PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Mambo ya msingi kufahamu kuhusu Lishe

Nini maana ya lishe?β€’ Lishe yahusu mafunzo ya chakula na jinsi miili yetu inavyotumia chakula kamakichocheo cha ukuaji, kuzaana na utunzaji wa afya.β€’ Lishe inajumuisha mchakato wa utoaji virutubishi vinavyohitajika kwa afya, ukuaji, kuendelea na kuishi.Umuhimu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Mchuzi Wa Ngogwe Na Bamia

Viamba upishiNgogwe Β½ kgKitunguu 2Bamia ΒΌ kgKaroti 2Mafuta vijiko vikubwa 8Maji vikombe 3 Mayai 2Nyanya 2ChumviHatuaβ€’ Osha, menya na katakata nyanya na vitunguu.β€’ Osha, menya na kata karoti virefu virefu.β€’ Osha, kata ncha za bamia pande zote na kama ndefu sana…

Open printable article β†’
πŸ“„

Dondoo Muhimu kuhusu ugonjwa wa kisukari

Wapendwa, napenda kushirikiana na nyinyi kujuzana hili nililolisikia kupitia channel ten leo asubuhi kuhusu ugonjwa wa kisukari.Wataalam waliokua wakitoa mada walikua Prof Endrew Swai na Dr Mohamed Juma.Kwa ufupi wamesisitiza sana kufanya mazoezi kwa takriban …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika mboga ya majani ya mashona nguo

Viamba upishiMashonanguo mkono 1Tui la nazi kikombe 1Karanga zilizosagwa kikombe Β½Mafuta vijiko vikubwa 4Kitunguu 1Nyanya ndogo 2Chumvi kiasiHatuaβ€’ Chambua mashona nguo mateke, osha na katakata.β€’ Menya osha na katakata kitunguu.β€’ Osha, menya na katakata nyanya…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza juisi ya nyanya

Viamba upishiNyanya 1 kgMaji Iita Β½Chumvi kijiko kidogo 1SukariHatuaβ€’ Osha nyanya, katakata na chemsha na maji mpaka zilainike.β€’ Chuja juisi.β€’ Pima juisi - vikombe 2 vya juisi kwa kikombe 1 cha sukari, wekakwenya sufuria safi .β€’ Ongeza chumvi, chemsha ukikorog…

Open printable article β†’
πŸ“„

Dondoo kuhusu tezi dume

Tezi dume kila mwanaume anazaliwa nayo ambayo inasaidia kutoa maji maji ambayo yanaweza kusaidia kutengeneza mbegu za kiume.Maji maji hayo yana alkaline ambayo husaidia Wakati Wa tendo la ndoa asidi (acid) iliyopo Kwa mwanamke isiue mbegu za kiume.Kwahiyo alka…

Open printable article β†’
πŸ“„

Tabia 10 zinazoweza kuharibu figo

1.Kubana mkojo kwa muda mrefu2.Kutokunywa maji ya kutosha kila siku3.Kutumia chumvi nyingi kuliko kawaida4.Kula nyama mara kwa mara au mara nyingi5.Kutokula chakula cha kutosha6.Kuchelewa kujitibu maambukizi madogomadogo haraka na kwa usahihi7.Kutumia visivyo …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kujisaidia unapopatwa shambulio la moyo ukiwa pekeyako

Tafadhali chukua walau dk 2 kusoma hii:1. Chukulia ni muda wa saa 1:25 jion unarudi nyumbani peke yako, baada ya kazi ngumu zusizo za kawaida ofisini.2. Umechoka sana, una hasira na umechanganikiwa.3. Ghafla unajisikia maumivu makali kifuani yanaelekea mkononi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kuepuka kunuka mdomo

Kuwa na harufu mbaya mdomoni ni kitendo kinachoweza kuathiri maisha ya mtu kimahusiano si kwa mpenzi tu bali marafiki na jamii kwa ujumla. Pia kuwa na harufu mbaya mdomoni uondoa haiba ya kupendwa kwani hata unapoongea wengi watakwepa kuongea moja kwa moja na …

Open printable article β†’
πŸ“„

Tiba kwa kutumia maji

β­•Tiba kwa kutumia majiβ­•πŸ’§πŸ’§πŸ’§πŸ’§πŸ’§πŸ’§πŸ’§πŸ’§πŸ’§Hamuwezi kuamini! maradhi mengi Mwenyezi Mungu amejaalia tiba yake ni kunywa maji, shukrani zote ni zake..Umoja wa Matabibu wa Japan wametangaza utafiti wao wa kutibu maradhi kwa maji na matokeo yake yamefanikiwa kwa aslilimia 1…

Open printable article β†’
πŸ“„

Faida za mnyonyo na mazao yake

Nyonyo Mbarika (Castor)Mnyony(KiSwahili) Erand (KiHindi) Kastorka(KiRusi) ni mmea wa jamii ya Mbono Kaburi, kwajina la kitaalamu JaptrophaBaadhi ya faida za mnyonyo na mazao yakeMbali na kuweza kutumia mnyonyo kama uzio hai,njia hii inawezakutumika kwa wale wa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Dondoo muhimu za afya

Tafadhali soma na uwapelekee wengine.Dr. Chriss Mosby wa Tanzania amegundua kensa mpya kwa binadamu inayosababishwa na Silver Nitro Oxide. Unaponunua kadi ya simu usiichune kwa kucha kwani imo hiyo Silver Nitro Oxide na inaweza kusababisha kensa ya ngozi. Watu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ushauri kuhusu mwili wako

Nimekutana na hiki kitabu japo nimekipitia juu juu nikaona nisiwe mchoyo Wa kukushirikisha wewe utakayependezwa na kusoma hapa Chini japo ni changamoto sana kwa sisi waongo kusomaMwili wako jinsi ulivyo unatokana na kile unachokula au unachotumia.Umeshawahi ku…

Open printable article β†’
πŸ“„

Fahamu kuhusu kitambi na uzito uliopitiliza

Mwili wa binadamu umeundwa kwa organs na mifumo mbalimbali ili kuuwezesha kufanya kazi sawia. Mfano,MoyoIniFigoMapafuMfumo wa fahamuMfumo wa uzaziMfumo wa mmeng'enyo wa chakula.Vyote hivi hufanya kazi kwa usahihi ikiwa mwili una balance yaMafutaSukariNishatiPr…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ugonjwa wa kichomi

Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa moyo. Kupatwa kichomi mara moja moja si vibaya.Ukipatwa muda mrefu au kila wakti ; basi chunguza zaidi.Kichomi husababishwa au kinaweza kuwa.1. Dalili ya matatizo ya tumbo lenye asidi (acid) kuzidi2. Dalili za ugonjwa wa mo…

Open printable article β†’