πAsili na matumizi ya Neno "AMINA" kama kiitikio muhimu katika Liturujia
Kiitikio hicho tunakifahamu sisi sote; tunaitikia mara nyingi lakini je, tunaelewa umuhimu wake? Binafsi nikichunguza wakati wa maadhimisho mbalimbali ya Liturujia hasa Adhimisho la Ekaristi, ni baadhi tu ya waamini wanaoitikiaAmina sehemu mbalimbali wakati waβ¦
Open printable article βπFaida ya kuabudu Ekaristi Takatifu
1.Kila saa moja tunayotumia kuabudu, inafurahisha moyo wa Yesu na hivyo majina yetu huandikwa mbinguni kwa ajili ya uzima wa milele (Mama Thereza wa Calcuta)2.Maisha ya kiroho ya familia zetu yanaimarishwa kwa njia ya saa ya kuabudu (John Paul II)3. Saa takatiβ¦
Open printable article βπUfafanuzi wa Sala ya Baba yetu
Baba Yetu uliye mbinguni,jina lako litukuzwe;ufalme wako ufike,utakalo lifanyikeduniani kama mbinguni.Utupe leo mkate wetu wa kila siku,utusamehe makosa yetu,kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea.Usitutie katika kishawishi,lakini utuopoe maovuni.AminaUfafaβ¦
Open printable article βπZaburi ya Toba, Zaburi ya 51
Hii ndiyo Sala ya TobaZaburi 511 Ee Mungu, unirehemu,Sawasawa na fadhili zako.Kiasi cha wingi wa rehema zako,Uyafute makosa yangu.2 Unioshe kabisa na uovu wangu,Unitakase dhambi zangu.3 Maana nimejua mimi makosa yanguNa dhambi yangu i mbele yangu daima.4 Nimekβ¦
Open printable article βπMafundisho makubwa ya Yesu Kristo
HeriBasi Yesu alipoona makutano, alipandamlimani akaketi chini, nao wanafunziwake wakamjia. 2Ndipo akaanza kuwafundisha,akisema:3 βWana heri walio masikini wa roho,maana hao Ufalme wa Mbinguni ni wao.4Wana heri wale wanaohuzunika,maana hao watafarijiwa.5Wana hβ¦
Open printable article βπMITAGUSO MIKUU YA KANISA KATOLIKI
MITAGUSO MIKUU Yesu Kristo aliwakabidhi mitume kumi na wawili uongozi wa Kanisa wakiwa kundi moja lenye mkuu wake, yaani Petro. Vilevile waandamizi wao, yaani maaskofu wote, ni kundi moja na Papa wa Roma ndiye mkuu wao. Huyo peke yake, na kundi la maaskofu likβ¦
Open printable article βπKwa nini Wakatoliki wanaungama dhambi kwa Padri?
KWANINI NYIE WAKATOLIKI MNAUNGAMA DHAMBI KWA PADRE AMBAYE NI MWANADAMU NA MDHAMBI BADALA YA KUUNGAMA MOJA KWA MOJA KWA MUNGU? Pengine umewahi kuulizwa swali hili au umewahi kujiuliza: hapa ni maelezo yatayokusaidia kuelewa sababu (japo sio zote) na uhalali wa β¦
Open printable article βπMambo manne ya mwisho katika maisha
Mambo manne ambayo ni ya mwisho katika maisha ni;KifoHukumuMbinguniMotoniMambo haya yote yanaweza kutokea wakati wowote bila kujua wala kutarajiaKifoKifo ni kitu ambacho kinaweza kumpata mtu yeyote wa umri wowote awe mtoto kijana au mzee na kwa wakati wowote.Mβ¦
Open printable article βπBiblia inavyothibitisha kuwa Bikira Maria Mama wa Yesu ni Mama wa Wakristu Wote
Ufunuo 12:1717Kisha lile joka likapatwa na hasira kali kwa ajili ya huyo mwanamke, likaondoka ili kupigana vita na watoto waliosalia wa huyo mwanamke, yaani, wale wanaozitii amri za Mungu na kuushika ushuhuda wa Yesu Kristo.Kwa hiyo Bikira Maria ni Mama wa Wakβ¦
Open printable article βπNamna Biblia inavyomueleza Bikira Maria
Biblia inashuhudia kuwa watu wanatofautianaMaandiko matakatifu yanawasifu watu mbalimbali kutokana na jinsi walivyomuamini Mungu na kutenda makuu kwa ajili ya taifa lake.Abrahamu alimuamini Mungu akawa tayari kumtolea sadaka mwanae Isaka, tukio lililomfanya apβ¦
Open printable article βπJinsi Bikira Maria anavyoelezwa Katika dini ya Kiislamu
Kurani inamtaja mwanamke mmoja tu, tena mara 34: ni Mariamu, mama wa nabii Isa. Akichanganywa na dada wa Haruni na Musa, aliyekuwa na jina hilohilo, anatajwa kama binti Imrani. Pia habari nyingine kadhaa zinapishana na zile za Injili.Hata hivyo anapewa heshimaβ¦
Open printable article βπHeshima za Liturujia kwa Bikira Maria
Kuna ibada za Mama Bikira Maria zinazoadhimishwa katika liturujia ya Kiroma. Hapa zimepangwa kulingana na heshima zinavyozidiana:Sherehe8 Desemba β Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili 1 Januari β Bikira Maria Mama wa Mungu 25 Machi β Bikira Maria Kupashwa Haβ¦
Open printable article βπMafundisho (Dogma) ya Kanisa Katoliki kuhusu Bikira Maria
Kuna mafundisho makuu manne kumhusu Bikira Maria ambayo ni lazima kila Mkatoliki ayasadiki kutokana na ufunuo wa Mungu: 1. B. Maria mkingiwa dhambi ya asili 2. B. Maria Mama wa Mungu 3. B. Maria Bikira daima 4. B. Maria kupalizwa mbinguni mwili na rohoMkingiwaβ¦
Open printable article βπKwa nini Bikira Maria hakuwa anaombwa akiwa hai? Watu na mitume hawakuwa wanasali kumuomba yeye
Kwa hiyo Mitume na wakristu wa mwanzoni hawakuwa kumuomba wakati akiwa hai. Ila Baada ya Kifo chake na kupalizwa kwake Mbinguni walianza ibada kwake.Kumbuka, Kifo cha Bikira Maria hakijaandikwa kwenye biblia kwa kua wakati anakufa vitabu vya biblia vilikua vimβ¦
Open printable article βπAhadi kumi na mbili za Moyo Mtakatfu wa Yesu
Bwana Yesu mwenyewe kwa kutumia kinywa cha Mtakatifu Margareta Maria Alakoki aliahidi Baraka na neema zifuatazo kwa wale wote watakaouheshimu Moyo wake Mtakatifu.Na kwa maneno yake mwenyewe, Bwana Yesu aliahidi:1. βNitawajalia neema zote watakazozihitaji katikβ¦
Open printable article β