PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Huyu mchungaji ni noma, cheki alichomwambia pedeshe

Mchungaji kamfuata pedeshe moja maarufu kwa kumwaga pesa kwenye kumbi za muziki; MCHUNGAJI: Kijana, tuko katika harakati za kujenga kanisa, jitafutie nafasi katika ufalme wa mbingu kwa kuchangia ujenzi huu. Na Mungu atakubariki zaidi PEDESHE: Samahani Mchungaj…

Open printable article β†’
πŸ“„

Dogo alivyomchomea dada wa kazi kwa mama yake kuhusu baba

Dogo: mama hivi malaika si wanapaa? Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo? Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa? Mama: ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, pumbavu zake.

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu mchaga kazidi sasa, angalia anavyomfanya huyu mbuzi

Mchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kichwa fanya supu, miguu fanya mchuzi chukuchuku. Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mume mgonjwa kazua mpya baada ya kuruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospitali alipokuwa kalazwa

John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka? akajibu ndio nyumba yangu ilee, mara wakatoka watoto wawili wamevaa uniform akasema watoto wangu walee wanakwenda s…

Open printable article β†’
πŸ“„

Hii ndio ndoto ya harusi ya kila msichana anayotamani

GIRL: Baby, hebu niambie harusi yetu itakuwaje? BOY: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja nikupe kionjo kidogo tu GIRL: Enhee… BOY: Kwanza siku ya kupeleka mahari nitaswaga zizi zima la ng'ombe napeleka kwa babu yako GIRL: Ooh baby u care.. BOY: Siyo hivyo t…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mke alichomfanyia mme wake kabla ya kwenda safari, Chezea mawaifu walokole wewe!

JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo. Mke akamwambia mumewe; "Tupige magoti tusali", Wakapiga magoti…: MKE: Eee baba msaidie mume wangu afike salama safari yake. MUME: Emen… MKE: Mpe nguvu katika yote a…

Open printable article β†’
πŸ“„

Analia kilichompata huyu jamaa baada ya kubadili jinsia yake kichawi

Jamaa alimpa ujauzito mwanafunzi akashtakiwa kumbe yule jamaa ana bibi yake mtaalam wamambo yetu ya Jadi…Jamaa akaongea na bibi yake amuwekee jinsia ya kike ili akashinde Mahakamani na akitoka arudishiwe mambo yake kama kawaida.Bibi akampachika jamaa jinsia ya…

Open printable article β†’
πŸ“„

Alichojibu dalali baada ya kufumwa na mke wa mtu ndani ya nyumba ya kupanga

Dalali aliwatafutia jamaa chumba Buguruni karibu na reli, nyumba nzuri sana. Jamaa na mkewe wakahamia kwa furaha, lakini furaha yao iliisha walipokuja gudundua nyumba ile iko karibu mno na reli treni ikipita mpaka kitanda kinacheza. Siku hiyo dalali akapita mk…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini vitu vunavyoanza na "K" ni vitamu sana?

Zuzu kaniuliza, "Anko, unajua vitu vinavyoanzia na K ni vitamu sana." Nikashtuka, "Astaghafilulah we mtoto! Niondolee wehu wako hapa!" Zuzu akatabasamu. Akaendelea kuongea kabla sijafanikiwa kumzuia. "Kweli kabisa anko. Vitu vinavyoanza na K ni vitamu sana kwa…

Open printable article β†’
πŸ“„

MAJIBU YA MAKONDA WA DALADALA ZETU GONGOLAMBOTO HUKU

1. wewe Dada unaturingia nini na matiti yako mawili , mbwa pia ana matiti nane na haturingii eboo !!!! 2. Ka wafikiri Una haraka sana Shuka ukimbie. 3. Nauli kulipa lazima ,Chenji ukikumbuka. 4. Kutapika ndani ndani ya Daladala fain 250/= ,ukijamba pia 250/= ,…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia haya mazungumzo ya msichana na mvulana, mapenzi ya ajabu haya

Demu: Hny mambo jamani! Man: Safi nipe habari wangu wa moyo Demu:Wafanya kazi gani vile wangu? Man: Ni fundi wa kufunga ATM Demu: Wow dont tel me i love you myn mwa mwa mwaaaaah Man: Mbona wafurahia? Demu: Nami natamani kuja kufanya kazi za kibenki. Man: Itaku…

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki huyu mzee alichomfanyia muuzaji wa pharmacy

Mzee kaingia pharmacy, MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa MFAMASIA: Kitu gani?….Mzee akatoa kichupa na kijiko akaweka …majimaji yaliyomo kwenye kichupa kwenye kijiko na kumwambia mfamasia aonje, mfamasia akatia yale maji mdomoni na kuyazun…

Open printable article β†’
πŸ“„

Bangi si mchezo, Angalia kilichowakuta hawa

Bangi si mchezo! Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo! Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti! then akaenda kama alivyo zaliwa kwa masela wenzake akawauliza vp suti imenikaa? Mvuta bangi mwenzie akamwambia "imekutoa kinyama il…

Open printable article β†’
πŸ“„

Baada ya walevi wawili kuokota kioo hiki ndicho kilifuata

Angalia kilichotokea Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !! Mlevi wa pili akamnyang'anya kisha nae akaangalia kioo akasema "wee kweli huna akili, si mimi hu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia alichokifanya huyu sharobaro kanisani

Huu usharobaro mwingine uchizi. Jamaa kamzimia demu kanisani, mara ukafika mda wa kutoa sadaka, eti jamaa akamwambia ''dont worry bby'' ntakulipia!!

Open printable article β†’