PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Madhara yanayotokea kwa unyanyasaji wa jinsia kwa mtu

Unyanyasaji wa ujinsia una matatizo mabaya ya kimwili nayanayochukua muda mrefu kwa mwathiriwa kupona. Unyanyasajiwa jinsia mara nyingi humuumiza mwathiriwa, matendo yaubakaji, majaribio ya ubakaji, unyanyasaji wa kijinsia kwa mtoto,na ukeketaji kwa wanawake yanamhusu moja kwa moja mwiliwa mwathiriw…

Open printable article β†’
πŸ“„

Uwezekano kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata mimba

Inawezekana kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupatamimba. Uwezekano wa kupata mimba ni sawa kama vile amekubalimwenyewe au kulazimishwa. Iwapo mwathiriwa atamwonamhudumu wa afya mara baada ya kubakwa anaweza kupatadawa za dharura za vidonge vya kuzuia mimba na uwezekanowa kupata matibabu ya kuzui…

Open printable article β†’
πŸ“„

Haki zinazokiukwa iwapo mvulana au msichana wamelazimishwa kuoa au kuolewa

Nani na lini unaoa ni maamuzi yako binafsi wewe mwenyewe,hata kama rafiki na wazazi wanakushauri juu ya jambo hilo.Kumlazimisha mtoto kuoa au kuolewa ni kumchukulia mtu uhuruwa anavyopenda kuishi. Haki ya kuchagua kuoa, ama kuolewaau kuanzisha familia yako huwa imegeukwa. Haki hii ni sehemuya makuba…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mwanamume au mvulana anaweza kubakwa?

Ndiyo, mtu yoyote anayelazimishwakujamiina atakuwaamebakwa, haijalishi kamamtu huyu ni mwanamke/msichana, mwanaume aumvulana.Wavulana na wanaumewanaweza kubakwa nawanaume wenzao au wanawezakulazimishwa na mwanamkekujihusisha na tendo lakujamiiana. Wanaume wanawezakulazimisha wavulanakujamiiana kwa n…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kujikinga na ubakaji

Hata kama utafanya kila kitu usibakwe bado inaweza ikatokea. Ubakaji na unyanyasaji wa ujinsia unaweza kutokea kwa kila mtu. Hata hivyo kuna baadhi ya vitu ambavyo vinaweza kupunguza hatari ya kubakwa. Jizuie usiwe peke yako kwenye giza, kutembea peke yako katika misitu au sehemu ambazo zina watu wa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Sheria zinazohusiana na ndoa za kulazimishwa

Sheria ya msingi ya ndoa nchini Tanzania ni Sheria ya ndoa yaBunge, iliyopitishwa mwaka 1971. Sheria hii inakataza ndoa zakulazimisha. Inatambua ndoa kama ni muungano kati ya mumena mke ambao kwa hiari yao wameamua kuishi kama mume namke. Sheria hiyo inasema kwamba iwapo ndoa haikuwa ya hiari,basi h…

Open printable article β†’
πŸ“„

Watu wafanye nini iwapo wamelazimishwa kufunga ndoa na mtu wasiyemtaka?

Iwapo mtu amelazimishwakuingia katika hali ya ndoa(kuoa/kuolewa) na msichana/mvulana ambaye hampendi,hatua ya kwanza ni kukataandoa hiyo na kuonyesha waziwazi. Jadiliana suala hili nawazazi wako. Waeleze kwaheshima kwa nini hukubalianina ndoa hiyo.Kwa kawaida wazazi wanape-nda mambo mema kwa watoto …

Open printable article β†’
πŸ“„

Ukeketaji ni nini?

Katika baadhi za jamii viungo vya uzazi vya nje vya msichana,yaani kisimi au sehemu ya ndani na nje ya mashavu ya ukeyanakatwa na kuondolewa kabisa. Huu ndiyo ukeketaji aukutahiriwa kwa mwanamke.Wakati mwingine uekeketaji hufanyika katika umri wa miezi yamwanzo ya maisha ya mtoto wa kike. Mara kwa m…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ushauri kwa mtu aliyebakwa

Jambo la kwanza jaribu kumwondoa hofu mwathiriwa namuliwaze maana amepata jambo la kutisha. Na iwapo mtuamejeruhiwa sana mpeleke katika kituo cha huduma za afyakilicho karibu mara moja. Vinginevyo ongozana na rafikiyako kwenda kituo cha Polisi na kutoa taarifa kuhusu jambolililotokea. Polisi watampa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ndoa ya kulazimishwa

Ndoa ya kulazimishwa ni ile ambayo mwanamume au mwanamkeanaozwa bila yeye mwenyewe kukubali kufunga ndoa kwahiari yake. Katika mazingira hayo wasichana au wavulanawanalazimishwa kufunga ndoa. Wakati mwingine wazazi wanafikiriwanajua nini kizuri kwa watoto waona hivyo kuwachagulia mumeau mke.Mara nyi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Sababu za ukeketaji

Hakuna hata mmoja anayejua hasa kwa nini, na lini desturiimeanza. Jamii inatoa maelezo tofauti kwa nini wasichanawanatakiwa watahiriwe. Sababu zifuatazo zimetolewa kufanyadesturi hii: mila na utamaduni, dini, usafi, kulinda ubikira, kukaabila kuzini.Kila mara sababu zinazotolewa za kuondoa au kukata…

Open printable article β†’
πŸ“„

Madhara yatokanayo na ukeketaji

Ukeketaji au tohara ya wanawake ni hatari sana kwa msichana anayetahiriwa. Wasichana hufa kutokana na madhara yake makubwa zaidi kwa vile: Hutokwa na damu nyingi. Uambukizo unatokea iwapo vifaa vilivyotumiwa havikuwa safi. Uambukizo unaweza kuenea mpaka katika viungo vya ndani vya uzazi na kusababis…

Open printable article β†’
πŸ“„

Sheria gani zimetungwa kuhusu ukeketaji?

Serikali zote na mashirika ya kimataifa wameweka mdhamanana kukubali kulinda haki za binadamu. Tanzania imetia saini yamapatano na mikataba ya kimataifa inayohakikisha kuwa kilamtu ana haki kwa afya na haki ya kuwa huru kutokunyanyaswakwa mfano katika Azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu Haki zaBinadam…

Open printable article β†’
πŸ“„

Msaada juu ya ukeketaji

Unaweza ukajaribu kuzungumza na wazazi wako kwambaukeketaji ni desturi mbaya, na pia unaweza ukamtafuta mtuwa kukusaidia ambaye ni mwaminifu. Msaidizi anaweza akawarafiki, mlezi, mzazi au mtu mzima katika familia ambayeunaweza kumwamini. Katika jamii yako unaweza kumtafutamwalimu anayeaminika, kiong…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kutahiriwa kwa wanaume ni sawa na ukeketaji?

Hapana. Ukeketaji na kutahiriwa kwa mwanaume havifanani.Kama kutahiriwa kwa mwanamume ni sawa na ukeketaji basiingebidi uume wote ukatwe kabisa. Katika kumtahiri mwanamumeni ile ngozi ya govi ya uume ndiyo inaondolewa. Wakati kutahiriwakwa wanaume siyo lazima na pia kuna watu wengine wanapinga,hauna…

Open printable article β†’