PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Ujumbe wa mapenzi wa kumpa umpendaye thamani kubwa

Umbo lako kama sayari, lizungukapo umbile la juani kama upendo wa thamani usioweza kuuzika.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kimahaba kumueleza mpenzi wako maana ya mapenzi, Mapenzi ni nini?

Mapenzi ni nini? Wale wasiopenda huita majukumu, walewanaoyachezea huita mchezo, wale wasiokuwa nayo huitandoto, na wale wanaoelewa huyaita mwisho wa safari, namimi, mwisho wangu ni wewe.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya kumsifia mpenzi wako

Uzuri wako hung'ara kuendana na matendo yako,Ushupavu, upole, ujasiri na uchambuzi wa kweli,kwa yote yajayo mbeleni mwako.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya kimahaba kueleza kuhusu penzi

penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi. Namna mojaniijuayo nikumtumia mapenzi hayo mtu asomaye meseji hii

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kimahaba kumwambia mpenzi wako kuwa yeye ndiye mwanamke pekee mwenye sifa za kuwa mwanamke

Mwanamke ni yule amfanyaye mwanamme auhisi uanaume wake,wewe ni mwanamke mwenye sifa hizo.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya Birthday ya kumtakia mpezi wako heri ya sikukuu ya kuzaliwa

Dear siku zimekaribia, miaka …… utatimiza katika hii dunia,hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia,hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi,zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi.Happy Birthday mpenzi.

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kumsifia mpenzi wako

Unaonekana kung’ara leo nilijuaje…….ni kwasababuunaonekana hivyo kila siku. Nakupenda sana Mpenzi wangu vile ulivyo kila siku kwangu wewe ni mpya.

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kimahaba wa kumwambia mpenzi wako ajiepushe na vishawishi

Najua kuna vishawishi vingi sana uko ulipo, lakini nikiwamoyoni mwako, siku hii itakuwa nzuri zaidi kwetu,tupendane daima lahazizi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kumsifia mpenzi wako kumwambia kuwa hakuna anayemfikia yeye

Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambomazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe,kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kimahaba kumwambia mpenzi wako kuwa yeye ni ndoto yako

Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli,lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri kuhusu maana ya mapenzi

mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lakiniyanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala sinjaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwaunaempenda

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako kumwambia ajihadhari na maadui wa penzi lenu

Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zako wanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya Sikukuu ya kuzaliwa au Birthday

Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyeziakupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,nakupenda la azizi.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako wa kike kumsifia na kumwambia unavyompenda

mahakama ya upendo iliyopo mtaa wa busu imenihukumukufungwa kwenye gereza la moyo la mcchana huyo milele kwakuutesa mtima wa moyo wa mcchana mmoja ,asiye namashauz,mwenye wing upendo ,maneno matamu ,mahaba ya dhatna mapenz mazito zito,

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya mapenzi kutakia maisha marefu siku ya kuzaliwa au birthday

Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupemaisha marefu na kukuepusha na maradhi,pongezi kwa wako wazazikwa kukuzaa mpenzi,nakupenda la azizi.

Open printable article β†’