PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Meseji ya kumkaribisha mpenzi wako

Njoo pendo langu nikutembezekatika milango ya furahaNikuwakilishe mbele ya majamaa zanguNikuonjeshe asali ya pendo langu

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako kumuomba kukutana na wewe

Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie, nimekukumbuka nahitaji kukuona unipoze moyo wangu, njooo mwandani wangu nakusubiri daktari wangu.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako ya kumuomba aje kwako

Mpenzi usiende mbali nami,njoo ufaidi utamu usioishahamu,nitakupa mwili wangu ucheze nao hadiasubuhi,nitakulisha unachokitaka,sitakubania kwani naogopawengine wanaweza kukupa… .njoo leo uniambie unatakanini?

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kumbembeleza mpenzi wako aje kwako

mpenzi usiende mbali nami,njoo ufaidi utamu usioishahamu,nitakupa mwili wangu ukeshe nao,nitakulishaunachokitaka,sitakubania naogopa wengine wataniibia. ..njo leo uniambie unataka nini?

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kumtumia mpenzi wako wakati unaenda kwake

nipe niridhike,nionjeshe usinilambishe,nikigonganikaribishe na penzi le2 2listawishe.

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kumuomba mpenzi wako aje kwako

Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie, nimekukumbukanahitaji kukuona unipoze moyo wangu, njooo mwandani wangunakusubiri daktari wangu.

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako mlioachana kumwambia hakuwa sahihi

maumivu ya kulipoteza penzi lako ni kubwa, lakini nimakubwa zaidi baada ya kugundua haukuwa yule nileyedhani.inaniuma sana

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kimahaba ya upendo ya kumtumia mpenzi wako anapoenda kwa mwingine

Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wangu hupatwa kidonda ninaokuona na mwinginehasa anapokuwa hana sifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wa kumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu.

Open printable article β†’
πŸ“„

Namna ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti

VIAMBAUPISHIUnga 300gmSiagi 225gmIcing Sugar 60gmChokoleti iliyokoza (Dark Chocolate) - 225gmVanilla – Vijiko 2 vya chaiYai -1Baking Powder Β½ kijiko cha chaiNjugu za vipande Β½ kikombe cha chaiNjugu zilizosagwa ΒΌ kikombe cha chaiJINSI YA KUTAYARISHAPiga sukari …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Mgagani

Viamba upishiMgagani mkono 1Mafuta vijiko vikubwa 4Karanga zilizosagwa kikombe Β½Maji kikombe 1Kitunguu 1Karoti 2Maziwa kikombe 1Chumvi kiasiHatuaβ€’ Chambua mgagani, oshana katakata.β€’ Chemsha maji, weka chumvi kisha ongeza mgagani, funika zichemmke kwaβ€’ dakika 5…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Keki Ya Maboga

Viamba upishiUnga wa ngano vikombe vikubwa 3Boga lililopondwa kikombe 1Baking powder vijiko vidogoSukari kikombe kikubwa 1Blue band kikombe Β½Vanilla kijiko kidogo 1Mayai 2Maji kiasi/ maziwa(kama nilazima)Hatuaβ€’ Osha boga, Kata, ondoa mbegu, kisha kata vipande …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Mboga Za Majani Makavu (Aina Yoyote)

Viamba upishiMboga za majani makavu ΒΌ kgMafuta vijiko vikubwa 3-4Karanga zilizosagwa kikombe Β½Maziwa au tui la nazi kikombe 1Kitunguu 1Nyanya 2Chumvi (kama kuna ulazima)Maji baridiHatuaβ€’ Loweka mboga za majani makavu na maji kwa dakika 10-15.β€’ Osha , mboga na …

Open printable article β†’
πŸ“„

Utayarishaji bora wa chakula

Β· Osha mikono yako kwa sabuni kabla na baadaya kutayarisha chakulaΒ· Tumia vyombo safi na sehemu safi kwakutayarisha na kula chakulaΒ· Viporo vipashwe moto vizuri kabla ya kulaΒ· Chemsha maji ya kunywa na kuyaacha jikonidakika kumi baada ya kuchemka

Open printable article β†’
πŸ“„

Vidokezo vya kukusaidia ule mboga za majani zaidi

Ulaji wa mboga za majani ni muhimu kwa sababu zina vitamini na madini mengi na viwango vidogo vya kalori. Ili uongeze mboga zaidi za majani katika milo yako, fuata vidokezi hivi vifuatavyo;Gundua njia za kupika harakaPika mboga mpya za majani au zilizogandishw…

Open printable article β†’
πŸ“„

Madhara ya nyama nyekundu kwa mtu mwenye VVU

Kuna nyama za aina mbili, nazo ni nyama nyeupe na nyama nyekundu.Nyama nyeupeHizi ni nyama zitokanazo na samaki, kuku, ndege wa aina zote, bata, waduduNyama nyekunduHutokana na ng’ombe, mbuzi, kondoo,nguruwe na wanyama wa porini.Nyama ina virutubishi vingi muh…

Open printable article β†’