PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Hii ndio ngoma droo kwa wanaume kati ya wanawake

{ NGOMA DROO}Sikuizi utawasikia wadada wakisema kuachwa na mwanaume asie na pesa nisawa na kuluhusiwa hospital{Sasa na sisi} wanaume tunasemaKuachwa na demu mpenda pesa nisawa na kumaliza mkopo benk πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wanaume atutakagi ujinga!!!! Wanaume heeeeeeπŸƒπŸΎβ€β™‚πŸƒπŸΎβ€β™‚πŸƒπŸΎβ€β€¦

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi Mapenzi yanavyoweza kukupa stress

Mapenzi ni balaaMapenzi ujue yanawez kukupa stress adi mama ako akikuuliz what's wrongπŸ€”-β€”unawez kumjib MAMA WE BADO MDOGO UWEZ ELEW🀣🀣🀣

Open printable article β†’
πŸ“„

Duh! Tamaa mbaya, cheki kilichompata Huyu

HAHAHAHAHAAAAAA DUH TAMAA MBAYAMuokota makopo katika uokotaji wake wa makopo akaona chupa ambayo ndani kuna ki2, alipoifungua likatoka jitu la ajabu. Huku akitetemeka lile jitu likamwambia kijana asante sana kwa kuniokoa omba vi2 viwili sasa hivi. Kijana kwa h…

Open printable article β†’
πŸ“„

Walevi wana Mambo! Angalia wanachokisema

WALEVI WAWILI KATIKA MAZUNGUMZO YAOMLEVI 1 hivi rafiki yangu china ni mbali kweliMLEVI 2 sidhani mbona pale kazin kuna mchina anakuja na baiskeliπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Open printable article β†’
πŸ“„

Tabia za Kimama kwa wanaume

1, mwanaume kuoga haraka haraka ili uwahi kuangalia igizo, huo ni UMAMA..πŸ˜‚2, mwanaume kupiga picha umeng'ata Lips na Unapiga na Camera Beauty Plus huo ni UMAMA..πŸ˜‚3, Mwanaume kuangalia tamthilia na Jamai Raja na Maigizo kwenye chanel ya sinema zetu wakati mechi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Utani kwa wadada wembamba

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wadada wembamba hebu nenepeni basi mnatupa tabu kusoma maneno ya kwenye kanga jamanii ………mnaviringisha kanga mwili mara 3 mpaka maandishii hayaonekanii🀣🀣🀣🀣

Open printable article β†’
πŸ“„

Eti ni kweli hii ni sababu wanaume wana Upendo Sana?

Wanaume wana upendo kwa kweli.Mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 90 achague mmoja!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma kuwaacha wale 89 waliobaki!!*Kwa namna hii wanaume wana Upendo SanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Huu ndio uchawi unaweza kufanyika siku mpenzi wako akikutambulisha kwao

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚*UCHAWI* ni nini?`Uchawi ni pale mpenzi wako anapokupeleka kwao kufika tyu ghafla unakutana na dada yake getini ambaye alikuwa ni mpenzi wako wa zamani, ile kuingia ndani unamuona kaka yake ambaye mlipigana baada ya kukufumania na mke wake, hujakaa vizuri…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ulishawahi kukutana na hii? Maana yake ni nini?

Ulishawahi kutana na hii….Issa: mamboJeni:poa vpIssa:poa nambie:Jeni:poa aje ww:Issa:poa nambieJeni:poaIssa :bas poaJeni:poa….Issa:poa badee basiJeni:hayaIssa:baiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚β€¦β€¦..HII KIITALIANO INAITWA LACK OF SOUND ENGINEERING NA HII INASABABISHWA NA UOGA……

Open printable article β†’
πŸ“„

Majibu ya mkato ya kuchekesha Kutoka Kenya

Njeri: Roysambu ni ngapi?Makanga: Roysambu ni moja tu. Pengine kama Chinese wamejenga ingine.Odhis: Hii gari haina watu bana.Makanga: Kwani hao wawili wenye wamekaa hapo ndani ni ng’ombe?Man: Wekeni nyimbo za Yesu tafadhali.Makanga: Yesu bado hajatoa album. Ak…

Open printable article β†’
πŸ“„

Swali la kizushi kwa wadada wanaovaa mawigi

Hivi wadada mnaovaa mawigi.πŸ‘‰πŸ½ Utajisikiaje siku Boyfriend wako anaingia chumbani halafu anatundika NDEVU kwenye henga🀣

Open printable article β†’
πŸ“„

Kifahamu Kidada kimbea kilichofukuzwa kazi

Unafahamu?Kile kidada kimbea kinachosemaga salio lako halitoshi kimefukuzwa kazi saivi kupiga simu ni bure mjulishe na mwenzakoπŸ“² πŸ“²

Open printable article β†’
πŸ“„

Hii bahati mbaya hii haifai kusema Samahani

(KIFO NI NIN)KIFO ni pale unapokosea text na kumtumiaBABA yako kipindi mnakula"hello Mrembo"😁😁Kama utazubutu kusema Samahani 😁

Open printable article β†’
πŸ“„

Kama mpezi wako akikuita MAMITO Unatakiwa umjibu hivi

Akina dada mpenzi wako akikuita MAMITO usikubalina yeye mwite MAFORONYA kama mbwai na iwe mbwaiπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ

Open printable article β†’
πŸ“„

Wakati wa makuzi/ kubalehe/ kuvunja ungo, ni mabadiliko gani yanatokea kwenye miili ya wasichana?

Balehe ni kipindi cha mpito kati ya utoto na utu uzima, ambapo watoto wa kike na wa kiume wanapitia mabadiliko mbalimbali ya kimwili, kiakili, na kihisia. Kwa wasichana, mabadiliko haya yanaweza kujumuisha yafuatayo: Ukuaji wa Viungo vya Uzazi: Ovari zinaanza …

Open printable article β†’