Mbinu 4 anazotumia Shetani kuteka na kurubuni Watu

✍️ DIN - Melkisedeck Leon ShineπŸ“… 2016-01-21 15:38:00πŸ’¬ 50 comments⏱️ ~2 min read
πŸ“„ PDF
1. Kutushawishi tuache kusali maaana njia kuu ya mawasiliano kati yetu na MUNGU.Hivyo akifanikiwa hapo kwisha habari yako 2. Kufanya umwogope shetani na nguvu zake kuliko unavyompenda MUNGU. Wakristo wengi leo hii husali na kuomba kwa nguvu mno siyo sababu wanampenda MUNGU mno hapana ni sababu wanamwogopa shetani na majeshi yake na muda mwingine hata watumishi wa MUNGU wanamsaidia kwa kuhubiri mno na muda mwingine kuongeza jumvi juu ya nguvu za giza kuna wahubiri huambatanisha kila kitu na vifungo vya nguvu za giza na kusahau kuhubiri uzuri na wema wa MUNGU kwetu. 3.Kutufanya tusahau uwepo wake au kuupuzia. pale tunapokuwa hatupay attention existance ya shetani yeye ndio hupata wakati mzuri wa kutupiga ,sababu ni rahisi mno kutouutambua ubaya wa dhambi kama hatutaamini uwepo wa shetani ktk uovu…hii hutupelekea kutenda dhambi na kuziona siyo dhambi mfano kwa wasomi wengi hupuuzia baadhi ya mambo kama kujilinda na zinaa wakiamini ni kupitwa na wkt kama utakuwa hauna mahusiano ya kingono mpaka umefika chuo kikuu tena huchukulia wasiokuwa hivyo ni wagonjwa.hapo ni kuwa wengi wameignore uwepo wa shetani "no devil no evil" hivyo watu ndio hupotea. 4.KUTUTIA MOYO WAKATI WA KUTENDA DHAMBI NA KUTUKATISHA TAMAA YA KUSAMEHEWA. nitatoa mfano huu mtu ambaaye anataka kufanya uzinzi shetani humtia moyo kuwa MUNGU anajua kuwa sisi ni binadamu dhaifu na yeye husamehe dhambi zetu daima lakini ifikiapo wakati ukataka kutubu hafanya kila njia kukukatisha tamaa ya kusamehewa na hututia aibu hata kutsmka kwa padri kuwa nimedhini maana huanza kufikiria padre atanionaje mimi. BASI NDUGU TUSISINZIE BALI TUWE MACHO DAIMA MSHITAKI WETU YU MACHO KUTUJARIBU.
πŸ’¬

Discussion

Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.

50 comment(s)
πŸ” Login required to comment or reply

You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.

Log in to participate
C
Chris Okello2024-07-06 07:23:47
Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe
W
Wilson Ombati2024-05-12 04:38:57
Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia
J
James Kimani2024-04-29 17:50:07
Tumeokolewa kwa rehema zake, si kwa matendo yetu
P
Philip Nyaga2024-04-05 13:00:51
Katika udhaifu wetu, rehema za Mungu zinatupa nguvu
A
Anna Kibwana2024-03-10 12:10:42
Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe
M
Margaret Mahiga2023-09-27 08:44:27
Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako
M
Margaret Mahiga2023-07-02 08:57:56
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
J
Josephine Nduta2022-10-30 17:46:51
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
M
Michael Onyango2022-08-21 20:13:55
Mwamini Bwana; anajua njia
B
Benjamin Kibicho2022-04-16 03:31:23
Rehema za Mungu ni kubwa kuliko kosa lolote
J
Jane Muthui2022-01-03 11:15:04
Katika giza, nuru yake inaangaza zaidi
R
Ruth Kibona2021-04-04 14:36:29
Mungu akubariki!
S
Simon Kiprono2020-10-24 16:45:51
Kwa Mungu, yote yanawezekana
S
Sharon Kibiru2020-09-17 17:14:01
Nakuombea πŸ™
S
Sarah Mbise2020-04-09 12:33:17
Imani inaweza kusogeza milima
J
John Malisa2020-02-01 17:54:09
Imani ni kuwa na uhakika wa kile tunachotarajia na kujua kwa hakika kile ambacho hatuoni
C
Charles Mrope2019-12-31 14:56:03
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
J
Jane Muthui2019-11-01 19:39:24
Tumaini ni nanga ya roho
C
Chris Okello2019-10-22 16:20:42
Wakati wa Mungu ni kamilifu
E
Edward Chepkoech2019-10-20 08:31:02
Katika rehema zake, Mungu husamehe na kurejesha