πAngalia anachojibu huyu babu. Wazee wengine bwana
Babu: Mjukuu wangu ngoja nikusimulie hadithi ya mimi babu yako kwenye vita ya kageraMjukuu: Niambie babuBabu: Kwenye vita ya kagera tulienda sehemu tukakamatwa wote askari na maadui wakatuambia chagueni kuuliwa au kubakwa.Mjukuu: Sasa babu wewe ulichagua nn?Baβ¦
Open printable article βπHuyu mme ni shida
MKE..mume wangu unaweza kuua simba kwasababu yangu???MME: Hapana mke wangu, sema kingineMKE:unaweza kunipa nione watsapp yako nione msgs?MME: Haya sema huyo simba yukwap nikamuue
Open printable article βπCheka na methali
1.Simba mwendapole =Huyo ni Sharobaro2.Asiyefunzwa na Mamae= Ujue Mama hajapitia Ualimu3.Zimwi likujualo= Lilikuona Sehemu.4.Chelewa Chelewa= Ukizikusanya utapata Ufagio.5.Hakuna Masika= Wakati wa Kiangazi.6.Mpanda Ngazi= Asiwe Mwoga kuanguka7.Dua la kuku=Bismβ¦
Open printable article βπMadhara ya kubeba nauli kamili tuu. Cheki kilichonipata
Kubeba nauli kamili nayo ni shidaYani nimepanda daladalaKondakta mmoja akaingia kwenye Gari amevaa suti za blue za daladala na miwani Kisha akakusanya pesa Gari Zima alafu akakaa siti ya nyuma baade Kondakta mwingine akaanza kukusanya pesa watu wakalalamika naβ¦
Open printable article βπWadada lenu hili. Mimi sipo
Wadada kama una sura mbaya subiri NEEMA YA BWANA..Sio kutuambia mna uzuri wa Ndani usioonekana..Sisi ni Wanaume,Sio MINYOOππππ
Open printable article βπHaya ndiyo madhara ya kulala kanisani
Tukiwa kanisani mdada alikuwa amelala , akaamka akasikia Pastor anasema" SIMAMA"Yule dada akasimama akashangaaa kanisa zima linamtizima kwa mshangao akiwemo mumewe, akaangalia kanisa zima akashtuka kujiona yeye peke yake ndiye aliesimamaPastor akaendelea vizurβ¦
Open printable article βπWanawake wa leo mbele ya hela. Hii ni hatari
MDADA: Baby nikwambie kituMKAKA: Yeah Baby Uko huru nambieMDADA: nilikua naomba hela babyβΊMKAKA: WW nae kwa kupenda hela jana tu nmekupa hela Leo unaomba ya nn πMDADA: hapanaπ Bby sio hivyo nlikua nataka nikashuhudie tetemeko la ardhi BUKOBA nasikia huko linaoβ¦
Open printable article βπMapenzi Stress tupu
Stress TupuUnapokea Sms kwa mpenzi wako anakuambia"Kuanzia Leo Mimi Na wewe Basi! ????"Unashtuka ??β¦. Una muuliza kulikoni? ????Anakujibu: "Sorry Sio Sms yako?"Hapo Ndo utajua Kwanini Hakuna Mmasai Albino??????
Open printable article βπAcha usumbufuβ¦
UNAMNG'ANG'ANIZA MPENZI WAKO AKUWEKE KWNY PROFILE PICHA MLOPIGA PAMOJAHIVI ULIDHANI MWL.NYERERE ALISHINDWA KUKAA NA MKEWE MARIA KWNY NOTI YA BUKUπππππππAcha Usumbufuβ¦..
Open printable article βπMAMBO KUMI YA KUFURAHISHA NA HUWEZI KUYAFANYA
1. Huwezi kuosha Macho kwa Sabuni;2. Huwezi kuhesabu Nywele zako;3. Huwezi kupumua kwa Pua na huku umetoa Ulimi;4. Unajaribu kufanya namba 36. Umeona inawezekana, sanasana unakuwa Kama Jibwa;7. Unatabasamu kwa kuwa umejiona Mjinga!8. Umeruka namba 5;9. Unahakiβ¦
Open printable article βπGari na mke nini muhimu?
GARI YA MILIONI 50UNALAZA NJEβ¦mke wa laki sitaunalala nae ndaniβ¦.BANGI SI NZURI JAMANππππππππ
Open printable article βπWatu wana vimaneno
Eti linalo jamba ni tumbo makalio ni spika tuDah!!Nimecheka hadi basi leoπΈπΈπΉπΉ
Open printable article βπAngalia huyu mwalimu alichomfamya huyu mwanafunzi
*Hadith ya Shemdoe na Mwalimu wa English:**Teacher:* `Who is a pharmacist?`*Shemdoe:* ππΏ _(raised up his hand.)_*Teacher:* `So itβs only Shemdoe that can tell who a pharmacist is in this class? Thus, no body else to answer the question except Shemdoe?`_(There β¦
Open printable article βπIngekua wewe ndio baba au mama ungefanjaje?
Baba na mama baada ya kurudi safari pamoja wakakuta BARUA iko mezani SEBULENI ikisemaβ¦. "Baba na mama, ni matumaini yangu kuwa mtasoma ujumbe wangu huu kwenye karatasi niliyoiwekajuu ya meza, naomba msishtuke mana ni mambo ya kawaida kwenye maisha tunayoishi, β¦
Open printable article βπMadenge hakosi visa. Soma hii
MADENGEHAKOSIVISAbaada ya kumaliza form four baba akamwambia achague zawadi yoyote aipendayoMADENGE: naomba pesa nikamuoe bibi maana siku nyingi amekuwa akiniita mchumba wake.BABA: Shenzi, yule ni mama yangu mzazi huwezi kumuoa.MADENGE: Mbona wewe umemuoa mamaβ¦
Open printable article β