πKizungu nacho ni sheeeedeer
Mtalii: Do you have vegetables here.Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa.Waiter: Vijimeza vidogo hatuna.Mtafsiri: No sir, they don't have.Mtalii: OK, fine, do you have hot dogs.Mtafsiri: Sawa, je mnao mbwa wa moto.Waiter: Loh! Bwana we, hatupiki mbwa hapa.Mtafsiri: β¦
Open printable article βπMchaga mmoja kamtoa mke wake out mambo yakawa hivi
*Mchaga mmoja kamtoa mke wake out.**mchaga* : _chips yai bei gani?_*mhudumu*: _elfu 2_*mchaga* : _zina kachumbari?_*mhudumu*: _ndio!_*mchaga*: _kachumbari mnauzaje?_*mhudumu*: _kachumbari ni bure._*mchaga*: _ok basi naomba kachumbari sahani mbili, chips ziacheβ¦
Open printable article βπHuyu mlinzi bwana
High school Flashback!!.Watchman : Amkeni muende morning preps.Allan : Mimi ni mgonjwa.Watchman : Unaumwa na nini hiyo?Allan : Bionomial Nomenclature.Watchman : Eeh, lala tu kijana. Hiyo kitu nimbaya. Imeuwa watu South Africa.ππππππππππ#_Sipendagii ujinga kabiβ¦
Open printable article βπAngalia huyu mgonjwa
Mngojwa: daktari Nina tatizo la kusahausahau kila dakika.Daktari: hilo tatizo lilianza lini?Mngojwa:tatizo lipi?πππππππ
Open printable article βπAngalia nilichomfanyia huyu mwizi
Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwanguakaanza kutafuta kitu kila kona ikabidna mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta naemaana hta hela ya kula Jana sikuanayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu?*sβ¦
Open printable article βπCheki huyu jamaa alivyoumbuka kwenye harusi
Jamaa mmoja alialikwa ktk harusi. Akafika mlango Wa 1 umeandikwa kulia ni ndugu Wa maharusi, kushoto ni wageni waalikwa, akaenda kushoto maana yy alialikwa. Akakuta mlango wa2 umeandikwa kulia wenye zawadi kushoto wasionazawadi yy hakuwa na zawadi. Mlango Wa 3β¦
Open printable article βπNilichokifanya leo
Leo nmemlipa konda nauli, akasahau kunishusha kituoni. Na mimi nkakaa KIMYAAA kumkomoaβ¦..*nataka ujinga kwan mimiπππ*Sahv narudi zangu kwa mguuπ©
Open printable article βπUjinga wa ndoto ndio huu
πUjinga wa ndoto ndiyo huuβ’β’Utaota umeokota dolla ukiamka emptyβ¦β’β’Utaota umeokota dhahabu ukiamka kitandani patupu daadeeki OTA Sasa UMEKOJOAβ¦..ππππππ
Open printable article βπUpendo wa kweli ni nini?
*Upendo wa kweli ni nini?**πUpendo wa kweli ni pale mwanaume anapomfumania mwanamke wake na kisha kumwambia baby vaa nguo twende nyumbani**Kifo ni nini?**πKifo ni pale mwanamke anapokubali kwenda nyumbani na mwanaume yule.*ππππππππππππ
Open printable article βπAngalia huyu ticha wa Hesabu alichofanyiwa
Looku Looku* ππ*Ama Kweli Mkuki Kwa Nguruwe kwa Binadamu Mchungu Skia Hiiβ¦.!!**Ishawahi kutokea Pale nilipokutana njiani na mwalimu aliyekufundisha MATHS secondary afu akaniambia nimuelekeze njia ya kwenda sehemu fulani.**_Nenda mbele kama 2KM hivi kisha kata β¦
Open printable article βπHuyu ndo mwanamke
Akikuta PESA wakati anafua atapiga kimya kimya, sasa ngoja akute umeacha CONDOM ndo utajua kama umeoa KIPAZA SAUTI ππππππNdio maana mimi nafungaga condom na hela kwa pamojaβ¦ akivikuta anachukua hela na kuishia kusonya tu.. πππππππHuwa sipendagi ujinga Mimiπ‘π‘π‘π‘β¦
Open printable article βπMzee wa kichaga na hela zake. Angalia anachofanya
Mzee moja alikuwa kila usiku anapita mbele ya bank anasimama,kisha anapiga honi,akitoka askari mlinzi,anaondoka.Hilo jambo likamkera sana askari mlinzi, askari akawa na mvizia yule mzee wa kichaga ,siku alipokuja tena akamkamata, akamuuliza kwa nini unakuja unβ¦
Open printable article βπHizi swaga za huyu jamaa ni shida, Google!
Jamaa alikuwa kwenye daladala pembeni kunadada mrembo kakaa. Kamlia timing kwa mudakisha halafu akamuuliza "Samahani dadaunaitwa Google?".Dada: "hapana, kwanini umedhani naitwahivyo?". Jamaa: "Una kila kitu nnachokitafuta"π
πππππππππ
Open printable article βπAngalia kilichompata huyu mwanafunzi kilaza anayejiamini
Teacher: Who is a pharmacist?Shemdoe raised up his hand.Teacher: So itβs only Shemdoe that can tell who a pharmacist is in this class? So there is no body else to answer the question except Shemdoe? (There was no reply from the students)Teacher: Ok now Shemdoeβ¦
Open printable article βπHuyu mwanafunzi kweli kiboko
Ticha: Wa kwanza kujibu swali langu ataenda Home mapema..John kusikia hivyo....Karusha begi la daftari nje.....` `Ticha akauliza: Nani karusha begi nje!?!`* `John: Mimi..... Kwa herii Mwalimu......` ππ,ππ
Open printable article β