πIshara ya Msalaba
Ishara ya Msalaba ni tendo la mtu kugusa panda la uso, kifua na mabega kwa kutumia mkono wa kulia na kutamka 'Kwa Jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina'.Kugusa paji la uso tuna maana kukubali kwa akili, kugusa kifua maana yake ni kupokea na kuuβ¦
Open printable article βπMungu ni nani? Sifa za Mungu
Mungu ndiye Muumba wa vitu vyote, katika mbingu na nchi, Mkubwa wa Ulimwengu mwenye kuwtunza watu wema na kuwaadhibu watu wabaya. (Mt: 6:8-9, Yoh 20: 17)Sifa za MunguMungu ni Muumba wa vitu vyoteMungu ni Muumba wa vyote maana yake amefanya vitu vyote kwa kutakβ¦
Open printable article βπMALAIKA WA MUNGU
Hapo Mwanzo Mungu aliumba Malaika katika hali ya njema na Heri kubwa. Kisha aliumba mbingu na nchi, na viumbe vyote vinavyoonekana na visivyoonekena. (Kol, 1;16, Mwa, 1;31)Malaika ni viumbe vilivyo Roho tuu vyenye akili na utashi. (Zab 91:11, Ebr 1:7, Uf, 12:7β¦
Open printable article βπKuumbwa kwa Dunia
Mungu aliumba Dunia kwa siku sita hatua kwa hatua kama ifuatavyo;Siku ya kwanzaMungu aliumba nuru, nuru ikawa mchana na giza usikuSiku ya piliMungu akaumba anga, anga likakaa juu na maji na ardhi vikawa chuiniSiku ya tatuMungu akatenga maji na nchi kavu, maji β¦
Open printable article βπUfanyialo wengine ndilo utakalofanyiwa
Siku niliposoma hili andiko kwa mara ya kwanza nakumbuka, kwanza nilipata mshtuko flani baada ya kulisoma, halafu nikajikuta nikitafakari vitu vingi sana.Hebu kwanza tusome pamoja andiko hiliZABURI 10917 Naye alipenda kulaani, nako kukampata.Hakupendezwa na kuβ¦
Open printable article βπKuumbwa kwa mtu, Mungu alivyoumba binadamu
Mtu ni kiumbe pekee chenye mwili na roho kilichoumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Mungu alipotaka kumuumba mtu alisema "Tumfanye mtu kwa mfano wetu na sura yetu" (Mwa. 1:26-27)Kuumbwa kwa sura na mfano wa Mungu maana yake tuna roho zenye akili na utashi yaani β¦
Open printable article βπMafundisho ya kumfundisha mtu mzima kabla ya ubatizo wa hatari
Ni lazima asadiki kwamba;Mungu yupo mmoja. Bwana wetu na Baba yetu, mwenye kuwatunza watu wema mbinguni na kuwaadhibu watu wabaya motoni milele (Mt. 15:41,46)Katika Mungu mmoja kuna nafsi tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu (Yoh. 14:16, 17).Nafsi ya pili alishβ¦
Open printable article βπMAFUNDISHO KUHUSU NAFASI YA MAMA BIKIRA MARIA
Leo nimeamua kutoa makala kuhusu Bikira Maria Baada ya maswali mbalimbali kuibuka kuhusu nafasi yake kwetu sisi. Chanzo cha makala hii ni www.alfagems.comMAFUNDISHO KUHUSU NAFASI YA MAMA B. MARIASisi Wakatoliki nyakati hizi zilizojaa madhehebu mbalimbali ya Kiβ¦
Open printable article βπJE, WAKATOLIKI WANABUDU SANAMU?
Mpenzi msomaji, kumekuwa na tuhuma nyingi dhidi ya wakatoliki kwamba wanaabudu sanamu. Je, tuhuma hizo zina ukweli gani? Hilo ndilo swali tunalotaka kujibu leo.Amri ya kukataza ibada kwa sanamu imewekwa wazi katika Biblia Takatifu, Kutoka 20:4-5, βUsijifanyie β¦
Open printable article βπJe Bikira Maria Alizaa Watoto Wengine?
Mapokeo kuhusu Bikira Maria yanaonyesha alikuwa binti pekee wa wazee watakatifu Yohakimu na Ana. VilevileMt. Yosefu, ingawa kisheria alikuwa mume wake, hakutenda naye tendo la ndoa hata moja. Ndiyo maana kwenyelitania yake tunamuita mwenye usafi kamili. Yosefuβ¦
Open printable article βπMafundisho Kuhusu Bikira Maria
DOGMA ZA KANISA KATOLIKI KUHUSU BIKIRA MARIA.Kuna mafundisho makuu mannekumhusu Bikira Maria ambayo ni lazimakila Mkatoliki ayasadiki kutokana naufunuo wa Mungu: 1. B. Mariamkingiwa dhambi ya asili 2. B. MariaMama wa Mungu 3. B. Maria Bikiradaima 4. B. Maria kβ¦
Open printable article βπIshi kama Penseli ili uwe mtu bora
Muumbaji wa penseli alipomaliza kuiumba penseli yake aliiambia mambo muhimu ya kuzingatia ili iweze kuwa penseli bora kabla hajaituma kuingia kazini kwa matumizi.βKuna vitu sita unatakiwa uvitambue, β Aliiambia penseli,βKabla sijakutuma kwenda kutumika, unatakβ¦
Open printable article βπSwala la Mapadri kutooa limeandikwa wapi katika Biblia?
JE,SHERIA YA MAPADRE KUTOOA NA KUISHI USEJA IMEANDIKWA WAPI KATIKA BIBLIA AU IMETUNGWA TU NA PAPA?Pengine umewahi kuulizwa swali hili wakati fulani.Na jibu lake ni kama ifuayavyo:Mtu anapouliza kila kitu kimeandikwa wapi katika Biblia ni kudhihirisha kutokuijuβ¦
Open printable article βπUnayopaswa kujua Kuhusu Kipindi cha Majilio
Majilio (pia: Adventi ) ni kipindi cha liturujia yamadhehebu mbalimbali ya Ukristo (kama vileKanisa Katoliki, ya Waorthodoksi , Waanglikanana Walutheri ) kinatangulia sherehe ya Noeli nakuanza mwaka wa liturujia. Kinaweza kudumukati ya siku 22 na 40. Jina lakeβ¦
Open printable article βπHistoria Fupi ya Ibada ya Rozari
Katika Kalenda ya Kanisa Katoliki,huwa mwezi wa tano na mwezi wa kumini miezi ambayo imewekwa kwa ajili yaBikira Maria na Mama Kanisa. Hivyohiyo miezi huwa inasaliwa rozari.Wengi waweza kujiuliza kuwa ni kwanini ifanyike miezi hiyo? Yafuatayo nimajibu, mwezi wβ¦
Open printable article β