πJe, kuna madhara gani yatokanayo na uvutaji sigara kwa vijana hasa kijana Albino?
Kuna madhara mengi ambayo hutokana na uvutaji sigara.Madhara mengi yanampata mvutaji kwani moshi unaingiakwenye mapafu na kuendelea kuleta madhara mengine sehemunyingine za mwili.Unaweza pia kupata madhara kwa kukaa karibu na mtuanayevuta (hii inaitwa mvutaji β¦
Open printable article βπHaki za uzazi ni zipi?
Haki za binadamu ni haki zinazohusiana na mambo ya msingi na asili ya uhuru na heshima ya ubinadamu ambapo watu wote wamepewa haki ya kupata heshima kama binadamu. Mara mtu azaliwapo mume au mke hupata haki hizi. Haki hizi zinatambuliwa kimataifa na zina usawaβ¦
Open printable article βπNi umri gani ambapo vijana wanapaswa kuelezwa juu ya afya ya uzazi na njia za uzazi wa mpango?
Vijana balehe wote wana haki ya kupata habari juu ya mambo yotewanayoyapenda. Watoto wanavyokuwa, wanapitia mabadiliko yakimwili, hisia na ya kisaikolojia katika maisha yao. Watu wazima,hasa wale wanaowasimamia watoto wanapaswa kuwapa habarijuu ya mabadiliko nβ¦
Open printable article βπNi katika umri gani vijana wana haki ya kujihusisha na mambo ya kujamiiana?
Kujamiiana ni uamuzi wa mtu binafsi. Ni uamuzi wako na hakunamtu yeyote mwenye haki ya kukuamulia. Lakini unapoamuakujamiiana hakikisha kwamba ni maamuzi uliojulishwa na kwambaunaelewa matokeo ya kujamiiana. Usisahau kuchukua hadharimuhimu. kumbuka kutumia konβ¦
Open printable article βπNi katika umri gani vijana wana haki ya kutumia huduma za afya ya uzazi na njia za uzazi wa mpango?
Hakuna kiwango cha umri kwa kutumia huduma za afya ya uzazina njia za uzazi wa mpango. Unatakiwa kuanza kutumia hudumaza afya ya uzazi pale unapoona unazihitaji. Na hasa iwapoumeamua kujamiiana, unatakiwa uende kwanza kwenye hudumaza afya ya uzazi, na kupata uβ¦
Open printable article βπMtoa huduma wa afya anaweza kukataa kutibu?
Siyo haki kwa mtoa huduma wa afya kukataa kumtibu.Kama kijana, una haki sawa ya kutibiwa kama vile mtu yoyote.Iwapo mtoa huduma anakataa kukutibu wewe, jaribu kuzungumzanaye kuhusu jambo hilo na umuulize sababu za kukataa kukutibu.Iwapo yeye anashikilia uamuziβ¦
Open printable article βπSheria kuhusu utoaji mimba
Sheria kuhusu utoajimimba zinatofautianakati ya nchi na nchi. HapaTanzania utoaji mimbani kosa la jinai.5 Kosa lajinai linamchukulia mtuhatua aliyetoa mimba nayule aliyemtoa aukumsaidia kutoa mimba.Hata hivyo hapa Tanzaniaunaruhusiwa kutoa mimbapale tu inapokwβ¦
Open printable article βπSheria kuhusu kufanya punyeto
Punyeto ni kupapasa au kusugua kiungo cha uzazi ili uweze kupatastarehe. Hakuna kosa kwa tendo hilo, kwa sababu hakuna tatizololote kwa mvulana au msichana. Kwa kawaida watu hufanya hivyokwa siri, baadhi ya mila na desturi wanapinga kufanyika kwatendo hili hatβ¦
Open printable article βπUnyanyasaji wa kijinsia
Kuna aina nyingi za unyanyasaji wa jinsia na unaweza kutokea kwa wote wanaume na wanawake. Kwa kawaida unajulikana kama matumizi ya makusudi ya kutumia nguvu na uwezo na kutishia au kwa hali halisi kinyume cha mtu au kikundi au jamii ambapo matokeo yake yanaweβ¦
Open printable article βπUtoaji wa zawadi kwa kubadilishana na kujamiiana
Kutoa zawadi kwa mtu kwa kubadilishana ili kujamiianani unyanyasaji mbaya. Iwapo mpokeaji wa zawadi hajakubalikujamiiana na unamlazimisha, mwanamume au mwanamkekujamiiana hapo hiyo ni unyanyasaji na unamwonea kwa sababujambo hilo la kujamiiana lilikuwa halikubβ¦
Open printable article βπIwapo mtu mzima amejamiiana na mtoto na wote wawili wamekubaliana
Ni kweli hiyo ni dhuluma na inaitwa unyanyasaji wa kijinsia kwamtoto. Watoto wanaweza kushawishiwa kwa kutumia hila kwamtu mzima anayejaribu kuwavuta ili waweze kujamiiana naye. Nazaidi wanaweza wasielewe matatizo au madhara watakayopatakutokana na kujamiiana β¦
Open printable article βπUtumiaji nguvu katika mahusiano ya ujinsia kama sehemu ya utamaduni
Utumiaji wa nguvukatika mahusiano yaujinsia unavunja hakiza uzazi na haki zabinadamu. Uhusianowa ujinsia ni muhimuuwe katika misingi yamaelewano, kuheshimiana,na Huwezi kunikataamapenzi kwakila mmoja wenu.Katika baadhi yatamaduni , mwanamumendiye mwenye mamlakβ¦
Open printable article βπUbakaji ni nini?
Ubakaji ni tendo la kutumia nguvu katika ngono ambapo mbakaji anatumia nguvu kuonyesha ubabe wake. Ubakaji ni kosa la jinai i na huadhibiwa kisheria.Kama mtu hayuko tayari kufanya ngono na analazimishwa kukubali kufanya hivyo hii , i inahesabiwa kama ubakaji, β¦
Open printable article βπSabau za ubakaji
Ni vigumu kuelewa nini kinamfanya mtu aweze kubaka mwingine.Ubakaji ni aina nyingine ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsiaambao utaleta madhara mengi kwa muhusika kwa hiyo hakunamsamaha kwa ubakaji.Ubakaji mara zote ni kosa la mbakaji. Hakuna maelezomazuri ya β¦
Open printable article βπUhusiano wa ubakaji na uvaaji wa nguo fupi?
Ubakaji kamwe siyo kosa linalomhusu yeye aliyebakwa; ni kosalinalomuhusu yeye aliyebaka. Unachovaa hakimpi mtu yoyotehaki ya kukubaka wewe. Wengi wanaobakwa huwa mara nyingihawakuvaa nguo fupi wakati wanabakwa. Ni maamuzi yako niniuvae, ingawaje kama nguo unazβ¦
Open printable article β