PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Mapishi ya Wali Wa Nazi Kwa Mchuzi Wa Samaki Na Rojo La Bilingani Na Viazi/Mbatata

Wali Wa NaziMpunga - 4 vikombeTui la nazi - 6 vikombeChumvi - KiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaOsha mchele kishaBandika tui jikoni likichemka tia mchele na chumvi.Funika uchemke, tui likikauka wacha moto mdogomdogo hadi wali uive ukiwa tayari. Ikiwa unatumia…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia mvuke

Mvuke husaidia kusafisha ngozi. Ni rahisi sana kutumia mvuke kutibu chunusi.Chemsha maji kwenye sufuria jikoni funika na uache nafasi kidgo ya mvuke uwe unatoka, kisha chukua taulo na ujifunike usoni huku ukisogelea karibu na mvuke unapokea na uruhusu mvuke hu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia papai

Dawa nyingine madhubuti ya chunusi ni papai. Tunda hili ni moja ya matunda yanayotumika kwa ajili ya urembo hasa kwa wanawake.Chukua papai na uchanganye na asali kidogo, likoroge kidogo na ujipake sehemu yenye chunusi moja kwa moja kwa dakika 15 hivi hivi kish…

Open printable article β†’
πŸ“„

Namna ya kutibu chunusi kwa kutumia asprin

Aspirin inaweza kuwa ni moja ya dawa nzuri za chunusi. Chukua vidonge viwili au vitatu vya aspirin na utwange upate unga wake kisha ongeza maji kidogo upate uji mzito hivi.Kisha pakaa mchanganyiko huo moja kwa moja sehemu yenye chunusi kwa 10 hivi kisha jisafi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Wali Wa Dengu Kwa Samaki Wa Kukaanga

MahitajiMchele wa basmati - 3 VikombeDengu - 2 vikombeViazi - 3 vikubwaKitunguu - 2 kubwaNyanya - 2Pilipili mbichi kubwa - 3Pilipilimanga - Β½ kijiko cha chaiGarama Masala (bizari mchanganyiko) -1 kijiko cha chaiSupu ya vidonge (stock cubes) - 2 vidongeChumvi -…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kutibu chunusi kwa ute mweupe wa yai

Hii inaweza kuchukuliwa kama njia rahisi na isiyo na gharma katika kutibu chunusi. Kwa mjibu wa wanasayansi kutumia mchanganyiko wa ute mweupe wa yai na maji maji ya limau ni namna nzuri ya kutibu chunusi.Changanya ute mweupe wa mayai matatu na kijiko kidogo k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa Siki ya tufaa

Siki ya tufaa (Apple cider vinegar) ni moja kati ya dawa zinazojulikana katika kutibu chunusi ahsante kwa uwezo wake wa kurudishia tindikali katika ngozi. Bakteria wabaya, mafuta na uchafu mwingine wowote utaondoka juu ya ngozi yako bila kupenda ukitumia dawa …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa Chumvi na mafuta ya zeituni

Mchanganyiko wa chumvi na mafuta ya zeituni (olive oil) ni dawa nyingine inayotibu chunusi. Mafuta ya zeituni yandhibiti bakteria na huondoa sumu vitu ambavyo vinafanya kuwa dawa nzuri kutibu chunusi na matokeo ya chunusi.Changanya nusu kijiko kidogo cha chai …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa mdalasini na asali

Mchanganyiko wa mdalasini na asali ni dawa nzuri ya kutibu chunusi.Changanya asali vijiko vikubwa viwili na mdalasini ya unga kijiko kikubwa kimoja. Safisha vizuri uso wako.Kisha pakaa mchanganyiko huo kwenye uso wako usiku na asubuhi ujisafishe vizuri uso wak…

Open printable article β†’
πŸ“„

Namna ya kutibu chunusi kwa kutumia Binzari, maziwa na asali

Unahitaji vitu vifuatavyo:a)Binzari ya ungab)Maziwa freshc)Asalid)Bakulie)Kijiko cha chaiHatua kwa hatua namna ya kutumia:a)Weka kijiko kidogo kimoja cha binzari ya unga ndani ya bakulib)Ongeza kijiko kidogo kimoja cha asali ndani yakec)Ongeza tena kijiko kido…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia Uwatu (Fenugreek)

Uwatu ni dawa nyingine ya asili inayotumika kutibu chunusi. Uwatu unaondoa sumu na maambukizi mbalimbali.Hizi ni hatua chache za kutibu chunusi kwa kutumia uwatua)Chukua kijiko kidogo cha unga wa mbegu za uwatub)Ongeza maji kidogo kupata uji mzito (paste)c)Pak…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia maganda ya ndizi

Maganda ya ndizi ni dawa nyingine nzuri ya kuondoa chunusi. Unachohitaji ni kuwa tu na maganda ya ndizi kwa ajili hii.Hatua kwa hatua namna ya kutumia dawa hii:a)Menya ndizi na uleb)Chukua ganda la ndizi uliyokula na ukandamizekandamize sehemu ya ndani ya gand…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi za usoni kwa kutumia Parachichi na asali

Unahitaji:a)Kijiko kimoja cha asalib)Parachichi 1Hatua kwa hatua namna ya kufanya tiba hii:a)Safisha vizuri uso wakob)Kausha na taulo uso wakoc)Chukua nyama ya ndani ya parachichid)Ongeza asali kijiko kimoja ndani ya parachichie)Changanya vizuri vitu hivyo viw…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia Mtindi na asali

Kutumia mtindi na asali ni moja ya dawa rahisi zaidi za kutibu chunusi.Unahitaji:a)Kijiko kimoja cha asalib)Kijiko kimoja cha mtindiHatua kwa hatua namna ya kutumia:a)Changanya hayo mahitaji yako mawili vizurib)Pakaa ple pole mchanganyiko huu kwenye uso wakoc)…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo usiyoyajua kuhusu ugonjwa wa Pumu

Asthma /pumu ni ugonjwa sugu ambao huathiri njia ya hewa ambazo huingiza na kutoa hewa katika mapafu, pia hufanya kuta za ndani ya njia ya hewa kuvimba na hivyo hupunguza kiasi cha hewa kinachoingia na kutoka ktk mapafu, Hali hii husababisha mgonjwa kutoa mlio…

Open printable article β†’