PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

๐Ÿ“—๐Ÿ“˜๐Ÿ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles ยท 43,576

๐Ÿ“„

Dingi kauzu kuliko wote duniani ndiyo huyu hapa

Mtoto: Baba nitumie pesa ya matumizi huku shuleni hali ni mbaya sana la sivyo najinyonga.Baba: Huku nyumbani hali ni mbaya kuliko huko shuleni kwahiyo kama unajinyonga utapunguza Bajeti, kopa Kamba dukani kwa Mangi nitalipa nikija kuchukua Maiti yako, Mungu akโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Angalia kilichojiri katika semina ya wanandoa kuhusu upendo

Kulikuwa na semina ya wanawake kuhusu namna ya kuishi kwa upendo katika ndoa.Mwalimu aliwauliza ni wangapi wanawapenda waume zao? Wote wakanyoosha mikono kama ishara ya kuwa wanawapenda waume zao.Mwalimu akauliza tena, โ€œNi lini mara ya mwisho umemwambia mumeo โ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Hyuyu daktari ni noma, cheki anachokisema

Kuna Daktari wa Moyo alifariki wakamchongeaa jeneza lenye umbo la Moyo. Ghafla Daktari mwingine akaanza kucheka, watu wakamuuliza "kwanini unacheka unafurahia mwenzako kufariki?" Daktari yule akajibu "hapana mimi ni Daktari wa kutahiri nafikilia nikifa mtanichโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Cheki hawa washikaji wanachokifanya baada ya kuvuta bangi, Bangi si mchezo

Kuna washikaji walikuwa wakivuta bangiโ€ฆ kiberiti kikawaishiaโ€ฆ wakamtuma mwenzao akatafute kingineโ€ฆ bangi lilikuwa limemkoleaโ€ฆ akazungukazunguka hatimaye akarudi palepale kijiweniโ€ฆMSHIKAJI: oyaaa wanangu eeehโ€ฆ niazimeni kiberiti mwanangu mwenyewe โ€ฆ..WENZAKE: baโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Jinsi ya Kubana matumizi X-mass

Badala yakupika PILAU tutapika TAMBI kwenye Xmas maana tutakua tumeokoa sh.15,000/= Vitunguu swaumu 2000, Vitunguu maji 1000, hiliki 1000, Magome 1000, Michele wa 2000, Soda 3000, Nyama 5000 . Fedha hizi zitatumika kununua mfuko wa cement ili tuanze kujaza kibโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Utajuaje kama unachoangalia ni filamu ya kibongo!!!!

Angalia hivi-Mlinzi wa Getini lazima awe chizi-Mtu yupo kijijini, maisha magumu ana Wavekichwani.-Kama bosi atakuwa na kampuni basi ni lazimaitakuwa ya Clearing and Forwading au ya uuzajiMagari.-Lazima waende Kununua nguo.-Jambazi lazima avae koti lefu jeusi nโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Kilichompata huyu jammaa baada ya simu yake kuita msikitini

Jamaa alisahau kuzima simu akiwa msikitini anaswali GHAFLA simu ikaita akaingiza mkono ili aikate, kwa bahat mbaya akaminya cha kupokelea, alipohangaika kuzima akajikuta kaminya laudspika ikasikika sauti 'ETI HONEY UMESEMA NIWEKE KITIMOTO KIASI GANI? ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Vituko vinavyoandikwa kwenye daladala

Huwa naenjoy sana kusoma yaliyoandikwa nyuma ya daladala hasa ninapokuwa kwenye foleni. Misemo maarufuya kwenye daladala.1.Yatima hadeki2.Utamu wa chips mimba3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni4. Usiyempenda kaja5. Kobe hapimwi joto6. Acha kazi uone โ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Kichekesho cha mwalimu na wanafunzi

Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne kwani hili la3 halinifai.Mwalimu: Kwa nini unasema hivyo?Mtoto: Nina akiliโ€ฆBasi mwalimu akamueleza mkuu wa shule na mkuu kaitisha interview kwa dogo. Maswali ni hayaโ€ฆ.Mwalimu: Kwenye ndege kuna matofali 20 tukitoโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Kichekesho cha mtalii na mbongo

Duh! Sikubali bora mbavu zituume wote!Watalii wana dharau sana bana, Mtalii alikodi boti akazunguka nayo kwenye mto Rufiji kuangalia mandhari, akamuuliza kijana anayeongoza boti, "Do you know Biology, Psychology and Anthropology?" Kijana akajibu "NO," Mtalii aโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Amri za chuo

Ndio hizi sasa1.Hicho ndicho chuo chako usiwe na chuo kingine ila hicho.2.Usilitaje bure jna la chuo chako mana utawaumiza wengine.3.Ikumbuke cku uliyochaguliwa na kuiheshimu.4.Waheshimu tcu, bodi ya mkopo na uongoz wa chuo ili upate kuendelea kuwepo chuon.5.Uโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Status za Whatsapp za Wazungu na Wabongo

STATUS ZA WAZUNGU kwenye Whatsapp vere vere kliaaaโ€ฆ๐Ÿ‘‰sick๐Ÿ‘‰at movie ๐Ÿ‘‰ in a meeting2๐Ÿ‘‰ kind of happy,, ๐Ÿ‘‰busy,,๐Ÿ‘‰available๐Ÿ‘‰Driving๐Ÿ‘‰sleepingSTATUS ZA WABONGO SASA MBUTA NANGA MBONGO NGAFU"Akutake nani una shepu la Kitorondo utaishia kumegwa na kuachwa"Watu tuna nyotaโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Ziara za kushtukiza zinachekesha sana

Mimi Nimecheka sana๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ZIARA ZA KUSHTUKIZA๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti, na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia luninga mara chache sana kama nikibahatika kupita mahala kuna luninga. Sasa wiki hii nimesikia mengi kuhusu hizi ziara za kushtukโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Utani wa wachaga

Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-1. WAROMBO; Hawa wajanja sana kibiashara/wezi pia. wanapenda dili za magendo. Ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini. Wanaume wa Rombo wanachunwa sana na wanawake wa Maranguโ€ฆ

Open printable article โ†’
๐Ÿ“„

Wavuta bangi wa Colombia watoa mpya

Asubuhi ya leo huko nchini Colombia baada ya serikali kuidhinisha matumizi ya bangi kuwa halali +++ Wavutaji bangi wamepanda basi la gorofa wengine juu wengine chiniโ€ฆ.Waliopanda chini wanawauliza wa juu huko speed ni ngapi maana huku ni 80.Wajuu wakajibu huku โ€ฆ

Open printable article โ†’