PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Kwa nini mwanaume akiona mapaja ya mwanamke uume wake husimama?

Mapaja na nyonga ni sehemu ya mwili i i iliyo karibu na viungo vya uzazi vya mwanamke. Kwa sababu ya mvuto wa kijinsia kati ya mwanaume na mwanamke, ambao ni wa asili, mwanaume anapoona kilicho na uhusiano wa karibu na viungo vya uzazi au viungo vyenyewe hupat…

Open printable article β†’
πŸ“„

Nini kifanyike nini kwa mtu ambaye hafikii kilele au mshindo wakati anapofanya mapenzi?

Kwa mwanaume, dalili ya kufikia mshindo ni uume kusimama halafu kumwaga manii . Manii kutotoka wakati wa kujamii ana inaweza kusababishwa na mambo mengi. Kutoa manii kunatumia nguvu nyingi za mwili. Kwa hiyo chochote kile kinachompunguzia mwanaume nguvu za mwi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, kuna madhara gani usipooga baada ya kujamiiana?

Hakuna madhara yoyote ya msingi anayopata mtu asipooga baada ya kujamiiana. Isipokuwa kwa ajili ya kutunza usafi, mnashauriwa kunawa via vya uzazi mara baada ya tendo la kujamii ana.

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini mara nyingine uume hausimami?

Ili mwanaume aweze kujamii ana, ni lazima uume usimame na kuweza kupenya ukeni. Kama mvulana anasisimka kimapenzi, damu nyingi inaenda katika mishipa ya damu ndani ya uume. Halafu uume husimama kutokana na msukumo wa damu. Hivyo kama msukumo wa damu hautoshi, …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, uke wa mwanamke unaweza kupanuka kiasi gani?

Wakati wa kujifungua, uke wa mwanamke mzima hupanuka kuanzia kipenyo cha sentimeta kumi mpaka kumi na mbili i i ili kuruhusu kichwa cha mtoto kupita. Kwa kawaida, mwanamke anayejifungua, uke na mlango wa mfuko wa uzazi hupanuka vya kutosha.Kwa wasichana wa umr…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, kuna madhara msichana akifanya mapenzi wakati akiwa katika hedhi (siku zake)?

Kufanya mapenzi wakati msichana yuko katika hedhi hakuna madhara yoyote kiafya kwa mwanaume wala mwanamke kama kati yao hakuna mwenye ugonjwa wa zinaa.Ila kama mmoja wapo ana ugonjwa wa zinaa, huo ni wakati wa hatari sana kwa maambukizi, kwa sababu utando ndan…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, kisimi cha mwanamke kikisuguliwa kwa vidole atafikia mshindo? Na kuna madhara yoyote ?

Ni kweli kwamba kuna sehemu za mwili ambazo zikiguswa huleta msisimko mwilini.Kisimi (au kinembe) ni moja ya sehemu hizo kwa mwanamke, kwa sababu pale kuna mkusanyiko mkubwa wa mishipa ya fahamu. Kusugua kisimi ni njia salama ya kumaliza ashiki ya kutaka kujam…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, mvulana anaweza akafikia mshindo kwa njia ya kusugua uume na vidole na kuna madhara gani ukisugua uume na vidole?

Ndiyo, mvulana anaweza akafikia mshindo kwa njia ya kusugua uume na vidole. Anaposuguliwa uume na vidole, msisimko wa mwili unaongezeka na damu zinaingia kwenye mishipa ya damu katika uume.Basi, uume unasimama na mara nyingi ukiendelea kusuguliwa mvulana anamw…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, madhara gani yatawapata wasichana na wavulana wanaojamiiana kwa kutumia sehemu ya haja kubwa?

Tunasema ngono kutumia njia ya haja kubwa pale ambapo uume uliodinda unaingizwa kwenye njia ya haja kubwa (mkunduni). Tatizo kubwa la kujamii ana sehemu ya haja kubwa, ni kwamba kuna uwezekano wa kueneza magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya VVU na UKIMWI …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, kuna matatizo yoyote kama mdomo wa msichana utagusana na shahawa?

Kama mpenzi wako hatakuwa na maambukizi ya magonjwa ya zinaa hakuna madhara ya kiafya. kama shahawa i itagusana na mdomo wa msichana. Lakini, wasichana wengi hawapendi kupokea shahawa mdomoni na wanasikia kukerwa kufanya hivyo.Wapenzi wajadiliane kati yao na k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kulambana sehemu za siri ni salama kiafya? Je, tendo hili ni la kawaida?

Si rahisi kusema ni kitendo kipi kilicho cha kawaida na kisicho cha kawaida. Kulamba ni jambo linalofanyika na kama wahusika wote wanalipenda ni sawa. Inashauriwa kuosha sehemu za siri kabla ya kufanya hivyo. Kwa kufanya hivyo, yaani kunawa kunafanya tendo hil…

Open printable article β†’
πŸ“„

Nifanye nini ili kuepuka kubakwa na mpenzi/ rafiki?

Kuna baadhi ya vidokezo ambavyo vinaweza kukusaidia: 1. Usikae faragha na mwenzi wako kabla hujawa tayari na kumwamini. Ongozana na marafiki wengine hasa mwanzoni mwa urafiki wenu. Msitoke tu nyie wawili hadi hapo utakapojisikia kuwa umemjua kiasi cha kumwelew…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kufahamu tabia ya rafiki yako wa kike/kiume kabla ya kuoana hata kama anaishi mbali

Unaweza kufanya uchunguzi wa kutosha kuhusu tabia, muono na imani ya rafiki yako hata kama mnaishi mbalimbali. Unaweza kumuuliza maswali kuhusu mahali anapoishi na familia yake kwa ujumla. Jaribu kufanya mawasiliano ya karibu zaidi ili uweze kumdadisi, na yeye…

Open printable article β†’
πŸ“„

Nikitafuta rafiki kwa nia ya kuoana (mchumba), je ni sifa gani niangalie kwa msichana/mvulana?

Kuchagua mchumba ni moja ya maamuzi ambayo kijana anahitaji kuyafanya kwa uangalifu mkubwa sana. Kwa sababu huyo ndiye atakayekuwa mwenzi wake wa maisha. Katika kuchagua mchumba kila mtu ana mawazo yake kuhusiana na kilicho muhimu kuzingatiwa. Mara nyingi mhem…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kufanya wazazi wamkubali mchumba

Uhusiano mzuri na wazazi ni muhimu sana siyo katika masuala ya uchaguzi wa mchumba tu, bali katika masuala yote ya msingi maishani. Kwa hiyo, hatua ya kwanza ni kujaribu kuelewana nao. Mara nyingi vijana hufikiri wazazi hawaelewi maisha ya vijana wa kisasa. Ma…

Open printable article β†’