πCheki huyu dingi alivyo mnoko
Unamtumia baba ako meseji ukiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" anakuuliza "pckt mny" ndo nini? Unamjibu ni kifupi cha "pocket money" af ankutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni ya nini? Anakwambia ni kifupi cha 100,000.Hapo ndo unatamani kucβ¦
Open printable article βπHuyu Jamaa bwana! Cheki anavyojibu sasa
*Mdukuzi:* _halloo massai unasemaj_*Massai:* _safi rafiki_*Mdukuzi:* _nikikuuliza swali unaakili ya kujibu?_*Massai:* _ulisa acha maneno yako._*Mdukuzi:* _nitajie wanyama kumi wa porini_*Massai:* _swala watatu na tembo saba_ππππππππΏ
Open printable article βπDuh! Kizungu kigumu, cheki alichojibu huyu
```Nimetoka interview hapa ya job flaniWameniuliza "so how far did you go with your education?", nikawaambia.. """""I didn't go very far because our school was just behind our house"""wameniambia ningojee watanipigia!```β¦β¦.π *your prayers plz*
Open printable article βπAngalia huyu mwalimu alichokifanya
Mwalimu aliingia darasani akiwa amechoka kinomaakawambia wanafunzi.'leo tutajifunza kipindi chadini " wanafunzi wakiwa wanajiandaa ili kuendeleana kipindi mwalimu akajiegesha kwenye kiti klichokuakaribuu yake baada ya dakika kadhaa mwalimu alipitiwana usingiziβ¦
Open printable article βπCheki huyu kiherehere alivyojibiwa
Za asubuhi?Nzur sjui huko?Huku kwema tuuVP si ulimaliza chuo ww?Ndio kwani vp?Mbona hatuoni matunda yake?Kwani mi nlienda na miche ya mipapai au miembe au umeambiwa TIA, IFM na IAA wanakodisha Mashamba ya nyanya ????????Hamna sio hvyo umeenda mbali kakaKama kiβ¦
Open printable article βπAngalia sababu ya mke Mtarajiwa kuzimia kabla ya harusi
*Jihadharini* na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa!Mchapaji aliombwa aweke 1 Yohana 4:18 katika kadi ya harusi lakini mchapaji kwa makosa aliweka Yohana 4:18.1 Yohana 4:18 panasema, "Katiβ¦
Open printable article βπUngekua wewe ndio boss wa huyu jamaa ungempa kazi? Ungemjibu nini?
*Boss*:-kijana unataka nini ndani ya ofisi zangu?*Jamaa*:-Samahani naomba kazi ya ulinzi ndugu.*Boss*:-umesoma mpaka wapi?*Jamaa*:-mpaka form four.*Boss*:-unajua kingereza?*Jamaa*:-kwani hao wezi wanakuja na wazungu???.π
π
π
π
π
π
Open printable article βπHuu ndio Umuhimu wa English katika mapenzi
HUU NDO UMUHIMU WA ENGLISH KATIKA MAPENZIjaribu kumwita mpenzi wako "my sweet potato" atakuelewa ila mwite kwa kiswaili " *kiazi wangu mbatata*"hiyo itakuwa vita ya tatu ya duniaππ
Open printable article βπUnakumbuka haya enzi za shule?
Kama umesoma st Kayumba utakuwa una aidia na hayaβ¦1.Unaenda shule umechelewa unakuta mwalim anakamata wachelewaj unaamua urudi nyumbani2.unachukua kimbegu cha ubuyu unasugua sakafuni af unamuunguza mwenzio3.mkiruhusiwa tu unakimbia unataka uwe wa kwanza kwenyeβ¦
Open printable article βπAngalia kilichonikuta nilipoenda kwa mganga
Usije ukaenda kwa mganga, mwenzako yamenikuta, yani masharti niliyopewa, acha tu,yalikua hivi:-1.Jasho la nyoka.2.Manyoya ya mende.3.Sisimizi Shoga.4.Mbwa mjane.5.Kuku aliye single.6.Samaki mwenye miaka miwili bila kuoga7.Mti wenye ujauzito.8.Mbavu za Nzi.9.Nyβ¦
Open printable article βπDuh! Huyu kazidi sasa
Kuna jamaa kapita hapa kaniuliza et mbona umekunja sura nikamjibu nataka niweke kwenye begiπππ
Open printable article βπDarasa lolote lile halikosi watu kama hawa
Darasa lolote lile (hasa vyuoni) lazima liwe na wanafunzi wafuatao:1. Mrembo wa darasa.2. Playboy/playgirl. Hawezi kutembea na msichana/mvulana mmoja mara mbili.3. Group ya marafiki watatu. Kila mara wako pamoja.4. Mtu mwenye maswali ya kuudhi/kukera.5. Msongoβ¦
Open printable article βπHuyu jamaa ni shida, Chezea wimbo wa Taifa!
Mke mmoja alimpa mme wake redio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu.Basi alvyotoka akamuuliza,''ehe mme wangu ulienjoy?" Mme,"ah wajinga hawa!Wameniwekea wimbo wa taifa,nimejisaidia huku nimesimama
Open printable article βπMjini shule. Soma hii
Kuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu.Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigia zaidi ya mara kumi (10) bila ya mafanikio!Kila nikimpigia simu hajibu simu zangu, nikahamua kumwandikia messβ¦
Open printable article βπMaisha ya kijijini hadi raha!!
Jamaa alimfumania mtu anazini na mkewe,Akamtoza Faini ya sh 5000 tu,yule mtu akatoa 10000.Jamaa akasema lala nae tena sina chenji!πππππππ
Open printable article β