za kulala mapema kiafya
Mapera ni matunda yanayo patikana kwa wingi lakini mara nyingi huwa hayapendelewi sana kutokana na ugumu wake wakati wa kuyatafuna pamoja na kuwa na mbegu mbegu nyingi. Hata hivyo matunda haya yana faida kubwa sana kwa afya ya mwili wa mwanadamu.Zifuatazo ni fβ¦
Open printable article βπFaida 14 za kufunga chakula
Watu wengi wanafahamu kuwa kufunga kula ni swala linalohusiana na imani zaidi. Wengi hawafahamu kuwa kufunga kula kuna manufaa ya kiafya pia. Kufunga kula ni tendo lenye historia ndefu sana ambayo kimsingi chimbuko lake ni sababu za kiimani. Hata hivyo shuhudaβ¦
Open printable article β