πCheka kidogo hapa. Huyu Chizi Kachizika Kweli
Mvaa milegezo alizidiwa na pombe akaenda kulala dampo,Chizi mwingne naye akaenda hukohuko, alipofika dampo akakuta mlevi kalala matako wazi,chizi akaanza kuyashikashika huku akisema, kweli duniani kuna watu matajiri, haya matako si mazima kabisa wao wameyatupaβ¦
Open printable article βπHapa itakuaje?
NAJISIKIA NIMEBOEKAβ¦SIJUI NIENDE KAMBI YOYOTE YA JESHI NITEREMSHE BENDERAALAFU NITOKE MBIOβ¦..πππππππΎππΎππΎππΎππΎππΎ
Open printable article βπDuh! Hiki nacho chombo cha moto?
_Sheria inasema kila anaetembea na chombo cha moto barabarani sharti awe na leseni.__Sasa hawa wauza kahawa mbona wanatembea na chombo cha moto lakini hawakamatwi π‘.__Hizi sheria zinapendelea._πππππππππππ
Open printable article βπHuyu mke ni shida!
MUME: "Unajua mi unanishangaza sana, kila siku nakusikia mara useme TV yangu, gari yangu, chumbani kwangu, mara hoo watoto wangu. Sisi ni mke na mume, kila kitu ni chetu. Jirekebishe bwana".π΄πππMKE: Yuko kimya anaendelea na shughuli zake za kupekua kabatini kaβ¦
Open printable article βπBalaa la mitoto isiyopenda shule
SINA MBAVU NA HIKI KISA;BALAA LA MITOTO ISIYOPENDA SHULE!Baada ya mwiz kuvamia nyumba moja usiku na kuiba vitu vngi wakati anajiandaa kuondoka ghafla akadakwa mguu na dogoDOGO: Usipoondoka na begi langu la shule NAPIGA KELELEβ¦.πππ
Open printable article βπNi wazo tuu!
Siyo watu wote wanaokuuliza kwamba watoto hawajambo,wanakuuliza kwa nia nzuri,wengine wanaulizia watoto wao waliozaa na mkeo.duh!! tutafika kwelπππππππ
Open printable article βπTofauti kati ya mwanamke na mwanamme
UTOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME1. Kwenye mshituko; mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshituaππ2. Kwenye kupenda; mwanaume huanza kutamani alafu hupenda, mwanamke huaβ¦
Open printable article βπDuh! Wanaume jamaniβ¦
Lakini sisi wanaume hatuko fair β¦ Yani demu anang'ng'ana kujipodoa uso na sisi tunaangalia matako. πππmungu anatuona jamanππππππMakeup ya matako iletwe
Open printable article βπHii sasa ni kali
Siku izi kujuana kumezidi hata ukienda msibani kama hauna connection hauli msosiπππππ
Open printable article βπBiashara ambayo imefeli
*TEACHER*: _nielezee biashara ambayo imefeli kutokana na uzembe*STUDENT*: Changudoa akipata mimbaβ¦*TEACHER*: _get Out!!!!!!!!!!!!!!_ππ
Open printable article βπSipendi ujinga. Cheki nilichokifanya
Nimeingia chumban nikakuta panya wamekula dawa yangu ya minyoo, Na mimi nimechukua yakwao nikanywa. Sipendagi ujinga mm!!πππ
Open printable article βπHuyu jamaa amekomeshwa, majambazi ni shida!
CHEKA KIDOGOMajambaz waliliteka gar moja lililokua limeshehen abiriaBaada ya abiria kusachiwa na majambaz hao na kukutwa hawana pesa, majambaz wakasema kila m2 atapigwa viboko (bakora) kutokana na namba ya shati alilovaaAliyekua hana namba atasalimikaKaz ikaanβ¦
Open printable article βπMaajabu ya wananchi wa Tanzania, Je, wajua hili?
JE WAJUA TANZANIA NI NCHI PEKEE AMBAYO WATU WANAPOANZA KUCHAT huanza kwa kiingereza 'morning' na hupiga stor zote kwa kiswahil mwishon humalizia tena kwa kiingereza ' g9t
Open printable article βπMuda ambao unaweza kumzoea dingi
Muda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONEβ¦.Wanakuwaga wapole sana aisee unaweza hata kumuagiza maji ya kunywa akakuleteaβ¦.πππππππ
Open printable article βπNimeitoa sehemu
Ifβ¦99 is: Ninety nine,88 is: Eighty eight,77 is: Seventy seven,66 is: Sixty six,55 is: Fifty five,44 is: Forty four,33 is: Thirty three,22 is: Twenty two,Why 11 not Onety one?Wazungu msitufanye Vilazaβ¦.!! π π π ππ π π π π πMungu anawaona
Open printable article β