πJinsi ya kumfanya mpenzi au rafiki yako asiwe na mwingine
Jambo la muhimu ni kuwasiliana kwa karibu i ili kuelewa mawazo na matatizo ya rafiki yako. Hakikisha unakuwa muwazi na mkweli. Mkielewana vizuri mnaweza kufurahia mazungumzo yenu vizuri. Vilevile mnaweza kusaidiana katika kutatua matatizo yanayoweza kumkabili mmoja wenu. Kwa kufanya hivyo mtajenga mβ¦
Open printable article βπUmri unaofaa kuoa
Kuoana maana yake ni kuwajibika kwa maisha yako na mke au mume wako. Mara nyingi kuoana kunaambatana na kuzaa watoto. Ni vigumu sana kutambua umri sahihi wa mtu kuoa au kuolewa, kwa sababu watu wanatofautiana katika kuamua ni lini yuko tayari kujitegemea na kuwajibika kumtunza mtu mwingine. Wengine β¦
Open printable article βπMahusiano ya kimapenzi kati ya msichana mwenye umri mdogo na watu wazima
Inawezekana kwa msichana mdogo kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwenye umri mkubwa. Hata hivyo uzoefu umeonyesha kwamba uhusiano kama huo mara nyingi unakuwa mgumu. Kwanza kabisa ni suala la upevu wa akili na uwiano wa jinsi ya kufurahia maisha.Kwa mfano, vijana ambao hawajapishana sana umrβ¦
Open printable article βπLengo na sababu ya kujamiiana
Lengo kuu la kujamiiana ni kutafuta watoto. Lakini si sababu pekee. Sababu hizo ni pamoja na;kupata starehe,kujiburudisha,kupoteza mawazo,kujenga na kudumisha uhusiano na hisia za kupendana,kuhitajiana,Hata hivyo ni muhimu sana kuzingatia uzazi wa mpango. Ili kuleta raha katika tendo la kujamiiana nβ¦
Open printable article βπKwa nini vijana wanakatazwa kujamiiana?
Ujana ni kipindi cha mabadiliko kutoka utotoni kuelekea utu uzima, wakati wa kipindi hiki kijana hupata mabadiliko ya kimwili, kiakili na kimtazamo. Mwili na akili hupevuka. Ni kipindi muhimu cha kuweka msingi wa maisha ya baadaye. Vijana wanakatazwa kujamiiana kwa sababu matatizo mengi yanaweza kutβ¦
Open printable article βπJe, kuna madhara gani kama mtu anakaa muda mrefu bila kujamiiana au kufanya mapenzi?
Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya iwapo utakaa muda mrefu bila ya kujamiiana. Viungo vya uzazi havidhuriki wala sehemu nyingine yoyote katika mwili wako. Mwanamke na mwanaume wakianza kujamiiana baada ya kukaa muda mrefu watapata raha na starehe kama kawaida. Kuna uvumi potofu kwamba β¦
Open printable article βπNifanye nini nikipata hamu ya kujamiiana au kufanya mapenzi?
Unapofikia ujana unaanza kuwa na hisia za upendo na kujisikia kupata mvuto au msisimko ambao sio wa kawaida. Jambo hili ni la kawaida kwa kijana yeyote anayekua. Ni dalili zinazoonyesha kwamba sasa unaingia utu uzima. Unapopata hisia za namna hiyo jaribu kutafuta shughuli zitakazokusahaulisha, kama β¦
Open printable article βπNifanyeje kuepuka vishawishi vya kujamiiana kutoka kwa watu wengine, hasa wakubwa?
Vijana wengi wanajikuta wanatumbukia katika matatizo mazito kama kupata mimba mapema, utoaji wa mimba, magonjwa ya zinaa pamoja na maambikizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI, kwa sababu wanapokea zawadi bila ya kujiuliza lengo la zawadi hizo.Wanaume wengi wanatumia fedha kuwahadaa wasichana na wasichβ¦
Open printable article βπKama sitaki kujamiiana kabla ya ndoa, nifanye nini ili kuondokana na adha ya vishawishi vya hao ambao ameshaanza kujamiiana?
Kama umeamua kutojamiiana kabla ya ndoa, huo ni uamuzi mzuri na ni haki yako. Kutojamiiana kabla ya ndoa ni uamuzi wako binafsi kama ambavyo watu wengine walivyo na haki ya kuamua kuhusu maisha yao.Hakuna haja ya kujisikia vibaya unaposikia vijana wenzako wanapoelezea jinsi wanavyojamiiana na raha wβ¦
Open printable article βπKwa nini wasichana wakiingia utu uzima damu zinaanza kutoka kwenye uke?
Kutoka damu (hedhi) kwa mara ya kwanza kunaitwa kuvunja ungo na hii ni dalili ya mtoto wa kike kuingia utu uzima,0 yaani kuwa mwanamke. Wasichana wanavunja ungo kati ya umri wa miaka 8 na umri wa miaka 18. Lakini, kuvunja ungo haina maana kwamba unahitaji kuanza kujamii ana. Kwa sababu ukijamii ana β¦
Open printable article βπKujamiiana au kufanya mapenzi salama
Mapenzi salama ni yale yanayofanyika bila wasiwasi wa kupata mimba zisizotarajiwa, magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Mapenzi salama yanaweza kuwa ni pamoja na kumaliza hamu bila ya kujamiiana au kuchukua tahadhari kwa maana ya kutumia kondomu wakati wa kujamiianaβ¦
Open printable article βπKwa nini uume unasimama mara nyingine wakati wa kuamka asubuhi?
Ni kweli kwamba mara nyingi hali hii huwatokea wavulana na wanaume. Ndani ya uume kuna mishipa mingi ya damu na kama damu nyingi i i ikienda sehemu hii i ii inasababisha uume kuwa mgumu na kusimama. Mtu anapolala huwa ametulia na hivyo damu inaweza kusukumwa kuelekea kwenye uume. Kwa hiyo, msukumo wβ¦
Open printable article βπJe, mvulana afanye nini ili kuzuia ndoto nyevu?
Ndoto nyevu ni kitu kinachowatokea vijana wakiwa usingizini. Haiwezekani kuzuiwa kwa sababu uko usingizini, lakini labda ingekuwa vizuri wewe kujiuliza kwa nini unataka kuzuia jambo hili, haswa ukizingatia kwamba ndoto nyevu hazidhuru afya yako kabisa na kwamba ni dalili kuwa sasa unakuwa mtu mzima,β¦
Open printable article βπJe, uume una urefu kiasi gani? Ni kweli kwamba wanaume warefu wana uume mkubwa na wale wafupi wana uume mdogo?
Kwa kawaida urefu wa uume ambao haujasisimuka kwa wastani ni kati ya sentimeta 7 na 10, na uume uliosimama ni sentimeta 13 hadi 18. Si lazima kwamba maumbile ya mtu yawiane na viungo vya uzazi. Na vile vile katika kujamii ana, jambo la vipimo vya uume si la msingi. Kilicho muhimu ni afya nzuri ya waβ¦
Open printable article βπNjia za Kujenga Ushawishi na Msichana katika Uhusiano
Njia za Kujenga Ushawishi na Msichana katika Uhusiano: Jenga Uhusiano wa Furaha na Mafanikio!
Open printable article β