πMapishi ya Pilau Ya Nyama Na Mtindi
MAHITAJINyama iliyokatwa vipande - 1 Ratili(LB)Mchele Basmati - 2 MagiChumvi ya wali - kiasiKitungu kilichokatwa katwa - 1 kikubwaKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi - 1 kijiko cha supuMtindi (yogurt) - Β½ kikombeMchanganyiko wa bizari ya pilau ya tayari -β¦
Open printable article βπMapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Nyama, Mchicha, Maharage Na Chatini Ya Pilipili Mbichi
Vipimo Vya Mchuzi Wa NyamaNyama ya ngβombe vipande vidogo - 2lbNyanya - 1Kitunguu Kilichoktwa katwa - 1Mafuta - 2 vijiko vya supuPaprika (bizari ya masala ya rangi) - Β½ kijiko cha chaiKidonge cha supu - 1Chumvi - KiasiNdimu - KiasiNamna Ya Kutayarisha Na Kupikβ¦
Open printable article βπMapishi ya Biriyani Ya Kuku
VipimoMrowanishe kuku na viungo hivi kwa muda mdogo tuKuku (Mkate kate Vipande) - 4 LBKitunguu saumu(thomu/galic) na Tangawizi - 2 Vijiko vya supuChumvi - kiasiPilipili nyekundu ya unga - 1 Kijiko cha supuBizari ya manjano (Haldi au Tumeric) - 1 Kijiko cha chaβ¦
Open printable article βπMapishi ya Biriani Ya Tuna
MAHITAJIMchele Basmati - Mugs 2 Β½Vitunguu (Vikubwa kiasi) - 3Tuna - Vibati 3Carrot - 2 kubwaTomatoe paste - 1 kikopoKitunguu saumu(thomu/galic) - 2 Vijiko vya supuTangawizi - 2 Vijiko vya supuUzile (Bizari ya pilau ya unga) (cummin powder )(Jeera) - Β½ Kijiko cβ¦
Open printable article βπMapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Nazi Wa Nyanya Chungu/Mshumaa/Ngogwe Na Bamia, Mboga Ya Matembele Na Samaki Wa Kukaanga
Vipimo Vya UgaliUnga wa mahindi - 4Maji - 6 kiasi kutegemea na aina ya ungaNamna Ya Kutayarisha Na KupikaWeka maji katika moto.Tia unga kidogo katika kibakuli, koroga ufanye uji.Maji yakichemka tia kwenye maji uwe uji.Ujii ikiiva punguza kidogo tia unga kidogoβ¦
Open printable article βπMapishi ya Pilau Ya Mchicha
VIPIMOMchele - 3 VikombeMchichaMafuta - 1/2 kikombeVitunguu maji - 2 vikubwaNyanya - 1Viazi - 3Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa - 3 vijiko vya supuVidonge vya supu (Stock cubes) - 3Jiyrah (cummin powder) - 1 kijiko cha chaiPilipili manga ya unga - 1 kijiβ¦
Open printable article βπMapishi ya wali Wa Nazi Kwa Mchuzi Wa Nyama Ngβombe Na Mchicha
Wali Wa MpungaMchele wa mpunga - 4 VikombeTui la nazi - 6 vikombeChumvi - kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaOsha mchele kishaBandika tui jikoni likichemka tia mchele na chumvi.Funika uchemke, tui likikauka wacha moto mdogomdogo hadi wali uive ukiwa tayari. Ikβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Pilau Ya Kuku
MahitajiMchele wa basmati - 3 vikombeKuku - Β½Viazi - 4Vitunguu - 2Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa - 2 vijiko vya supuBinzari ya pilau nzima - 1 Kijiko cha chakulaBinzari ya pilau - Β½ kijiko cha chaiPilipili manga nzima - Β½ kijiko cha chaiKarafuu nzima -β¦
Open printable article βπMapishi ya Wali Wa Mboga Na Mchuzi Wa Kuku wa Tanduri
Vipimo vya Wali:Mchele basmati - 3 magi (kikombe kikubwa)Mchanganyiko wa mboga za barafu(Frozen vegetables) - 1 Β½ mugChumvi - kiasiMafuta - 3 vijiko vya chakulaKitungu maji (kilichokatwa) - 1Bizari ya pilau (nzima) - 1 kijiko cha chakulaNamna Ya kutayarisha naβ¦
Open printable article βπMapishi ya Wali, Mchuzi Wa Nazi Wa Samaki Nguru
MahitajiMchele - 3 vikombeSamaki Nguru (king fish) - 5 vipandeVitunguu - 2Nyanya/tungule - 4Mafuta - 3 vijiko vya supuTui la nazi zito - 2 vikombePilipili mbichi - 5-7Kitunguu saumu(thomu/galic) - 7-9 chembeKotmiri - 1 msongo (bunch)Bizari ya samaki - 1 kijikoβ¦
Open printable article βπMapishi ya Biriani Ya Kuku Wa Kuchoma Wa Tanduri
MahitajiMchele - 4 vikombeKuku - 1Vitunguu - 3Nyanya/tungule - 4Zabibu kavu - Β½ kikombeTangawizi na kitunguu (thomu/galic) - 2 vijiko cha supuPilipili mbichi iliyosagwa - 1 kijiko cha supuMtindi (yoghurt) - 2 kijiko cha supuMasala ya tanduri - 2 vijiko vya supβ¦
Open printable article βπMapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Samaki Wa Kuchoma
Vipimo Vya UgaliUnga wa mahindi - 4 vikombeMaji - 6 kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaTia maji kiasi katika sufuria wacha yachemke hasaTia unga kidogo kidogo huku ukikoroga mpaka ukamatanePunguza moto huku ukiendelea kuusongaEndelea kusonga kwa dakika kadhaa β¦
Open printable article βπMapishi ya Pilau Ya Nyama Ng'ombe Karoti Na Zabibu
Vipimo - NyamaNyama ngβombe ya mifupa ilokatwa vipande - 1 kiloTangawizi na thomu (somu/garlic) ilosagwa - 2 vijiko vya supuBizari mchanganyiko/garama masala - 1 kijiko cha chaiChumvi - KiasiVipimo - WaliMchele - 4 glassMbatata/viazi menya katakata - 3 kubwaViβ¦
Open printable article βπMapishi ya Muhogo Na Mbatata Za Nazi Kwa Nyama Ngombe
Vipimo - Mahitaji Ya NyamaNyama ya nβgombe ya mifupa - 3 lbTangawizi mbichi ilosagwa - 1 kijiko cha supuKitunguu thomu - 1 kijiko cha supuBizari ya pilau/jira/uzile (cumin) - 1 kijiko cha supuNdimu - 1Kitunguu kilokatwakatwa (chopped) - 1 cha wastanPilipili mbβ¦
Open printable article βπMapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Kamba Wa Nazi, Kisamvu Na Kachumbari Ya Papa Mkavu
Vipimo - UgaliMaji - 4 vikombe kiasi inategemea na unga wenyewe.Unga wa sembe - 2 vikombeNamna Ya Kutayarisha Na KupikaTia maji kiasi katika sufuria, weka motoni, yakipata moto korogea unga wa sembe kiasi na ufanye uji mzito uache uchemke vizuri huku ukikorogaβ¦
Open printable article β