PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Mshahara usiobadilika

PAMOJA NA HALI NGUMU YA UCHUMI NCHINI HUWEZI AMINI MSHAHARA WA DHAMBI HAUJABADILIKA HATA KIDOGO…BADO NI MAUTI VILEVILE😊😊😊😊

Open printable article β†’
πŸ“„

Duh, Ukisikia ngoma droo ndio hii

Ni noma!Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji:- "Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako" Mume akamjibu:- "Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila siku kwamba nazini na binti yangu" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

Open printable article β†’
πŸ“„

Mzunguko wa elimu kiafrikaafrika

01.πŸ‘‰ Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school.02.πŸ‘‰ Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.03.πŸ‘‰ Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia Siasa na kuwaongo…

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki huyu mwanamke anavyomkomoa mme wake baada ya kumsaliti

MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike?MUME: Yaa kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladalaMKE: Na lipstiki kwenye shati?MUME: Tulikumbatiana na wageni toka Zambia walitembelea ofisi yetuMKE: Na ile kondom iliyotumika kwenye mfuko wa suruali?MUME: Bwana…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mbele ya hela binti usharobaro achia mbali

Boy:- hallowDem:- hellowBoy:- ivi jina lako nani vileDem:- am miss precious A. K. A dope girlBoy:-Okay, nmekutumia 50,000 nimeona Jina tofauti ngoja nipige customer careDem:-no no baby usipige Ah ah Hapana baby mi naitwa Andongolile Mwakasakafyuka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Tofauti kati ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo mwanamme anapotoka kuoga

Tofauti ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga.Binti wa Kizungu: Baby you look nice and fresh. Binti wa Kibongo: Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Open printable article β†’
πŸ“„

Staili nyingine za michepuko ni shida

Mtu na mkewe walikuwa bado wamelala asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda kufungua mlango, si akakuta mchepuko wake,MKE: Unataka nini we mpumbavu?MUME: Nani huyo unamtukana?MKE: Kuna mtu hapa anakichwa kama nenda urudi badaeMCHEPUKO:Nawewe pua kama poaMKE:Migu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia nilivyomkomoa huyu dogo

Kuna mtoto wa jirani ananibore sana kila nkimtuma kitu dukani lazima aonje, Jana nlimtuma sukari akala yote.. Sahii nmemtuma superglue haongei Sipendi ujinga mimi 😑😑😑😑😑😑

Open printable article β†’
πŸ“„

Tenda Wema Uende Zako

Nimekuta panya ana struggle kuingia chini ya mlango wa jirani yangu…Nikagonga mlango Jirani kafungua panya akapenya mi nkaenda zangu…..Tenda Wema Uende Zako!!! Sipendi Ujinga mimi kwanini panya wa watu apate shida

Open printable article β†’
πŸ“„

Pale umapofanya interview huku ukijua hutapata kazi

Pale unaitwa kufanya interview na unajua tuu hutapata kazi tuu…..Interviewer: where were u born?Guy: Tanzania Interviewer: okay which part?Guy: what do u mean which part, the whole body was born in Tanzania..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Cpendagi ujinga mim

Open printable article β†’
πŸ“„

Misemo 17 ya kuchekesha

1) gari la kuvutwa halina overtake2) kisigino hakikakai mbele3) wimbo wa taifa haupgwi disko4) feni haiwashwi beach5) mshkaki hauchomwi kwa jiko la ges6) mganga haagiz tembele7) hata bibi alikuwa bint8) mke wa mtu sumu,mume wamtu maziwa9) kipara bila pesa ni k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Lugha za namba ni noma

Leo kuna mdogo wangu nimemtumia meseji nimemuomba aniazime chaja yake ya simu. Akanijibu 21002 Nikawa mkali nikamuambia kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu mpya. Akaniambia nimesema TUMIA TU πŸ˜‚πŸ˜‚mtatuua na lugha zenu😜

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu mgeni wa huyu jamaa ni shida

Pale unapokuwa umefulia sana…Mgeni anakutembelea Maskani kwako….Unaamua Kuchukua Ile Sh 600 iliyobaki na kwenda Dukani Kumnunulia Soda Unaondoka na Chupa Mbili Unanunua Fanta Moja kwaajil ya Mgeni na Ile Chupa ya Sprite Unaijaza Maji ili Ukirudi Uweze kumpa Ka…

Open printable article β†’
πŸ“„

Duh, hii sasa kazi

Wakati unafikiria dingi yako afe ili urithi nyumba, dingi nae anafikiria uanze kufa ili apangishe chumba unacholala.. hiyo inaitwa kufa kufaana.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ #Hatutaki ujinga

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki tabia za kuandika vimaneno vya ajabuajabu kwenye pikipiki na bodaboda ilivyomponza huyu

Jamaa mmoja dereva wa bajaji alianguka, sasa bajaji ikawa imem'bana akawa anafurukuta bila mafanikio Cha ajabu watu wakawa wanampita bila kumsaidia, Kumbe Nyuma ya Bajaji yake alikua Kaandika "NIACHENI KAMA NILIVYO, HII NDIO STYLE YANGU" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mpaka sasa nimemwa…

Open printable article β†’