PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Maswali yanayoulizwa sana kuhusu Ibada ya Kanisa Katoliki

Masifu ni nini? Masifu ni sala au wimbo unaomsifu na kumtambua Mungu kuwa Mungu Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani? Maana yake ni kama Ahadi kuwa, Niko tayari kulifahamu Neno la Mungu kwa akili yangu, Ni…

Open printable article β†’
πŸ“„

Maswali na majibu kuhusu Katekesi

Katekista ni nani? Katekista ni mlei aliyechaguliwa na Kanisa ili kumfanya Kristo ajulikane, apendwe, na kufuatwa na wale ambao hawajamfahamu na pia waamini Waraka wa Baba Mtakatifu Unatafsiri vipi Makatekista? Waraka unasema; 1. Makatekista ni Wafanyakazi maa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Maswali na Majibu kuhusu Rehema

Rehema ni nini? Rehema ni msamaha au ondoleo la adhabu ya dhambi tulizostahili sababu ya dhambi zilizokwisha ondolewa Rehema hutolewa na nani? Rehema hutolewa na Kanisa Katoliki kwa kutugawia mastahili ya Yesu Kristo, Bikira Maria na Ya Watakatifu Kuna Rehema …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mafundisho kuhusu Toharani

Toharani ni mahali gani? Toharani ni mahali pa mateso zinakosafishwa roho ambazo hazikutimiza kitubio vizuri baada ya kuungama dhambi. (1Kor 3:15, 1Pet 1:7). Je, hatuwezi kupunguza mateso ya roho za marehemu waliokwenda toharani? Ndiyo: twaweza kupunguza hata …

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri ya Kumi ya Mungu: Makatazo na Amri

Amri ya Kumi ya Mungu inakataza nini? Inakataza; 1. Uroho2. Uchu wa mali3. Kijicho4. Tamaa mbaya ya kujipatia mali Amri ya Kumi ya Mungu inaamuru nini Amri ya Kumi ya Mungu inaamuru kuheshimu mali ya wengine na kumpenda Mungu kupita vitu vyote. (Mk 28:30).

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri ya Nane ya Mungu: Makatazo na Amri

Amri ya Nane ya Mungu inatukataza nini? Inakataza haya: 1. Ushahidi wa uongo, kiapo cha uongo na uongo wowote.2. Hukumu isiyo ya haki, usengenyaji, uchafuzi wa jina na usingiziaji.3. Kusifu watu uongo, kujisifu mwenyewe au ulaghai. Katika Amri ya Nane Mungu an…

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri ya Tano ya Mungu: Kutunza uhai wetu na wa watu wengine

Katika Amri ya Tano ya Mungu tumeamriwa nini? Tumeamriwa tutunze uhai wetu na wa watu wengine tangu mwanzo hadi mwisho. (Mwa 4:10-11) Kwa nini ni lazima kutunza uhai wetu na wa wenzetu? Kwa sababu uhai wa watu wote umetoka kwa Mungu Haki gani ya Binadamu ni ya…

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri ya nne ya Mungu: Kuheshimu Wazazi

Katika Amri ya nne ya Mungu tumeamriwa nini? Tumeamriwa tuwaheshimu wazazi wetu na wakubwa wetu wote, tuwapende, tuwatii na tuwaombee. (Kut 20:12, Kol 3:20) Amri ya Nne ya Mungu tumeamriwa nini? Tumeamriwa tuwaheshimu wazazi wetu na wakubwa wote, tuwapende, tu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri ya Pili ya Mungu: Tunakatazwa kuapa bure au uongo kwa Jina la Mungu

Katika amri ya pili ya Mungu tumekatazwa nini? Katika amri ya pili ya Mungu tunakatazwa kuapa bure kwa Jina la Mungu Kiapo cha uongo ni nini? Ni kuahidi kwa kiapo bila nia ya kutimiza au kuvunja ahadi iliyotelewa.

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri za Kanisa: Mambo ya Muhimu kujua na Kuzingatia

Amri za Kanisa ni zipi? Amri za kanisa ni;1. Hudhuria Misa Takatifu Dominika na sikukuu zilizoamriwa.2. Funga siku ya Jumatano ya Majivu; usile nyama siku ya Ijumaa Kuu3.Ungama dhambi zako walau mara moja kila mwaka.4. Pokea Ekaristi Takatifu hasa wakati wa Pa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo ya Muhimu kufahamu kuhusu Ishara ya Msalaba

Ishara ya msalaba ni nini? Ishara ya Msalaba ni tendo la mtu kugusa panda la uso, kifua na mabega kwa kutumia mkono wa kulia na kutamka "Kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina" Kwa kugusa paji la uso tuna maana gani? Kwa kugusa paji la uso t…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mafundisho kuhusu Neema

Je, tunaweza kuhakikisha neema ya utakaso? Hapana, hatuwezi kuhakikisha neema ya utakaso kwa kuwa ni tukio ambalo linapita maumbile na kufanyika rohoni, hivyo halifikiwi na hisi zetu. Pengine Mungu anatokeza dalili fulani za badiliko hilo kama vile furaha ya n…

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri Kumi za Mungu: Mambo ya Msingi unayopaswa kufahamu

Amri kumi za Mungu ni zipi? 1. Ndimi Bwana, Mungu wako usiabudu miungu wengine.2. Usiape bure kwa jina la Mungu wako.3. Fanya siku ya Mungu 4. Waheshimu Baba na Mama, upate miaka mingi na heri duniani.5. Usiue6. Usizini7. Usiibe8. Usiseme uongo9. Usitamani mwa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri ya Kwanza ya Mungu: Mambo Muhimu ya Kuzingatia

Katika amri ya kwanza ya Mungu tumeamriwa nini? Tumeamriwa tusadiki kuwa Mungu ni mmoja, ndiye Baba yetu na Mkubwa wetu: tumpende, tumwabudu yeye peke yake. (Mt 10:33, Kumb 6:4-9) Wakatoliki tunamwabudu Mungu kwa namna gani? Tunamwabudu Mungu kwa sala , sadaka…

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri ya Tatu ya Mungu: Tumeamriwa kuheshimu siku ya Mungu

Katika amri ya tatu ya Mungu tumeamriwa nini? Tumeamriwa kuheshimu siku ya Mungu:- 1. Kushiriki Misa Takatifu siku ya Jumapili na Sikukuu zote za Amri2. Kuacha kazi nzito na3. Kutenda matendo mema Siku ya Mungu kwa Mkristo ni lini? Siku ya Mungu kwa Mkristo ni…

Open printable article β†’