PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

SMS nzuri sana ya Kimahaba

Nimekuapata! Kama unanichukia, nipige mshale, lakinitafadhali si moyoni sababu hapo ndipo wewe ulipo.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumsihi mpenzi wako awe anakupigia simu kwa kuwa hivyo ndivyo kujali

Kusumbuliwa na mlio wa simu yako, humaanisha kuwa mudafulani, mahali fulani, kuna mtu anakufikiria muda huu, nahuyo ni mimi mara zote nakujali.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa anayo moyo wako

Naweza kukuazima mabega yangu upande, masikio yanguusikilizie mikono yangu ushikie, miguu yangu, utembelee,lakini si moyo wangu kwani tayari unao wewe.

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako umpendaye sana

Lazima utakuwa mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechokasababu unakimbia mara zote akilini mwangu, na labda mimisina shabaha sababu mara zote nikikulenga nakukosa.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS kali ya kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyoogopa kwa kuwa unampenda sana

Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasanaogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosakatika maisha yangu.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS kali ya kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyoogopa kwa kuwa unampenda sana

Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasanaogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosakatika maisha yangu.

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kila unapomtazama

Wanasema mtu huanguka katika mapenzi mara moja, jamboambalo mimi naliona si la kweli kwa maana kilaninapokutazama najikuta nakupenda tena na tena.

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa huna linalokuhuzunisha maishani kwa kuwa mnapendana

Imani hufanya mambo yote yawezekane, Matumaini hufufuayaliyopoteza uhai, lakini mapenzi hufanya mambo yoteyaonekane mazuri. Sina linalonihuzunisha maishani mwangukwa kuwa tunapendana!

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumwomba mpenzi wako msamaha unapomkosea

Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani,nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo,utakuwa wangu siku dear!Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya,naomba unisamehe na ninaahidikutorudia tena katika penzi letu!

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kumsihi mpenzi wako azidi kukupenda

Natambua ugumu wa mapenziMengi ni matamu, mengine ni machachuIla nakusihi usikate tamaa ya kunipenda kimoyo

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumuomba mpenzi wako asiondoke asikuache

Nakuomba usiondoke, bali ubaki namiKwani wewe ndiye kamilisho la maishaYangu kwa sasa na siku za usoni

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumsihi mpenzi wako asikuache

Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumuomba mpenzi wako asikuache

Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU"

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako kumuonyesha unavyompenda

Naweza kukuazima mabega yangu upande, masikio yangu usikilizie mikono yangu ushikie, miguu yangu, utembelee, lakini si moyo wangu kwani tayari unao wewe.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumtumia mpenzi wako kumuahidi kuendelea kumpenda daima

Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! "NAKUPENDA MALAIKA WANGU"

Open printable article β†’