PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako

Nitaenda mbali Zaidi ya maono yakoSafarini nitajenga hekalu la pendo letuNitapuliza filimbi kama ishara ya utambulisho wakoNa mwanzo wa sherehe ya ndoa yetu Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumie SMS

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya mapenzi ya kimahaba ya kutuma kwa mpenzi wako umpendaye

Fikra hutawala mtima wangu, Kwa madhila yalojaa duniani, Kwa muhali wa yanayojiri, Kwa machweo na mawio, Kwa totoro ama nuruni, Nao moyo hukosa ukamilifu, Kwa utashi wa zake hisia, Zinipazo sababu kuu, Ya upendo juu yako, Ya kukufanya daima uwe, Mawazoni mwang…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe mzuri wa usiku mwema kwa umpendaye

Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani, Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekee mwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni, Usije ukaondoka hakuchinji asilani, Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni. ucku mwema Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya usiku mwema kwa umpendaye

Ckia ckupend, cktaki na wala ckhitji tena ww ni kikwzoktka maisha yangu ucnizoee! Mwmbie shtan maneno hya kablahjalala. g9t Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumie SMS

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumtumia mpenzi wako usiku

Nenda sms taratibu kwa yule ma BEST nimpendaye,ukimkuta amelala ucmuamshe mpige busu kisha mnong'oneze mwambie nampenda sanaaaaNilivyokutana nawe cku ya kwanza nilikupenda kwa dhati, nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyoni mwako,cwezi kuchezea nafac hyo laazi…

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumtakia sweet wako usiku mwema

Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako,naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumie SMS

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi

Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu. Ndilo sababu ya nguvu yangu. Tangulia pembeni mwa macho yake. Asubuhi hii hadi usiku ujao Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumie SMS

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumtumia mpenzi wako wakati wa usiku

Uamkapo nitakupa langu tabasamuUkweli wa moyo utawale roho yakoKwani macho yako ndo uzuri kwanguNakupenda sasa na milele kipenzi changu Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumie SMS

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya mapenzi ya kutakia usiku mwema

Mungu akupe umri wa mnazi uishi mingi miaka.Akupe thamani ya mnazi kila kitu chatumika.Kuanzia kuti lake mpaka kwenye kidaka.Kitale katikati yake ukila utaridhika.Matamu na maji yake hukata kiu haraka.Weupe watui lake lina ladha ukipika.Kupaka mafuta yake mwil…

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri kwa umpendaye asubuhi

, - .(. - . '. .' ' . . . ' Napenda tunda hili likupoze makali uliyo nayo moyoni, Nimeliosha kwa maji safi na salama kwa ajili yako lipo tayari kuliwa. "APPLE" Ni tunda lenye ishara ya UPENDO, AMANI & FURAHA. napenda liwe zawadi kwako siku hii ya leo.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumtumia mpenzi wako kumtakia mahangaiko mema ya kazi

Ukipata tutakula na wala usijali mpenzi wangu.Ukikosa tutalala na hiyo itabaki siri yanguuuuuuuu.nakupenda mpz Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumie SMS

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa haumpendi kwa uzuri wake tuu

Napenda ufahamu kuwa wewe ndiye nikupendae tuUzuri wako sio sababu ya mimi kukupendaIla nakupenda kwa matendo yako na jinsi ulivyoumbika. Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumie SMS

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa salamu kwa mpenzi kumjulia hali

Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi? Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumie SMS

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya salamu kwa mpenzi wako

Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumie SMS

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kumjulia hali mpenzi wako wakati wowote

Sio Maua yote Huonesha Upendo, "Ni Waridi pekee" sio Miti yote Hustawi Jangwani "ni Mtende pekee" sio watu wote wanaokukumbuka muda huu ni mm pekee. Uhali gani? Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumie SMS

Open printable article β†’